Nafikiri kocha anaweza akaja na midfielders watatu Lavia, Enzo na Caicedo ninafikiri hivyo kwasababu kwenye press yake alisema mechi bora kwake ni ile dhidi ya Man city.Nikija kwa maoni yangu mimi ninaungana na hiyo line-up yako Enzo kiukweli ameshuka kiwango hata hiyo game dhidi ya man city hakuwa kwenye ubora hiyo ya midfielders watatu itafanya kazi pale tu Enzo akiwa kwenye uboraHaijalishi kesho tutakaa na mpira kwa muda gani, tutamiliki mpira kwa muda gani, ikiwa wachezaji wataweza kuwa wazuri wakiwa hawana mpira ni rahisi kuifunga Liverpool.
Liverpool wanapress sana na wachezaji wao wana kasi
Wana uwezo wa kumiliki mpira bila kupoteza hovyo
Wanaongoza ligi
Wana wafungaji hatari
Luiz Dias yuko kwenye form nzuri sana
Ryan Gravenberch ni hatari akipewa nafasi ya kuserereka na mpira
twende na 4-2-3-1
--------------Nkunku-------------
Sacho ----- Palmer-----Madueke
--- Lavia --------------Caicedo---
Veiga---Collwill---Tosin---Gusto
------------- Sanchez-------------
Kapteni VP hapoHaijalishi kesho tutakaa na mpira kwa muda gani, tutamiliki mpira kwa muda gani, ikiwa wachezaji wataweza kuwa wazuri wakiwa hawana mpira ni rahisi kuifunga Liverpool.
Liverpool wanapress sana na wachezaji wao wana kasi
Wana uwezo wa kumiliki mpira bila kupoteza hovyo
Wanaongoza ligi
Wana wafungaji hatari
Luiz Dias yuko kwenye form nzuri sana
Ryan Gravenberch ni hatari akipewa nafasi ya kuserereka na mpira
twende na 4-2-3-1
--------------Nkunku-------------
Sacho ----- Palmer-----Madueke
--- Lavia --------------Caicedo---
Veiga---Collwill---Tosin---Gusto
------------- Sanchez-------------
James ataanzia benchi kwa sababu katokea kwenye injuryKapteni VP hapo
Hizi ni opinions Acha kufanya vitu personal ,kwani wewe unapotamañi Chelsea imsajiri mchezaji flani ,hela huwa unatoa wewe ?Bado ni mchezaji mzuri so sioni tatizo lolote kwasababu tunaye melo Gusto anatubust kipindi yeye hayupo hata akikaa nje muda mrefu still akija anatupa kitu kizuri nyinyi mnaolalamika auzwe kwani hela mnatoa nyie
Viungo watatu maana yake aue na. 10 ambayo ni muhimu sana kwenye mechi hii na LiverNafikiri kocha anaweza akaja na midfielders watatu Lavia, Enzo na Caicedo ninafikiri hivyo kwasababu kwenye press yake alisema mechi bora kwake ni ile dhidi ya Man city.Nikija kwa maoni yangu mimi ninaungana na hiyo line-up yako Enzo kiukweli ameshuka kiwango hata hiyo game dhidi ya man city hakuwa kwenye ubora hiyo ya midfielders watatu itafanya kazi pale tu Enzo akiwa kwenye ubora
Madueke kivyovyote lazima aanze huyo ndio mchezaji pendwa wa kocha ukiachana na Fofana na anapendwa sio kwa bahati mbaya la hasha! Ni kwasababu anasaidia team kukaba na kupress ikiwa haina mpira kitu ambacho Neto afanyi ndio maana anaanza kila gemu.Vs Liverkuku Twende na 4-2-3-1
Sanchez
Gusto
Tosin
Colwill
Viega
Enzo
Caicedo
Madueke - Japo sio kwa umuhimu
Palmer
Sancho
Jackson - Aendelee kubabua makipa
Sasa hivi ndio anarudi kwenye kiwango chake sema shida namba yake ina SanchoKiberenge Mudryk hayupo hata benchi ?
Ila huyu dogo sikuamini kama angepungua makali kiasi hiki ,nilikuwa naamini tumempata Hazard mpya
Yah Jackson ataanza kwasababu ya pressingViungo watatu maana yake aue na. 10 ambayo ni muhimu sana kwenye mechi hii na Liver
Maresca hawezi kumchezesha Palmer RW na wala hataweza kumuacha Madueke kwenye bench
Pia kama unamfuatilia Maresca vizuri anataka kutenegenza starting XI isiyobadilika
Cucu na Fofana watakosa tu kwa sababu ya njano 5
Mimi nawaona wachezaji wale wale, hata Nkunku sidhani kama ataanza na kumuacha Jackson kwenye benchi
Mpigwe tu akili ziwakae sawa, James R miguu ya plastic. After first half atarudi tena wodini,,,, uzeni anakula pesa ya bure tu msimu mzima hawezi kucheza mechi 15!
Tuliza kitenesi dozi ikuingie,,, subiri 90minsAcha shobo mtoto wa kiume
Kikosi cha mauaji kabisaKikosi kilichothibitishwa kwa mechi ya Liverpool dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Anfield leo
4-2-3-1
--------------Jackson-------------
Sacho ----- Palmer-----Madueke
--- Lavia --------------Caicedo---
Gusto---Collwill---Tosin---James
------------- Sanchez-------------
Bench
- Bettinelli,
- Disasi,
- Badiashile,
- Veiga,
- Enzo,
- Dewsbury-Hall,
- Neto,
- Joao Felix,
- Nkunku