Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA PROVISIONAL SQUAD FOR CHELSEA vs ARSENAL CLASH (subs in square brackets):

Cech;

Ivanovic, Cahill, Terry (C), Azpilicueta [A. Cole];

D. Luiz, Lampard [Mikel];

Hazard, Oscar, Schurrle [M. Salah];

Torres [Ba].

MKuu Mentor; Arsenal wasikunyime usingizi:

Pale mbele kabisa kesho atacheza Babu Eto'o, kati Matic hao wengine sina shida sana:
Hizo namba mbili ndo siri ya uimara wetu kwenye mechi na watani. Beki wa kushoto kama kawaida atacheza DAVIE CESAR AZP. #28.
 
Duh Nilikuwa nimemsahau Matic aisee...ila huyo ni sawa na kumuua mbu kwa nyundo...atawatesa mno..! Anway aanze yeye then mwisho tumtest D. Luiz kuona kama kapona fresh...tuna games za quarter finals za UCL and we need him fit!!!!
 
Hiyo ndo draw...
 
Attachments

  • 1395401402259.jpg
    1395401402259.jpg
    59.7 KB · Views: 53
Hiyo ndo draw...

Wadau:

PSG ni timu nzuri; fikirieni wachezaji hawa:
Lucas Moura #29(Brazil)
Ezequiel Lavezzi # 22(Argentina)
Thiago Silva(captain Brazil)
Alex Costa(Brazil) -beki wetu wa zamani alikuwa anavaa #33.
Blaise Matuidi #14.
Zlatan Ibrahimovic #10(sweden)
Edson Cavan(uruguay)
PSG ni timu nzuri sana; tutashuhudia mechi safi sana kwenye robo fainali:

Hatari: Cavan na Lavezzi walikuwa wachezaji wa Napoli; mechi ya kwanza 2012 kule mjini Naples walitufunga 3-1. Cavan alifunga 2, Lavezzi akafunga 1.
Zlatan ni straika hatari sana kwa sasa; ameshafunga magoli 10 kwenye UCL mwaka huu.
Thiago Motta kiungo wa Italia, ni fundi sana huyu.

Faida ya Chelsea mambo mawili:
1. Chelsea ina kocha anayependa kushinda. Kocha wa mataji.
2. Timu yenyewe ina wachezaji wanaopenda kushinda.

Eden Hazard na Cesar Azp walicheza ligi ya Ufaransa; wanawajua vizuri PSG.

Wakuu game yetu ya Arsenal ndio imefika! Tulieni muone tunavyompiga Huyu jirani!

Vilevile kuhusu PSG, kweli ni timu nzuri sn! Lkn Kwa mtazamo wangu Na ukizingatia Kua tunaanzia ugenini lazima tuwapige!
 
Mentor na agosti 8 Chelsea Tuko na kikosi imara sn ata km Willian na Ramirez hawapo!
 
Last edited by a moderator:
Mentor na agosti 8 Chelsea Tuko na kikosi imara sn ata km Willian na Ramirez hawapo!

Kweli najua kuna Matic na D. Luiz mahali ambapo Ramires hayupo.

Halafu kuna Schurlle na M. Salah mahali pa Willian...arse8 haoni ndani hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kweli najua kuna Matic na D. Luiz mahali ambapo Ramires hayupo.

Halafu kuna Schurlle na M. Salah mahali pa Willian...arse8 haoni ndani hapa.

Hakika leo lazima muendeleze ile sifa yenu ya kulikimbia Jukwaa.
 
Wakuu game yetu ya Arsenal ndio imefika! Tulieni muone tunavyompiga Huyu jirani!

Vilevile kuhusu PSG, kweli ni timu nzuri sn! Lkn Kwa mtazamo wangu Na ukizingatia Kua tunaanzia ugenini lazima tuwapige!
Kweli najua kuna Matic na D. Luiz mahali ambapo Ramires hayupo.

Halafu kuna Schurlle na M. Salah mahali pa Willian...arse8 haoni ndani hapa.

Endeleeni kuota.........!!! Mkizinduka bus lishawaacha.
 
Pamoja na kwamba naipenda the blues, ukweli nawaogopa mancity. Wale ni mbwa mbaya! Lzm wachukue
 
Wakuu leo ni leo! Ile siku iloyokua inasubiriwa kwa hamu atimae imewadia!

Leo yule babu wa mieleka ugonjwa wake lazima umrudie tena!

###########<##

Updates

Eto'o 1 Dakika 5 arsenal 0

Schurrle 2 Dakika 7 arsenal 0

Hazard 3 dakaka 16 arsenal 0

Oscar 4 Dakika 41 Arsenal 0

Osacr 5 Dakika 65 Arsenal 0

Salah 6 Dakika 70 Arsenal 0

Full Time

Chelsea 6 Arsenal 0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom