John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Afu anasema hamna mchezaji humu takataka tu na kisha anaendelea kuperuziš¤£š¤£Sio kuangalia kwa mihemko bali mtu anaangalia mpira huku anaperuzi kwenye simu anakuja kushtuka Jackson kambabua kipa.
Na hizo build-up za Enzo hajaziona. Acha mambo yako bwana juan david šAfu anasema hamna mchezaji humu takataka tu na kisha anaendelea kuperuziš¤£š¤£
Wa kwanza ni weweššššSio kuangalia kwa mihemko bali mtu anaangalia mpira huku anaperuzi kwenye simu anakuja kushtuka Jackson kambabua kipa.
We jamaaa we sindio unaesema Enzo ni takataka na hela yake apewe Caicedo au sio wewe?Na hizo build-up za Enzo hazajiona. Acha mambo yako bwana juan david š
Hapana Mkuu sijawahi kumuita Enzo wala Jackson takataka bali huwa nawataja kwa uzembe wanaofanya.We jamaaa we sindio unaesema Enzo ni takataka na bela yake apewe Caicedo au sio wewe?
Hajatulia kabisa, mechi kama hizi anashindwa kuonyesha qualityHivi huyu KDH amemzidi nini Chukwuemeka? Maana anapewa nafasi zaidi sana
Sometime makocha huwa na mapenzi yao kwa mchezaji kama alivyokuwa Sarri kwa Jorginho humwambii kituTosin ni beki mzuri kuliko Fofana lakini maajabu huwa hapati namba mbele yake, inasikitisha sana!
Badiashile kitambo nilishamtoa kwenye mahesabu, huyu KDH ndio alitakiwa aondoke January sio ChukwuemekaHajatulia kabisa, mechi kama hizi anashindwa kuonyesha quality
Pia Badiashile sikio la kufa, nimeamini hatabadilika. Ubongo nwa Badiashile umehackiwa au una virusi