Ngoja uje ulete pua zako pale darajani ndio utakiona cha mtema kuni , tutawanyoosha si chini ya goli 4 ,Hizi ligi za matopeni ndio size yenu
Mnacheza na timu za matopeni conference huko poor chelshitNgoja uje ulete pua zako pale darajani ndio utakiona cha mtema kuni , tutawanyoosha si chini ya goli 4 ,
Hii Chelsea ni ya kugawa dozi nzito nzito , usiombe kukutana na sisi
Utajuta ewe shabiki lia lia wa kuku kishingo
Mkuuu hapo ssa toa maoni yako KDH kwa upande wangu kache@a vzr sanaKwa watu humu wanamsemaga Nico Jackson nadhani umejionea kwanini Jackson anaanza badala ya Nkuku, Nkuku ni finisher mzuri sana kuliko Jackson but kazidiwa vitu vingi na Jackson hivyo vitu ndio mpira wa sasa unataka zile chance anazopata hazijagi kwa bahati mbaya ni kwasababu ni mzuri kwenye kujiposition, ana press sana na uhusika wake wa mchezo ni mkubwa ukilinganisha na Nkuku
Mlevi ww unaacha kulala usingiz wako unakuja kuongea mataishi yakoMnacheza na timu za matopeni conference huko poor chelshit
Wenzanu tupo kwenye ligi za kiume UEFA na tunatembeza kipigo
Kacheza vizuri but sio mchezaji anayemzidi kwa kiwango Chukwuemeka kocha anamkosea sana heshima ChukwuemekaMkuuu hapo ssa toa maoni yako KDH kwa upande wangu kache@a vzr sana
KDH hachezi vizuri, naona ni kinara wa Championship tu. Chukwuemeka ni mzuri kuliko yeyeBadiashile kitambo nilishamtoa kwenye mahesabu, huyu KDH ndio alitakiwa aondoke January sio Chukwuemeka
Umelewa bia ngapi MkuuMl
Mlevi ww unaacha kulala usingiz wako unakuja kuongea mataishi yako
Mkohoti akikusikia (......................), nimekaa pale π€Felix ni takataka mwingine
Huko nyie ni kama wale wanafunzi wanaenda shule kila siku wanabeba madaftari yote ila wanafeli mtihani ππ kuwa uefa afu kombe huchukui lanini sasa sifa za kijingaMnacheza na timu za matopeni conference huko poor chelshit
Wenzanu tupo kwenye ligi za kiume UEFA na tunatembeza kipigo
Hebu endelea kuangalia uone wanaume wa shoka wanavyobeba UEFA,EPL na makombe mengine madogo msimu huu ambayo nyie hamuwezi hata mojaHuko nyie ni kama wale wanafunzi wanaenda shule kila siku wanabeba madaftari yote ila wanafeli mtihani ππ kuwa uefa afu kombe huchukui lanini sasa sifa za kijinga
Joao Felix ana shida gani, mbona haendani hata na mchezaji wa mil 10?
nI mayai sana
mipira almost 70% aliyopewa alipoteza kidhaifu na kilaini juana.
Au mfumo wa Marseca hauendani naye nini