OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Hizi nde game zilobakia🥺🥺🥺Mechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea
Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Bonge mojaa ya golii, hii ilikuwa ni gemu gani??
Mechi ngumu hapo ni hizo za Newcastle na ForestMechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea
Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Wakuu vip Leo tunakipiga na nani?? Leo tuwakalishe hao mambanga tunaocheza nao tuyingie top Foo..
Halafu saiv tuko kwenye kombe Gani tunagombaniyaa😭😭😭
#CFC💙💙💙
🤣🤣🤣🤣Leo mchana huu 8.30 tunacheza na Everton
Baada ya hii taarifa kuna msela atakuja hapa kuuliza
Vipi leo Chelsea ina mechi😀😀
Wakuu vip Leo tunakipiga na nani?? Leo tuwakalishe hao mambanga tunaocheza nao tuyingie top Foo..
Halafu saiv tuko kwenye kombe Gani tunagombaniyaa😭😭😭
#CFC💙💙💙
Sisi tukomae tu na comference, huku tuwaachie mijusi na akina City. Hatuna uwezo wa kushinda mechi hata moja hapo. FactMechi zilizobakia ni zakucheza kufa na kupona maana zote ni za kugombania kuingia uefa
Chelsea vs Liverpool
Newcastle vs Chelsea
Chelsea vs Man U
Nottingham Vs Chelsea
Tukizichanga karata zetu vizuri na kucheza kitimu tunatoboa japokuwa sio mechi za kubeza nimechi kweli ngumu sana kama kupanda mlima mrefu
Hata benchi kwenye timu ya msimu hawezi kuwepoHata leo timu ya msimu ikipangwa huyo mpiga nyeto atakuwepo
Na kushindwa kwake kufunga mabao bado anaongoza ligi kwa vigezo vingi
Wonder kid wetu sio, basi sawaKwani wewe huna akili mpaka utake group discussion
Huyo jamaa simuelewagi kabisa
Jamaa anatabirika sana kila akija humu ni hivyo kama robot😀 😀😀🤣🤣🤣🤣
Hawa wakinamama nao wamekua kama wanaume wao, badala y kukaza waingie fainali manina.Chelsea women wanauliwa huko na barca women
Hata benchi kwenye timu ya msimu hawezi kuwepo
Hata benchi kwenye timu ya msimu hawezi kuwepo
Ila huyu Slot Naamini amepita Na upepo wa Klopp pamoja na kikosi bora alichoachiwa.
Acha nongwa we mzee😂😂😂 nani alipita na upepo wa mzee Ferguson?Ila huyu Slot Naamini amepita Na upepo wa Klopp pamoja na kikosi bora alichoachiwa.
PiHawa wakinamama nao wamekua kama wanaume wao, badala y kukaza waingie fainali manina.
HahahaWazee nimefuga rasta, naombeni connection ya boss nipate usajili 😄