Kwa Sanchez nakuunga mkono anatufelisha sana.
Jackson - anazidi kuimarika kwenye finishing, misimu 2 au 3 ijayo atakuwa bonge la mfungaji. Kwa sasa aendelee kubabua makipa
Madueke - Kuna msemo unasema "Tabia yake ndio sababu" mchezaji mzuri anatakiwa acheze kitimu aache ujuaji, majivuno na ubinafsi.
Fofona - Back from injury tumpe muda.
Felix - Mchezaji boss. Acheze mpira aache uboss uwanjani. Kijana ana kipaji kikubwa.
Enzo - Pesa nane anachanganya role yake uwanjani.
Kiufupi wachezaji uliowataja Sanchez ndio takataka, hao wengine ni kuendelea kujiboresha kiuchezaji na kitabia. Wasipobadilika tunaendelea kusajili mashine za kazi kuchukua nafasi zao.
Unasema mafanikio tuliyopata tayari. Hadi dk hii tuna mafanikio ghani?Hujui jinsi tulivyo na bahati kuwa na meneja ambaye ana mbinu na pia anachukua muda wake binafsi kuwafundisha wachezaji mmoja mmoja hadi aelewe.
Tumemwajiri kocha tu wakawaida na sasa amegeuka kuwa wadhaman kuliko makocha wenye majina ambao tulikuwa tukiwafikiria. Kocha mnyenyekevu hadi kwa wamiliki naona amefit kila sehem,eu. Msimu huu hatutasikia tena zile vurugu za kocha na wamiliki au na SD.
Wachezaji wameimarika na dhamani zao zinapanda, timu na thamani ya soko pia imeboreka.
Ninaona zile hadithi na kelele za Mauricio Pochettino zimekufa kifo cha mende tayari. Kulikuwa na mashabiki wengi waliobeza usajili wa Maresca wakisema kwamba hana uzoefu katika ligi za heavyweight kama EPL, kwamba ni rigid na si kocha wa mbinu.
Kwangu, naona vibe na ladha ya PEP Guardiola. Tuna bahati sana kuwa naye na kwa mafanikio tuliyoyapata tayari.
View attachment 3134764
Mbona nasikia usajili wa Victor Osmeh ni unfinished business. Mabosi wanamtakaJanuary tumchukue Viktor Gyokeres huyu ndio mchezaji wa kucheza Chelsea sio hao matakataka.
Jackson hakuna kituKwa Sanchez nakuunga mkono anatufelisha sana.
Jackson - anazidi kuimarika kwenye finishing, misimu 2 au 3 ijayo atakuwa bonge la mfungaji. Kwa sasa aendelee kubabua makipa
Madueke - Kuna msemo unasema "Tabia yake ndio sababu" mchezaji mzuri anatakiwa acheze kitimu aache ujuaji, majivuno na ubinafsi.
Fofona - Back from injury tumpe muda.
Felix - Mchezaji boss. Acheze mpira aache uboss uwanjani. Kijana ana kipaji kikubwa.
Enzo - Pesa nane anachanganya role yake uwanjani.
Kiufupi wachezaji uliowataja Sanchez ndio takataka, hao wengine ni kuendelea kujiboresha kiuchezaji na kitabia. Wasipobadilika tunaendelea kusajili mashine za kazi kuchukua nafasi zao.
Osimhen ana heavy touch. Hatufai kwa philosophy tunayoitaka cha maana ni nguvu na shooting strengthMbona nasikia usajili wa Victor Osmeh ni unfinished business. Mabosi wanamtaka
Mbona nasikia usajili wa Victor Osmeh ni unfinished business. Mabosi wanamtaka
Kuna vitu kocha akiviogopa vitamsumbua huko mbeleni, kocha hatakiwi kuwaogopa wachezaji mana wachezaji wakishajua unawaogopa watakua wanachafua dressing room hat kw kitu kidogo, ila ukionyesha msimamo watakuheshimu. Soo kocha yupo sahihi atakaechafua anaonyeshwa mlango haijalishi ww ni mchezaji gani,kama Pep tu au ArtetaSio kila kitu ni chakuweka public kwenye issue sensitive kama hii alipaswa kuongea nae privacy cos inaweza kasababisha wachezaji wenzake wawe na sauti juu yake
Ila we jamaa unachuki na Madueke 🤣🤣THE BLUES vs NEWCASTLE
Pazia
Gusto
Fofona
Colwil
Cucurela
Caicedo
Lavia
Sancho
Palmer
Madueke - Japo sio kwa umuhimu
Jackson - Aendelee kubabua makipa
1. UbinafsiIla we jamaa unachuki na Madueke 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣1. Ubinafsi
2. Uchoyo
3. Ujuaji
4. Majivuno
5. Kitambaa kichwani
Ina maana NETO anazidi kuimarika dhidi ya SANCHO na sio MADUEKE?Confirmed line up vs Newcastle
View attachment 3136462
Cricfy tvApp gani nzuri ya kuangalia game za nje live ??
Shukrani chiefCricfy tv