Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 666
- 1,267
Mzee unajua kuchambua ball hope ulishawahi kuwa kocha mahali flani, Veiga amepangwa Kiungo tuone vyenga sasa.Nazungumzia kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza no 6 tunae mmoja tu ambaye ni Laiva na mara nyingi ni majeruhi nafikiri angemtumia Veiga na Caicedo katikati balance itakuwa nzuri kuliko Enzo na Caicedo kwasababu kama ni pass Veiga ni mzuri, anajua kukaba na ni mtulivu
We timu gani kwanzaHapa tunawaombea njaa tu ,,, ubaya ubwela
Hata leo hii unachukuliwa hapo unapelekwa pale stamford bridge unawekwa pemben palmar hujawahi kucheza mpira maisha yako yote utashindwa kufunga magoli?Unataka kusema ile hatrick aliyopata mwafrika kaokota pochi ya mzungu😀😀😀😀😀😀
Wewe uoni boko za fofana na uzito wa disasiKwa nionavyo mie Jackson anatukaba
Kweli mkuuu mipira mbele haiendi na haifiki kabisa madueke kma anacheza back pass ming sanaWewe uoni boko za fofana na uzito wa disasi
Sema Jackson alikuwa na upepo wake ndio maana nkuku sometimes anapigwa benchiChelsea hakuna Narudia hakuna mchezaji wa kumuweka benchi NKUNKU.
Mwisho si tumeshafikaTupo na nyie mpaka mwisho ,,,,,
Watakwambia MaduekeChelsea hakuna Narudia hakuna mchezaji wa kumuweka benchi NKUNKU.
Madueke kwanza ni mtu mwenye majivuno anaona anaweza kumbe kiazWatakwambia Madueke
Nashangaa kocha kwa nini hamuanzishi? Nadhani baada y hili goli Nkunku sio wa kukaa benchi tenaWatakwambia Madueke