Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Kumzungumzia Madueke kiukweli ile game na Brentford imenifundisha kwamba huyu dogo sio mbovu kiivyo ila tu ana tatizo la kujisahau mchezoni. Yan anaacha kufanya ya msingi anaanza kucheza na jukwaa baada ya kufunga au kutoa assist.Madueke ni mchezaji mzuri lakini hajafikia viwango, ni mchoyo, hadi aache uchoyo ndipo Chelsea tuanza kuwaza ubingwa
Ikiwa Chelsea haitaacha mtindo wao wa kucheza [mtindo wa kushambulia wa transition], Everton itaruhusu mabao mengi.Game ya Everton pale goodison park naona itakuwa ngumu sana ni game ambayo everton watacheza kwa nguvu Na kwa hamasa kubwa
UnakazwaNyie kenge mnapangwa na wachovu tu
Ubwa nyie
Kenge 0-4 tmgds
HTNyie kenge mnapangwa na wachovu tu
Ubwa nyie
Kenge 0-4 tmgds
Scavenger wa magoli, anajua kutime hasa lile goli la pili na ananikumbusha Samuel EtooHuyu dogo Marc EPL awe anapewa dakika za jioni pale tunapoongoza mechi. Dogo mzuri sana kwenye kufunga.
Kumzungumzia Madueke kiukweli ile game na Brentford imenifundisha kwamba huyu dogo sio mbovu kiivyo ila tu ana tatizo la kujisahau mchezoni. Yan anaacha kufanya ya msingi anaanza kucheza na jukwaa baada ya kufunga au kutoa assist.
Anajua kupress, kukaba na kudaka kama Jakson??Huyu dogo Marc EPL awe anapewa dakika za jioni pale tunapoongoza mechi. Dogo mzuri sana kwenye kufunga.
Hawa hawa tunaowachukulia poa ndio wanaweza kuwa wachezaji wakubwa si umeona tulivyoanza kuwaamini wakina James huyo dogo Ana vitu vizuri ambavyo Ni mahitaji ya soka la Sasa anajua kupress, kufunga na kufanya movement nyingi ndani ya boxChief Umenielewa? Nimesema apewe dakika za jioni pale tunakapokuwa tunaongoza kwa magoli. Angalau dk 5 au 10 za mwisho.
Uchezaji wake siku hizi umeanza kubadilika, unaona kabisa kuna kitu makocha wanafanya juu yake. Anaongoza kutoa krosi murua kabisa, anaongoza kwenye kupeleka mipira ya hatari golini. Ameanza pia kuwaona wenzake kwa klutoa pasi. Hizo ndizo madhaifu yake makubwa huko nyuma.Kumzungumzia Madueke kiukweli ile game na Brentford imenifundisha kwamba huyu dogo sio mbovu kiivyo ila tu ana tatizo la kujisahau mchezoni. Yan anaacha kufanya ya msingi anaanza kucheza na jukwaa baada ya kufunga au kutoa assist.