Nipo Mkuu mwenzangu.
..Wiki iliopita I had a lot on my plate including safari ya Chicago.
Hii ngoma ilinipita lakini naona vijana hawakunilet-down.
To all haters eti sijui 'kombe la mbuzi', this is for you, mwanao ni
mwanao hata kama ni kilema!...Mtakula jeuri yenu tu.
I'm back!
Siku nyingi sijapata muda wa kukatiza humu jamvini....halafu eti mnashangalia!
Haya bana hongereni, sababu hata Anceloti akitimuliwa atakua na cha kujivunia.

Haha mtani bana una makeke mengi sana, ili kombe ushaona timu nyingine zinashangilia sana? Lakini Chelsea tushawazoea mnakawaida ya kufield first XI yenu ata kwenye makombe kama ya coca cola na sijui Inter Toto.
Karibu sana, lakini USIKIMBIE!
Siku nyingi sijapata muda wa kukatiza humu jamvini....halafu eti mnashangalia!
Haya bana hongereni, sababu hata Anceloti akitimuliwa atakua na cha kujivunia.
kimoja hunt
lool mimi nilikuwa nataka kuakikisha kwamba mpo manake community shield mlikuwepo mnaenda dakika kwa dakika leo naona kimyaaa.Mbona Drogba ameshasawazisha cku nyingi 37 minutes???
heshima zake kwa drogba manake mlikuwa mmelala
Tumemaliza mchezo kwa kifua mbele; thanx to the man of the match A.K.A "the Son of Africa" DROGBA.
Ze Blues 2 - Hull City 1
lool mimi nilikuwa nataka kuakikisha kwamba mpo manake community shield mlikuwepo mnaenda dakika kwa dakika leo naona kimyaaa.
Hahaha, walikuwa wameshikwa vibaya ndio maana hawakuonekana, lakini muda si mrefu wataanza kuja. Ila Drogba kawatoa leo.
Mr bean kashatoa dozi huku 6-1 kama namba yako ya majeruhi uliotaja.Tusubiri Mr. Bean utafanyaje na hao majeruhi wako 6, huku Everton wakikusubiri kwa hamu.
Wengine naona hamlali mpaka mtembelee hili jamvi letu kutoa vijineno. Drogba ndiye anatutoa kila siku na sio siri.Hahaha, walikuwa wameshikwa vibaya ndio maana hawakuonekana, lakini muda si mrefu wataanza kuja. Ila Drogba kawatoa leo.
Mr bean kashatoa dozi huku 6-1 kama namba yako ya majeruhi uliotaja.