OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Alaaah ligi imekweishaa mkuu?? Nimeona juukwaa la manjesta city kuwa ligi imeshaisha na Sasa sisi tunaenda kuwa mabingwa wa uefa na Europe na epl yani ni mwendo wa ndoo Tatu msimu ujao hahahaha hahahaDah !Alhamdulilah bora tumerudi UEFA ,Chelsea si ya kucheza ligi za mchangani aisee .Ilikuwa ni dharau kibonde arsenyani anacheza UEFA halafu Champion kama Chelsea anacheza conference , hii ilikuwa ni fedheha
Big up kwa boys , wakaze msimu ujao tugombanie ubingwa ,msimu huu kuna muda walikata moto ,tukawa tunapata matokeo ya ovyo ila tulianza vizuri sana
Kazunguke kwenye majukwaa sasa unayo sababu mkuuOyaaaa nasikia tumeshindaa ukooo, vip anafuata nani...ni mwendo wa vipigo tuuu hahahahahahaha sisi ndio Chelsea bwanaaaa hahahahaa😄😄😄😄🤣🤣🤣
Boehly na Eghbali walivyofurahi leo naona tutasajili sasa wachezaji wa kuongezea ili mwakani tubebe na UCl kabla ya ArsenalDah !Alhamdulilah bora tumerudi UEFA ,Chelsea si ya kucheza ligi za mchangani aisee .Ilikuwa ni dharau kibonde arsenyani anacheza UEFA halafu Champion kama Chelsea anacheza conference , hii ilikuwa ni fedheha
Big up kwa boys , wakaze msimu ujao tugombanie ubingwa ,msimu huu kuna muda walikata moto ,tukawa tunapata matokeo ya ovyo ila tulianza vizuri sana
Ngoja nikakichafueeee hukoooKazunguke kwenye majukwaa sasa unayo sababu mkuu
Jamaa anaongea kwa authority ni Kama vile ni captainLevi Colwill juu ya kupata kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa:
"Tumerudi pale tunapopaswa kuwa. Vijana wanapata kujithibitisha. Kila mtu amekuwa akizungumza mengi kuhusu sisi, lakini tumefanya."
Upuuzi huu! sasa wanashangilia nini?! Taratibu tunaanza kuwa kama Arsenal.Wale kunguni, viroboto na chawa wal;iokuwa wakivamia jukwaa letu leo wamepotelea wapi? Nauliza jamani!
View attachment 3345797
Kama kocha ni huyu huyu mwanafunz wa Pep, hatuwezi kuachieve chochote. Wanafunz wa Pep wote ni viazi.Boehly na Eghbali walivyofurahi leo naona tutasajili sasa wachezaji wa kuongezea ili mwakani tubebe na UCl kabla ya Arsenal
Kwa namna mpito wa team ulivyokuwa na vile wachezaji walikuwa wanashambuliwa na mashabiki pamoja na wachambuzi mbalimbali mpaka wakaambiwa hawawezi kwenda champion league Wana kila sababu ya kushangiliaUpuuzi huu! sasa wanashangilia nini?! Taratibu tunaanza kuwa kama Arsenal.
Shida ni kwamba hakuna kocha proven winner anayezagaa bila timu hivyo naona tukiendelea na upside down hizi msimu ujaoKama kocha ni huyu huyu mwanafunz wa Pep, hatuwezi kuachieve chochote. Wanafunz wa Pep wote ni viazi.
Enzi za Abrahamovic kocha alikuwa ameshaenda na majiUpuuzi huu! sasa wanashangilia nini?! Taratibu tunaanza kuwa kama Arsenal.
Tupo kwenye ujenzi wa team ni lazima tukubali hili Enzo Maresca tutaanza kumdai msimu ujaoEnzi za Abrahamovic kocha alikuwa ameshaenda na maji
Tuna sababu ya kushangilia na wala hatutakuwa kama Arsenal. Tutabeba Conference na mwakani lazima tutashinda makombe zaidi. Uzuri mmoja Maresca ameshajua mahsabiki wa Chelsea wanataka nini. Zile hotuba zake za kijinga za Novemba hadi Feb kaziachaKama kocha ni huyu huyu mwanafunz wa Pep, hatuwezi kuachieve chochote. Wanafunz wa Pep wote ni viazi.
Ni kweli siku hizi amejifunza sana kabadilika kwenye kauli lakini kwenye selection watu wamecritise sana kwenye hiliTuna sababu ya kushangilia na wala hatutakuwa kama Arsenal. Tutabeba Conference na mwakani lazima tutashinda makombe zaidi. Uzuri mmoja Maresca ameshajua mahsabiki wa Chelsea wanataka nini. Zile hotuba zake za kijinga za Novemba hadi Feb kaziacha
Tatizo sio kocha anayezagaa, wakati wamiliki wanatafuta kocha, Hans Flick alikuwa huru, Luis Enrique alikuwa huru. Profile ya kocha wanayemtaka ni Maresca hata tulie namna gani hawatambadilisha labda aboronge sana. Tena sasa ameipeleka timu Klabu bingwa ataongezewa miaka 10Shida ni kwamba hakuna kocha proven winner anayezagaa bila timu hivyo naona tukiendelea na upside down hizi msimu ujao
Halafu wanashangilia kama wamebeba ubingwa vile? Yaani tabia za Arsenal kabisa hizi za kushangilia nafasi ya 4, Yaani hata liva waliobeba ubingwa hawajashangilia Hivyo!Kwa mabilioni tuliyotumia kuwekeza kununua wachezaji lori 6 na nafasi tuliyomaliza EPL haviendani. Kiuchumi tunaendelea kupata hasara