Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea's 28-Man Squad for FIFA Club World Cup 2025
Hawa wachezaji hawajajumuishwa katika kikosi cha Chelsea cha Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025
Chelsea iliamua kuwaacha wachezaji kadhaa kwenye kikosi chao cha wachezaji 28, wakiwemo:
  • João Félix
  • Axel Disasi
  • Kendry Páez (anatarajiwa kuhamia Strasbourg kwa mkopo)
  • Ben Chilwell
  • Raheem Sterling
  • Djordje Petrovic (aliomba kutengwa ili kuzingatia mustakabali wake)
  • Renato Veiga
  • Mykhailo Mudryk
  • David Datro Fofana
  • Wesley Fofana (ameambiwa apamane na kupona majeraha yake ili aanze msimu ujao vizuri)
  • Mathis Amougou (amepangwa kuhama kwa mkopo kwenda Starsbourg)
  • Michael Kellyman

Kumbuka: Estevao Willian hatakuwepo kwenye orodha pia kwa sababu makubaliano ya awali ni kuichezea Premiaras kwenye Kombe la Dunia la Vilabu kabla ya kuhamia Chelsea
 
Chelsea pia Bado Wana Imani na Jackson kwa kumleta delap maybe naona itamchangamsha kidogo hata akipata nafasi awe serious kule mbele maana shida yake finishing tu..km angekuja osimhen ndo ingekuwa kwaheri kwake angeishia kucheza kina carabao maybe😂
 
Niko mbele ya Atv kucheki chama langu la msimu ujao litakavyokua
 

Attachments

  • Screenshot_20250606_102403_Instagram.jpg
    319.2 KB · Views: 21
Hii jezi ya leo ni nzuri sio kama ya msimu uliopita ambayo hata kuivaa mbele za watu waheshima ilikuwa mtihani kisa aibu ya jezi mbaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…