Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 664
- 1,264
Umetaja vizuri hizo key passes, uwezo wa kupiga pass wa Enzo hatuwezi kufuatilia shaka yoyote. Aongeze tuu kujituma uwanjani.Angalia ile pass aliyopiga kwenda kwa Madueke alivunja line ya defence ya upinzani Madueke akatembea nayo then akamlaza defender akapiga akakosa goal hivi angefunga si mngesifia pass ya Enzo? Penalty aliyofunga Cole Palmer ilitokana na pass ya Enzo alimpenyezea Sancho kwa mbele defenders wa Brighton wakachezea rafu Sancho ndio ikawa Penalty. Tuje kwenye goal la nne limetokana na key pass ya Enzo alinyakuwa mpira akampa pass Sancho ndipo Sancho akaassist kwa Palmer likawaga goal. Muwe mnacheki ball kwa umakini eti Papaa Gx anamwita Enzo takataka kweli?
Shida ya Enzo ni kukaba tu basi kwangu ndio nimeona kimepunguaUmetaja vizuri hizo key passes, uwezo wa kupiga pass wa Enzo hatuwezi kufuatilia shaka yoyote. Aongeze tuu kujituma uwanjani.
Kutokana na nafasi yake anayocheza ni rahisi Cole Palmer kuonekana tofauti na mtu kama Enzo kama pasi zake zingekuwa zinatumiwa vizuri usingekuwa unamwita takataka.sometime anapiga key passes nyingi ambazo zinapelekea utengenezwaji wa goal wewe utaona wapi kwasababu unaangalia kwa mihemko badala ya kucheki ball kwa umakini
Nakuaminia Mkuu kwenye kufanya Scout kweli umekuwa ukitaja aina ya wachezaji mbalimbali wazuri itoshe kusema una jicho la kimpira na unafuatilia mpira wa ligi mbalimbali
Hakuna mchezaji ambaye hakosei hata Palmer kuna wakati anakosea pass ila haindoi ubora wake kwa Enzo umechemka Enzo ni mchezaji mzuri sio takataka kama unavyosema, mpaka anashinda mchezaji bora chipukizi wa dunia haikuwa kwa bahati mbaya kumwita takataka ni kumkosea heshimaSio mihemko, unapaswa uelewe kuwa hawa wachezaji wengi wapo kwenye timu zisizo sahihi kwao. Ikumbukwe hapa hapa jukuani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Kai Havertz baada ya kuona ana utakataka baadhi yenu mkawa mnamtetea eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA, nilikuwa nashangaa na kusikitika sana. Yaani chezaji licheze vibaya alafu aje atetewe kisa alifunga goli huo upumbavu mimi sina, ukizingua nakuchana. Ata huyu Palmer siku akizingua nitamchana hapa hapa.
Enzo mara kibao tu anapoteza mpira kizembe wala pasi zake hazifiki kwa ufasaha zaidi. Jaribu kumfuatilia utagundua hilo, kwangu mimi Enzo ni takataka tu kama kina Jackson, Sanchez, Madueke na Fofana.
Naunga mkonSio mihemko, unapaswa uelewe kuwa hawa wachezaji wengi wapo kwenye timu zisizo sahihi kwao. Ikumbukwe hapa hapa jukuani mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumkataa Kai Havertz baada ya kuona ana utakataka baadhi yenu mkawa mnamtetea eti kisa alifunga goli kwenye fainali ya UEFA, nilikuwa nashangaa na kusikitika sana. Yaani chezaji licheze vibaya alafu aje atetewe kisa alifunga goli huo upumbavu mimi sina, ukizingua nakuchana. Ata huyu Palmer siku akizingua nitamchana hapa hapa.
Enzo mara kibao tu anapoteza mpira kizembe wala pasi zake hazifiki kwa ufasaha zaidi. Jaribu kumfuatilia utagundua hilo, kwangu mimi Enzo ni takataka tu kama kina Jackson, Sanchez, Madueke na Fofana.
Kwenye suala la ukabaji wake hapo nakuunga mkono but Chelsea imemsajili ikijua kabisa Enzo sio mkabaji mzuri ila ni passer mzuri sasa hapo kosa la naniNeno takataka lina maana below average kitu ambacho ukitumia kwa mchezaji kama Enzo ni too harsh, ila Enzo ukitoa miezi 6 ya mwanzo ameonyesha kiwango average compare na price yake, ni kiwango cha mchezaji wa £30, ni Jorginho type aliyechangamka, mzuri kwenye long range pass tu
Hawezi kucover space na mpira ili kuruhusu forwards wasogee kwenye eneo hatari
Hawezi kuficha mpira ili aruhusu transformation kutoka defensive shape to attacking shape
Kwenye kukaba 1v1 ndio very poor hatumdai awe mkabaji kwa 80% ila alitakiwa kuwa na skills angalau 55% maana kwa eneo analocheza ni hatari kuwa kiungo chujio kwa mwamvuli wa kupiga pass
Tuna wachezaji luxury wengi hapo mbele sasa ukiwa na second line baada ya defence isiyoweza kukaba huku pembeni mawinga nao wanaoffer less kwenye kukaba timu inatengeneza mashimo mengi hivyo huwezi kuwa class ya timu kama R. Madrid, Arsenal, man city kiushindani
Uwepo wa Enzo unamfanya Jackson ahitajike zaidi maana angalau timu inaongeza number ya wasaka mpira
Caicedo apunguziwe 30% ya mshahara wa EnzoKwenye suala la ukabaji wake hapo nakuunga mkono but Chelsea imemsajili ikijua kabisa Enzo sio mkabaji mzuri ila ni passer mzuri sasa hapo kosa la nani
😅😅😅Caicedo apunguziwe 30% ya mshahara wa Enzo
Nadhan ubora wa madueke nizaidi ya huo hasa pale tunapokuwa kwenye transition au hata kwenye kuleta threat ni mzuri.Nimesema tukiwa hatuna mpira Madueke anafanya nini? Ndipo hapo anamsaidia beki wetu wa pembeni kukaba endapo ataacha kufanya hivyo ndipo kocha atampiga benchi maana hiko ndicho kinachombeba na kinamfanya aanze kwa sasa
Kitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzoCaicedo apunguziwe 30% ya mshahara wa Enzo
Papaa Gx huyu ndio anabisha eti anamwita takatakaKitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo
Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine
Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan
Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post
Then njoo kwenye game wolves kaangalie
Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
Wote hapa si walikuwa mashahidi alipokosekana game ya bournemouth....lkn pia hata game iliyopita dhidi ya brighton baada ya kupigwa sub brighton walicontrol zaidi mpira ..hii inaonyesha enzo ni muhimu na ndo controller wa timu ..watu mnaangalia kwenye stats za kukaba na magoli...angalieni kwenye angle nyingine😂😂Kitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo
Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine
Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan
Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post
Then njoo kwenye game wolves kaangalie
Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
Nyie viande mnapiga ugolo gani, eet jackwalker ni player kuliko naniiiiiii??? Hahahaha.Pamoja na kwamba tunatofautiana kwa falsafa yako TAKATAK ila hili la Osimhen nakuunga mkono
Jackosn ni mzuri kuliko Osimhen. na akiletwa ni9na uhakika Nkunku ataomba kuondoka
Ndio shida ya watu humuWote hapa si walikuwa mashahidi alipokosekana game ya bournemouth....lkn pia hata game iliyopita dhidi ya brighton baada ya kupigwa sub brighton walicontrol zaidi mpira ..hii inaonyesha enzo ni muhimu na ndo controller wa timu ..watu mnaangalia kwenye stats za kukaba na magoli...angalieni kwenye angle nyingine😂😂
Afadhali umesema, nikisema naonekana sijui mpiraKitu nilichogundua humu kuna watu huwa hamuangalii mpira au nichuki kwa enzo
Enzo ndie controller kwenye hii team na magoal yote tunayofunga anahusika kwa namna moja au nyingine
Mkiwa namskiliza Maresca mtaelewa Enzo anatumika kama Pep anavyomtumia Gundogan
Enzo Sancho Palmer goal
Enzo Sancho Penalt
Enzo Palmer ikagonga post
Then njoo kwenye game wolves kaangalie
Game ya Bournomouth hakuwepo angalia kama tulikuwa na control sana
Shida ni kuangalia mpira kwa mihemko ndio madhara yake kama hayoAfadhali umesema, nikisema naonekana sijui mpira
Enzo anakosa sifa kwa sababu yeye sio last man wa kutoa assist, ila build up 50/60% ya Chelsea inatoka kwa Enzo
Sio kuangalia kwa mihemko bali mtu anaangalia mpira huku anaperuzi kwenye simu anakuja kushtuka Jackson kambabua kipa.Shida ni kuangalia mpira kwa mihemko ndio madhara yake kama hayo
🤣🤣🤣🤣Sio kuangalia kwa mihemko bali mtu anaangalia mpira huku anaperuzi kwenye simu anakuja kushtuka Jackson kambabua kipa.