Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,356
- 16,422
Madueke kidogo anajitahidi ila hao wengine mechi imewakataa mapema sana leo hii.Fofana, Madueke na Enzo wanapaswa kufanyiwa sub hakuna wanacho fanya uwanjani. Chelsea inacheza kwa kuridhika sana, mipira ya kupeleka mbele inarudishwa nyuma.
Jamaa ni mbinafsi sanaMadueke ni mwendawazimu
Tangu mechi na Bornemouth Fofana hachezi vizuriKadi ya kizembe kweli aliyonisababishia, tuombe asijepewa kadi nyingine ikatugharimu Chelsea SC.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Tosin ndio ameshachukua nafasi ya FofanaTOSIN - COLWIL perfect combo.
Yaani Madueke sehemu anatakiwa kutoa pasi ndio anakuwa mbinafsi na sehemu ambauyo pasi sio nzuri kuto9a ndio anajaribu kutoa pasiMadueke ni mwendawazimu
Wasipompa Caicedo MOTM mimi nitahuzunika sanaFofana anakaba mkono badala ya mpira, Caseido anazidi onyesha thamani yake, hii game tungekuwa na Lavia ubao ungechangamka sana
Tupunguze kukabia 1/3 ya uwanja. Tunatakiwa kuwa aggressive kuanzia 1/2 ya uwanja otherwise mechi bado haijaisha mpaka tupate goli jingine
Kocha asituchanganyie tena betri na gunzi. TOSIN na COLWIL waendelee kucheza pamojaTosin ndio ameshachukua nafasi ya Fofana
Madueke anashindwa kurahisisha mpira kama Palmer.Yaani Madueke sehemu anatakiwa kutoa pasi ndio anakuwa mbinafsi na sehemu ambauyo pasi sio nzuri kuto9a ndio anajaribu kutoa pasi
Uzuri mmoja kuna ushindani pale mbele, na 2025 wanakuja Kendry Paez na Estevao WillianMadueke anashindwa kurahisisha mpira kama Palmer.
Fofana sio takataka kivile, akitulia ni very agressive CB na angemfaa sana Colwill. Tatizo la kukosa concetration sijui amekumbwa na kitu gani.Ilikuwaje tukalipa 80M kwa takataka Fofana?
Watu wote tunashangilia mpaka machozi hakika straika tunaenna tunatamba nae🤣🤣🤣🤣🤣Takataka Jackson anaendelea kufunga huko London Stadium
Mechi yake ya 50 kwa Chelsea inaelekea kugeuka kuwa karama na sherehe kubwa