Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,361
- 16,436
Mitoto milaini laini tu utadhani ilibemendwa hadi isiwe na ukatili panapohitajika mechi za nguvu nyingi na akili nyingi, eg Chelsea SC vs Newcastle SC.Maresca ni takataka, yaani hatutaachieve chochote na huyo takataka. Kwa walioangalia mpira wa PSG ndio waone chelsea hakuna mpira tunaocheza miback pass na side ways pass. Tutaenda kutia aibu huko UEFA
Nadhani hiyo mechi hukuiangalia.Mitoto milaini laini tu utadhani ilibemendwa hadi isiwe na ukatili panapohitajika mechi za nguvu nyingi na akili nyingi, eg Chelsea SC vs Newcastle SC.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kwa hiyo ile mechi kwenu ndio bonge moja la mechi??! Mpira unazingushwa tu uwanjani bila malengo yoyote, ball possesion 100% kw 0% miback pass na side ways pass. On Target0 off Target0Nadhani hiyo mechi hukuiangalia.
Mzee mbona unamchukia maresca hvyo🤣Huu mpira wanaocheza PSG kwa dakika 15 za mwanzo, Maresca mpaka anastaafu ukocha hatokaa aweze kuufundisha.
Cha ajabu hayo matakataka utaenda kuyaangalia Msimu ujao au hutayaangalia?Tunaongeza matakataka tu. Badala ya kuyapunguza.
Kwa sasa kocha ni Maresc a ebu tumuache hadi sababu ya Maresca out ipatikaneHuu mpira wanaocheza PSG kwa dakika 15 za mwanzo, Maresca mpaka anastaafu ukocha hatokaa aweze kuufundisha.
We umeongea la maanaKwa sasa kocha ni Maresc a ebu tumuache hadi sababu ya Maresca out ipatikane
Mwakani tunashiriki UCL
Tutapigania ubingwa wa EPL
Atasajiliwa wachezaji waliopungua kama striker, beki na winga
Show yake ya mwakani ndio itakayokuwa hakimu wa kumhukumu
Kwa sasa kocha ni Maresc a ebu tumuache hadi sababu ya Maresca out ipatikane
Mwakani tunashiriki UCL
Tutapigania ubingwa wa EPL
Atasajiliwa wachezaji waliopungua kama striker, beki na winga
Show yake ya mwakani ndio itakayokuwa hakimu wa kumhukumu
Bado Maresca ni upuuzi mtupu kwa namna ya Wachezaji wa Chelsea SC wamelegea tutegemee kupata aibu zaidi huko UEFA CL 2025/2026.Kwa sasa kocha ni Maresc a ebu tumuache hadi sababu ya Maresca out ipatikane
Mwakani tunashiriki UCL
Tutapigania ubingwa wa EPL
Atasajiliwa wachezaji waliopungua kama striker, beki na winga
Show yake ya mwakani ndio itakayokuwa hakimu wa kumhukumu
Mimi nilimshambulia sana hasa kwa zile press confrence zake za Nov 24 na Feb 25 ambazo aliongeza hovyo sana hadi wachezaji wakabweteka yeye akiwaangalia tu. Baada ya mashabiki kumshambulia sana mwezi machi alibadilika na kuanza kuongea vizuri. Pia yale maagizo ya kuwalazimisha wachezaji kurudisha mipira nyuma badala ya kupasi kwenda mbele ameache tangu Aprili na ndio maan Chelsea ilishinda mechi nyingi nadhani kati ya mechi. Kwa aprili na mei kati ya mechi 14, Chelsea ilishinda 11, droo 2 na kufungwa 1 (Mechi na Newcastle tena baada ya Jackson kutolewa na bado Chelsea ilicheza vizuri)Unataka nini Maresca afanye ndio uamini kuwa yule ni takataka?
Mgosi huyo yeye huwa anawaambia pasianeni tu mpira mkipata chance piga majalo mpira utakaomkuta hewala. Hakuna mbinu nyingine majalo tu. Yaani mpira unatabirika.Mpira wa Maresca ni wa kawaida sana, hakuna akili pale anayotumia, kwenye mechi anajichosha kushika kidevu kufikiria ujinga.
View attachment 3353518
Anatufaa sana uyu!Aliyehusika kupropose £25mil kwa Sanchez bado anastahili kufungiwa kujihusisha na mpira kwa miaka isiyopungua 5
Asante sana Jadon Sancho, Na wewe uwe na mafanikio mbele ya safari
View attachment 3355166
Kwamba ndiyo bye bye anarudi Mwantesa Utd na Chelsea ilibaki na pengo lake au unamaanisha nini Mkuu?Kwamba ndiyo anarudi Mwantesa Utd na Chelsea SC kuendelea kuwa na pengo lake au unamaanisha nini Mkuu?