The coolest jw
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 784
- 1,159
Wasajili tu japokuwa nimeona weak foot yake pia ameifanyia mazoezi inapiga mpira kiasiMadueke amekuwa wa hatari sana baada ya kocha kumuhamishia upande wa winga wa kushoto. Naona uongozi unaweza kuachana na mpango wao wa kumsajili winga mpya wa kushoto badala ya Mudryk
Hivi tofauti na chelsea huwa mnaangalia na timu nyingine zinapokua zinacheza lakin? Au huwa mnaangalia chelsea pekee? Yaani Madueke ni winga hatari??Wasajili tu japokuwa nimeona weak foot yake pia ameifanyia mazoezi inapiga mpira kiasi
Pasipo cucurella hapo naona hii static ni batili tupu hakuna aliye perform kama cucurella msimu kwenye squad yetuWachezaji 5 Bora wa PL wa Chelsea Msimu wa 2024/25 Kulingana na:
FotMob
1. Cole Palmer - 7.70
2. Moisés Caicedo - 7.40
3. Enzo Fernandez - 7.33
4. Noni Madueke - 7.22
5. Nicolas Jackson - 7.13
Sofascore
1. Cole Palmer - 7.66
2. Enzo Fernandez - 7.34
3. Moisés Caicedo - 7.24
4. Noni Madueke - 7.10
5. Pedro Neto - 7.06
WhoScored
1. Cole Palmer - 7.38
2. Moisés Caicedo - 7.02
3. Enzo Fernandez - 6.98
4. Nicolas Jackson - 6.94
5. Noni Madueke - 6.87
Ile mechi ya Kwanza waliomba mechi iishe na walipack bus na refa akawa wao tuliwadhidi kila kitu, in short Chelsea inabebwa na hao viungo watatu na kocha Kama ana akili sometimes anabadilke kidogo Caicedo na Lavia wacheze Kati Enzo no 10 alafu Palmer acheze left wing na right back awe Reece James au Gusto oya wapinzani wataomba pooHalafu anakuja mtu anakwambia liva wamelipa fadhila wametuachia!!! Aisee
Shida injury prone ya lavia...unafikiri haelewi hvyoIle mechi ya Kwanza waliomba mechi iishe na walipack bus na refa akawa wao tuliwadhidi kila kitu, in short Chelsea inabebwa na hao viungo watatu na kocha Kama ana akili sometimes anabadilke kidogo Caicedo na Lavia wacheze Kati Enzo no 10 alafu Palmer acheze left wing na right back awe Reece James au Gusto oya wapinzani wataomba poo
Kuwa seriyazi Mzee timebakiza point ngap tumkutie bingwa wa msimu huu???Tukijitahid kushinda game zilizobaki hata ubingwa tunaweza tukabeba.😂
Hata Caicedo akicheza RB bado inatia kiungo uhai kwa sababu ana invertIle mechi ya Kwanza waliomba mechi iishe na walipack bus na refa akawa wao tuliwadhidi kila kitu, in short Chelsea inabebwa na hao viungo watatu na kocha Kama ana akili sometimes anabadilke kidogo Caicedo na Lavia wacheze Kati Enzo no 10 alafu Palmer acheze left wing na right back awe Reece James au Gusto oya wapinzani wataomba poo
Vipi unamuonaje kiuwezo?Eti huyu kinda naye leo anacheza
View attachment 3328292
Hata tusiposajili, tutabeba EPL kabla ya ArsenalTHE BLUES tukifanya sajili za kimkakati/kucover gaps za injury prone players/baadhi ya nafasi kureplace na matured players tunaweza kubeba EPL kabla ya Aser8.
Umemsikia Evra alivyowaita Arsenal? kuwafuatilia Arsenal ni sawa na kufuatilia muvi za Netflix kwa sababu daima unatakiwa kusubiri season inayofuataApendaye chongo huita kengeza
Niliwaambia Arsnal tutabeba kombe kabla yao, wakabeza kama hivyo. Ila kinachotaka kwenda kutokea.Apendaye chongo huita kengeza
Tukifungwa itabidi tuombe Forest wapoteze point kwa Leicester city. Chelsea ssisis tutajitetea kwa kwa wale Nyumbu wa Serenegti na Forest. Chelsea ikifungwa leo na Forest wakafungwa au kudroo bado tutakuwa kwenye Nafasi ya 5 kwa wingi wa GD dhidi ya Aston Villa. Kumbuka New Castle wana Arsenal na Everton. Lazima mmoja atampin dulia meza hapo. Forest akishinda leo watafanya tu fainali ya tarehe 25 May kuwa ngumu zaidi. Ila Chelsea tukishinda leo, fainali hiyo inakuwa rahisi sana na pengine ikawa kukamilisha ratiba tu. Chelsea hoyee!Mechi ya kesho dhidi ya Newcastle ndiyo itatoa maamuzi kama tunakuwa nafasi ya pili au tunamaliza nje ya top 5. Any draw au ushindi itatuweka katika nafasi nzuri sana.
Man anafungwa na timu zote duniani ila akikutana na Chelsea tuh anakua kama real MadridTukifungwa itabidi tuombe Forest wapoteze point kwa Leicester city. Chelsea ssisis tutajitetea kwa kwa wale Nyumbu wa Serenegti na Forest. Chelsea ikifungwa leo na Forest wakafungwa au kudroo bado tutakuwa kwenye Nafasi ya 5 kwa wingi wa GD dhidi ya Aston Villa. Kumbuka New Castle wana Arsenal na Everton. Lazima mmoja atampin dulia meza hapo. Forest akishinda leo watafanya tu fainali ya tarehe 25 May kuwa ngumu zaidi. Ila Chelsea tukishinda leo, fainali hiyo inakuwa rahisi sana na pengine ikawa kukamilisha ratiba tu. Chelsea hoyee!
Mechi ya leo tunadroo au kushinda
Mechi na Man United tunashinda na kufikisha points 69, mechi na Forest tunadroo na business will be over for 2024/25
View attachment 3330471