juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Changamoto kubwa ya Chukumweka ni majeruhi sio mchezaji anaeweza cheza game 5 mfululizoKacheza vizuri but sio mchezaji anayemzidi kwa kiwango Chukwuemeka kocha anamkosea sana heshima Chukwuemeka
MkohotiFelix ni takataka mwingine
Hata kama ni injury prone mbona Nkunku nafasi anapata why not Chukwuemeka, Chukwuemeka ni mchezaji mzuri ni technically gifted na mwenye uwezo wakukaba anaweza hata kuchukua nafasi ya Joao Felix kwanini hapewi nafasiChangamoto kubwa ya Chukumweka ni majeruhi sio mchezaji anaeweza cheza game 5 mfululizo
Of course upo sahihi tuna scout wazuri sana waliona tuna shida ya attack midfielder nilitegemea wangechukua high profile player wakamchukua Palmer ambaye alikuwa hana nafasi kabisa Man City, angalia pia biashara ya Jackson, Malo Gusto, Chukwuemeka, Madueke in short hiyo idara imeshiba ina jicho la kuona mbaliKatika kitu mashabiki inabidi tutulie ni scout wetu Tunascout wazuri kwa sasa. Tuachane na habar za kutaka majina makubwa
Samu,Duran hawa ni aina ya wachezaj ambao karibia tuwasajili sitoshangaa misim 2 ijayo wakiuzwa 80+
Tuliachana na deal la Calafiori tukaenda kwa Veiga na sasa tunamuona Veiga kila akipata nafasi anakiwasha..
Kitu nachoamini kama unascout wazuri unaweza pata wachezaji wazuri kwa bei ndogo sana
Ndio eti wakumuweka benchi Chukwuemeka kocha anatakiwa amuamini kijana huyu hatajuta Joao Felix anampira wakibishoo asipobadilika itamcost, Chukwuemeka ni fighter na ananjaa ya mafanikioJoao Felix ana shida gani, mbona haendani hata na mchezaji wa mil 10?
nI mayai sana
mipira almost 70% aliyopewa alipoteza kidhaifu na kilaini juana.
Au mfumo wa Marseca hauendani naye nini
🤣🤣🤣🤣Mfano huyu Papas Gx ni bonge la takataka 😂😂😂😂🤣
Mkohoti, Mkohoti, Mkohoti nimekuita mara 3.Ndio eti wakumuweka benchi Chukwuemeka kocha anatakiwa amuamini kijana huyu hatajuta Joao Felix anampira wakibishoo asipobadilika itamcost, Chukwuemeka ni fighter na ananjaa ya mafanikio
🤣🤣🤣🤣Mkohoti l, Mkohoti, Mkohoti nimekuita mara 3.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Jao Felix Ndio mchezaji wa Mkohoti sasa mbona kachagua koroma.Mkohoti l, Mkohoti, Mkohoti nimekuita mara 3.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Enzo Maresca: "Reece James is still not ready, not available. All the other players are available now".Hata kama ni injury prone mbona Nkunku nafasi anapata why not Chukwuemeka, Chukwuemeka ni mchezaji mzuri ni technically gifted na mwenye uwezo wakukaba anaweza hata kuchukua nafasi ya Joao Felix kwanini hapewi nafasi
Hivi Reece James kuwa analipwa mshahara wote anapokuwa majeruhi au anakatwa?Enzo Maresca: "Reece James is still not ready, not available. All the other players are available now".
"Carney was in the squad for Gent but didn’t feel well during the night, he was ill".
Kwani hata hapo kabla nafasi alikuwa anapataEnzo Maresca: "Reece James is still not ready, not available. All the other players are available now".
"Carney was in the squad for Gent but didn’t feel well during the night, he was ill".
Kwa mujibu wa fabrizio: Management imesema inafurahishwa na Reece James na leadership aliyonao wa kutoa maelekezo hata akiwa nje ya uwanja na wapo katika hatua ya kuwa na angalizo la kutomuaisha kucheza haraka mpaka alone kabisa na watatumia nafasi hiyo kwenye mapumziko ya international matchHivi Reece James kuwa analipwa mshahara wote anapokuwa majeruhi au anakatwa?
nadhani ni upatikanaji wake ila ujio wa felix ni kama umeziba nafas yake kiasi fulaniKwani hata hapo kabla nafasi alikuwa anapata
Point yangu miminadhani ni upatikanaji wake ila ujio wa felix ni kama umeziba nafas yake kiasi fulani
Kwa hiyo leo tuwabetie wana wan wa chelsea fc..?Leo tumbonde Nottingham za kutosha ili tujiimalishe zaidi pale juu