Infact hata kwenye team play mimi namuona Caicedo ni bora kuliko Ryan kwa sababuKwenye team play ryan mzuri kuliko Caicedo ila kwenye ukabaji, Caicedo ni bora kuliko Ryan
Premium League Data
View attachment 3132650
Na madaktari makanjanja wa Chelsea wamkate mguu kabisa ,kama walivyopendekeza kwa Lukaku .🤣🤣🤣🤣🤣
Chelsea nisiyemuelewa ni mudryk
Anakimbia hovyo bila malengoHUyu dogo kaathirika kisaikolojia , wanatakiwa wamjenge psychology yake
Kingine mabeki hakuna kituKama Madueke naye alikuwa zoba tu ,ila kaanza kuonyesha improvement ,basi hata Mudryk ni zaidi .
Maana pale Talent ipo ,nadhani ni ile akili yake tu haijatulia
Kama umebahatika kucheki mechi hizi za karibuni Mudryk ameanza kurudi kwenye ubora tatizo lililobaki ni kupewa muda zaidi basiChelsea nisiyemuelewa ni mudryk
Lampard pia alisema hivyo ,kwamba dogo ana pace ya hatari ila sasa ni aimless ,sasa cha ajabu alivyokuwa Shakhtar hakuwa hivyo ,alikuwa anakimbia na kuscore au kuassist sana tena bila kupoteza mipira kiboya boya ,ndio maana nadhani kiakili hajakaa vizuri , ile Trauma ya enzi za Pochetino bado imemkamata ,maana lile lijomba nalo mfumo wake ulichangia sana kumtoa mchezoni huyu bwana mdogo .Anakimbia hovyo bila malengo
Kupata naomba so rahisi mbele ya sanchoKama umebahatika kucheki mechi hizi karibuni Mudryk ameanza kurudi kwenye ubora tatizo lililobaki ni kupewa muda zaidi basi
Umenena vyema kiongoziLampard pia alisema hivyo ,kwamba dogo ana pace ya hatari ila sasa ni aimless ,sasa cha ajabu alivyokuwa Shakhtar hakuwa hivyo ,alikuwa anakimbia na kuscore au kuassist sana tena bila kupoteza mipira kiboya boya ,ndio maana nadhani kiakili hajakaa vizuri , ile Trauma ya enzi za Pochetino bado imemkamata ,maana lile lijomba nalo mfumo wake ulichangia sana kumtoa mchezoni huyu bwana mdogo .
Mudryk ana kipaji ,timu nyingi tu kubwa na makocha wakubwa walikuwa wanamtaka
Ningependa kikosi kiwe hivi hiyo keshoKikosi cha wachezaji 22 cha Chelsea kitakachocheza na Panathinaikos:
Makipa:
Mabeki:
- Sanchez,
- Jorgensen,
- Bergstrom
Viungo:
- Adarabioyo,
- Badiashile,
- Cucurella,
- Disasi,
- Veiga
Washambuliaji:
- Enzo,
- Dewsbury-Hall,
- Casadei,
- Chukwuemeka,
- Rak-Sakyi
- Madueke,
- Mudryk,
- Neto,
- Joao Felix,
- Nkunku,
- Sancho,
- George,
- Guiu,
- Mheuka
Huyu dogo akirudisha kiwango chake tuna dhahabu pale darajani ,na umri bado mdogo , maana anakasi ya ajabu sana ,sasa akiwa lethal kwenye kuscore na kutoa pasi za assist za hatari .Umenena vyema kiongozi
Yeye aliitaka barca sawa na lewadowskRaphinha huyu dogo nakumbuka kuna kipindi tulikuwa tunamtaka tena tulikuwa kwenye hatua za mwisho kabisa kumchukua, Barcelona sijui walitokea wapi na dogo akabadili maamuzi. Huko anakiwasha sana, alikuwa sahihi kwenda huko.
Footwork yenyewe sasa kwenye EPL 2023/2024 kashachomesha magoli zaidi ya matatu, kweli bahati zina nguvu kuliko vipaji/uwezo binafsi.Hizo footwork ndio zinaokoa magoli sasa? Hiyo footwork inayoanzisha mpira mbele kwenda kufunga goli mpira ukirudi anafungwa goli, footwork inatoa maboko balaa kumpa pasi mpinzani