Anaonesha kocha anampenda mno hili litamgharimuIla wazee Sanchez atatugharimu sana, lile goli la pili unadaka kwa kufunga macho aisee, lile goli humfungi Ederson wa City.
Sijajua plan za kocha kwa Sanchez, ila Sanchez hapana aisee pazia la Ngorika bus
Yeye anampendea footwork yake but ndio unayotugharimu vibaya mnoTunakuwa tunafanya kazi ya kufungwa na kurudisha.
Wau, Caicedo kacheza vizuri, Madueke kacheza vizuri. Chuki dhidi ya Madueke zitawala kama mchwaAnatokea mtu anakwambia Madueke ndio kacheza vizuri, aisee!!
Caceido mechi nyingi tu anakiwasha.
Hakuna mchezaji aliyecheza vizuri dimba la kati kama Caicedo. Karudie kuangalia vizuri
Ulifanya comparison katika mechi ya Liver na Chelsea
Kwenye team play ryan mzuri kuliko Caicedo ila kwenye ukabaji, Caicedo ni bora kuliko Ryan
Naamini Sanche ni swala la mda tu.Anaonesha kocha anampenda mno hili litamgharimu
Wewe na wenzako mlikuwa mnaponda nyie ni wanafiki sana
Kiukweli hata mimi nashangaaHizo footwork ndio zinaokoa magoli sasa? Hiyo footwork inayoanzisha mpira mbele kwenda kufunga goli mpira ukirudi anafungwa goli, footwork inatoa maboko balaa kumpa pasi mpinzani
Unapofikia kutumia keywords ngumu uwe makini sanaWewe na wenzako mlikuwa mnaponda nyie ni wanafiki sana
Msimamo wako wa kutaka James auzwe bado upo?Unapofikia kutumia keywords ngumu uwe makini sana
Swali nimeuliza halafu nakuwaje mnafiki?
James na kitanda ndio mjadala mkubwa, atacheza mechi mbili atarudi kitandani
Tusubiri tuone
Nafikiri moe ni.emuona ni kipa mbovu sana bora hata huyu kipa alie takiwa kibaki ni petrovic huyu ndio alikuwa kipa boraKipa namba 2 uwezo wake ukoje?
Hili mimi nitalisema kila siku pale Chelsea hamna pimbi kwenye section ya goal keeping anayemfikia Petrovic , huyu Sanchez ni kiazi mmoja tu ambaye hafai kuwa Chelsea ni vile tu mahaba ya kochaNafikiri moe ni.emuona ni kipa mbovu sana bora hata huyu kipa alie takiwa kibaki ni petrovic huyu ndio alikuwa kipa bora
Anapondwa kw kuwategea wenzake, ila sio mchezaji mbaya ni world class, hakuna timu haanzi 1st eleven. ikipatikana kibunda auzwe tu gari la mkaa hilo.Wewe na wenzako mlikuwa mnaponda nyie ni wanafiki sana
Yule kipa wa pili mbona ni mzuri hakuna haja wa kusajili ila kwa beki nakuunga mkonoJanuary tuingie sokoni kusajili:-
1. Kipa mzuri
2. Beki wa kati kiongozi
Kuna mdau jana kasema kipa namba 2 sio mzuri kuliko Pazia la Ngorika busYule kipa wa pili mbona ni mzuri hakuna haja wa kusajili ila kwa beki nakuunga mkono
Sio kweli huyo kipa ni kipa no 1 kwenye team yake ya Taifa ni mzuri pia kwenye footwork kuliko Sanchez sasa sijui ni kwanini hqpewi nafasi ndio yale yale ya Petrovic kiukweli sijui huyu kocha anataka niniKuna mdau jana kasema kipa namba 2 sio mzuri kuliko Pazia la Ngorika bus
🤣🤣🤣Ni kuombea Sanchez aumie