Safi sana, wakina mama wametulipia, hao wakina mama wanapga direct football moja ya hatarii nimewacheki for the first tym jana,mpira unavutia kuangalia. sio kama wanaume mpira unazunguuushwaa weeee bila kujua waufanyie nini!!
Kuna wachezaji sijui wamefikaje EPL.Jackson keshamaliza msimu na magoli yake 10.
Kikosi ni cha kawaida sana! Kinabebwa tu na historia ya klabu walioisimika wakongwe, na mashabiki.Timu ya ajabu sana hii
Kuna watu wana bahati sana. Huyu jamaa ni mojawapoKuna wachezaji sijui wamefikaje EPL.
Hahaha! Daraja limevunjika. Yaani timu inaogopa kukaribia boksi. Poleni mashabikiMatokeo yanafurahisha π
Nafasi ya pili mjomba sio πππMechi ya kesho dhidi ya Newcastle ndiyo itatoa maamuzi kama tunakuwa nafasi ya pili au tunamaliza nje ya top 5. Any draw au ushindi itatuweka katika nafasi nzuri sana.