kuna mech tutakutana nazo unapata chance mbili tu au tatu, kw huyo jackson hatuwezi kutoboa. Ndio mana kocha anakosa kujiamini, Ubingwa huo hapo unajileta wenyewe mtu anaukataa si kutokujiamini huko, asije akawa tapeli tu kama Arteta, mafesii kibaoo.Katika mashabiki waliokuwa hawamkumbali Jackson mimi nilikuwa miongoni, nikamtungia jina Mbabua makipa.
Ila kwa sasa nimekuwa miongoni mwa mashabiki tunaomkubali Jackson. Jamaa ameimprove sana kwenye kufunga magoli.
Na umuhimu wake uwanjani unaonekana sana kwenye pressing, kukaba, dribbling na kufunga kiufupi ana sifa nyingi sana +ve uwanjani.
Kwa uchezaji wa Maresca hatuhitaji striker wa kusimama kule mbele kama sanamu anayesubiria aletewe mipira afunge magoli na ingekuwa ni hivyo Nkuku angekuwa chaguo la kwanza.
Kocha anamuhitaji stiker aina ya Jackson anayeshiriki kukaba, kutengenza mashambulizi na kufunga magoli.
Jackson kwa sasa ni dhahabu THE BLUES otherwise aje kocha mwingine anahitaji striker sanamu kule mbele.
Inasemekana anatumia dawa zilizozuiliwa michezoni,,,,zinasisimua misuliKafanyeje Tena huyo?
Ungejibu swali na sio kuzunguka mbuyuWe jamaa si tumeambiwa ni mtu mzima wewe?! Sasa ni nini hichi umeandika?
Kwa hiyo pia tunavyosema sanchez ni kipa mbovu, ni kwamba tunajua zaidi kuliko kocha?
Maresca ni kocha pia sio mungu kwamba hakosei. Mi kuna siku nimemkosoa daktari kwa kile nachokiamini mimi na wala sijawahi hata kuusomea udaktar, mwisho wa siku mimi ndio nilikua sahihi.
Tuache kuburuzwa kama Arsenal, Havertz anaonekana kabisa anawakaba, lakini kocha anawaaminisha kuwa pale Arsenal hakuna mchezaji kama yeye. Na yenyewe ilivyo ming'ombe inaamini.
Kilichofanyika ni Test ya A Sample (preliminary test), bado test ya B sample (Detailed test)Kitumbua kimeingia mchanga kwa Mudrky, habari mbaya sana kwake.
Kabisaaaa tena wasituchoshe na mipasha yao ya kila siku. Sisi shida yetu point 3 na kurudi nyumbani yaani UEFA Champion League tumepamisi sana......msimu mmoja bila kucheza UEFA ni sawa sawa na Miaka kumi kwa Chelsea kutocheza UEFASisi tupo kwenye harakati za kupambania kutoshuka daraja na kuhakikisha timu inamaliza kuanzia nafasi ya 12 kwenda juu. Mbio za ubingwa tunawaachia Liverpool, Arsenal na Man utd. Mtutoe kwenye mbio za ubingwa
🤣🤣Hivi hawa watu kwa nini wanatulazimisha tuwe kwenye mbio wakati bado tunajenga timu. Au wanataka ujenzi uharibike ili kule mbele tusiwape vipigo?
View attachment 3178712
Game na Liverpool alitucost sana aiseeSanchez ni Garasa/Famba tu wala haiondoi ukweli ambavyo huwa anaigharimu timu pakubwa sana.
Ananikumbusha Pepe Reina wa Liverpool miaka ile kwa kuokoa mipira ambayo migumu ila mipira mirahisi kuiokoa ndiyo anaichomesha.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Bank ya marekaniTajiri Miluzi adhibitiwe mapema ameshatenga £1B ya usajili.
Duh ! Huyu dogo anaenda kupotea aisee .Kilichofanyika ni Test ya A Sample (preliminary test), bado test ya B sample (Detailed test)
Kama B Sample italet matokeo mabaya, anaweza kufungiwa miaka minne
Ngoja kibanda kianze kuungua ndio utajua kocha anazingua. Na wachezaji wake pendwa.Ungejibu swali na sio kuzunguka mbuyu
Sanchez ni mbovu kwetu sisi mashabiki na mapundit lakini kwenye pecking order ya Maresca pale Chelsea Sanchez ndie bora kuliko Jorgensen. Tunapata matokeo mazuri tena kupita tulivyotegemea, sasa tunataka nini zaidi
Jamaa alijibu kikubwa sana. 🤣🤣🤣Juzi baada ya Mechi, CAICEDO aliulizwa na waandishi wa habari unasemaje kuhusu mbio za ubingwa?
CAICEDO akajibu sisi wachezaji tunapambania point 3 uwanjani. Binafsi hata sijui tuko wangapi kwenye msimamo wa ligi.
Sio kwamba wanalazimisha, Maresca mwenyewe anasema hivyo ili kupunguza presha kwa wachezaji. Ila ukweli halisi Chelsea iko kwenye kupigania ubingwa wa ligi. Ndio maana huyo huyo Maresca anashangilia na kufurahia sana pindi mpira unapo isha na kuondoka na pointi tatu.Hivi hawa watu kwa nini wanatulazimisha tuwe kwenye mbio wakati bado tunajenga timu. Au wanataka ujenzi uharibike ili kule mbele tusiwape vipigo?
View attachment 3178712
Unashika nafasi ya ngopi? Wewe ulitakiwa uzungumze na midtable wenzako sio kuja huku kupiga keleleLeaked photo of part of Mihadarati fc players lining up yakutolewa damu ipimwe, wame ambiwa it's either watoe daView attachment 3179306mu wenyewe ama wafungwe kwa mti watolewe damu by force. Things are going south for that Fulham Road outfit, it's kicking and going 🤣🤣
Wote tunatambua kwamba hakuna asiyeutaka ubingwa. Na ukishinda mechi yoyote ile lazima ufurahi. Nadhani anachokifanya Maresca sio kuwaandaa watu endapo atashindwa kuchukua ubingwa anachokifanya ni kuituliza timu na wachezaji wasiingie kwenye wenge na kupoteana kisaikolojia. Naamini haya kwa sababu hata waliompa kazi sidhani kama walimwambia msimu huu alete PL tittle.Sio kwamba wanalazimisha, Maresca mwenyewe anasema hivyo ili kupunguza presha kwa wachezaji. Ila ukweli halisi Chelsea iko kwenye kupigania ubingwa wa ligi. Ndio maana huyo huyo Maresca anashangilia na kufurahia sana pindi mpira unapo isha na kuondoka na pointi tatu.
Itakuwa ni upumbavu mkubwa kusema hauko kwenye mbio za ubingwa wakati hapo nyuma umetumia 1B kwenye usajili. Kwa maana nyingine Maresca ana waanda watu kisaikolojia ili akishindwa kuchukua huo ubingwa asiwe na lawama. Maresca, mimi sio mtoto mdogo unidanganye eti Chelsea haiko kwenye mbio za ubingwa wakati naona kabisa kwa sasa wachezaji wanaingia uwanjani wana fosi kabisa kushinda mechi.
Umeongea point kubw amkuu. Kocha hataki distruptionWote tunatambua kwamba hakuna asiyeutaka ubingwa. Na ukishinda mechi yoyote ile lazima ufurahi. Nadhani anachokifanya Maresca sio kuwaandaa watu endapo atashindwa kuchukua ubingwa anachokifanya ni kuituliza timu na wachezaji wasiingie kwenye wenge na kupoteana kisaikolojia. Naamini haya kwa sababu hata waliompa kazi sidhani kama walimwambia msimu huu alete PL tittle.
Kwahiyo anachokifanya Maresca ni kupooza joto la waandishi wanaotaka aseme anawania ubingwa then pressure itaenda kwa wachezaji baada ya hapo hakutakua na mentality ya kushinda kila mechi. Lakini kiuhalisia ile nginja nginja ya kila mechi kama hii dhidi ya Spurs na Brentford unajua kabisa hii ni mentality ya ubingwa