Humu ndani vinapangwa vikosi bora vya kutosha hadi unahisi Chelsea ni zaidi ya Real Madrid, lakini tukija uwanjani ni Ipswitch fc iliyochangamka.Sasa Chelsea tuna kikosi kipana na flexible
-------------Felix-------------------
Neto --------Nkunku ---------Palmer
----Lavia --------------Caicedo----
Cucurella---Colwill---Fofana---James
--------------Filip-----------------
Renato Veiga akichoka Cucurella
Gusto akichoka James
KDH akichoka Lavia
Enzo akichoka Caicedo
Jackson for Felix
Madueke for Palmer
We kinachokuuma ni niniHuko Chelsea players wako wengi hadi number za jersey hazi toshi and they are now using unorthodox methods to assign numbers, player anaeza toka nje ya dressing room ku receive phone call aki rudi ana pata ame pigwa ngeta number ya jersey imeenda kama vile sumu huenda mtu aki pigwa nyongolo huko dandora View attachment 3076435🤣🤣
Mchukueni huyo Sterling atawasaidia sana kuliko huyo SachoHuko Chelsea players wako wengi hadi number za jersey hazi toshi and they are now using unorthodox methods to assign numbers, player anaeza toka nje ya dressing room ku receive phone call aki rudi ana pata ame pigwa ngeta number ya jersey imeenda kama vile sumu huenda mtu aki pigwa nyongolo huko dandora View attachment 3076435🤣🤣
Kama badiashile yupo basi hata tukishinda, hakutakuwepo na clean sheet
3-2-4-1
------------------Guiu-----------------------
Mudryk -------KDH-------Nkunku ---------Neto
----Veiga----------------------Caicedo-----
----Badiashile -------Tosin-----------Disasi---
------------------Jorgensen------------------
View attachment 3076751
-
Acha kumsingizia Mudryk ,Timu haina indentity, haina structure ,haina clear planna bado huo ni mwanzo tuHT 0-0
Kama Mudryk anashindwa kucheza vizuri hizi mechi anataka abaki kwa ajili ya mechi zipi?
Basi isije ikawa stori, mana kufunga hata akina Alisson Beker wanafunga.
Hata Madueke ageuke kuwa Messi katika ile sura bado utamchukia tuBasi isije ikawa stori, mana kufunga hata akina Alisson Beker wanafunga.
Jana nilishindwa kupata link mkuu, niliangalia twitter kwa shida kupitia video za simu ya waliokuwa uwanjani, very ugly display. Jana hii mechi ilisusiwa sanaMkuu naomba link
Kwanini imetokea hivyo?Jana nilishindwa kupata link mkuu, niliangalia twitter kwa shida kupitia video za simu ya waliokuwa uwanjani, very ugly display. Jana hii mechi ilisusiwa sana
Kupitia official account ya Chelsea mechi ya jana imewekwa youtube. IangalieniJana nilishindwa kupata link mkuu, niliangalia twitter kwa shida kupitia video za simu ya waliokuwa uwanjani, very ugly display. Jana hii mechi ilisusiwa sana
Simchukii ila simuelewagi anacheza nini!, Hata akigeuka kuwa Mess bado nitamgundua mana atakua anakimbia tu na mpira bila akili ya mpira.Hata Madueke ageuke kuwa Messi katika ile sura bado utamchukia tu
Sawa, hayo mawazo yako, tunayaheshimuSimchukii ila simuelewagi anacheza nini!, Hata akigeuka kuwa Mess bado nitamgundua mana atakua anakimbia tu na mpira bila akili ya mpira.
Kwanza naanza kumtilia mashaka huyu kocha, kwa kumtegemea huyo rasta kama mchezaji wake muhimu.
Mapema mno, mechi yake ya pili yenye ushindaniTumepigwa kuhusu Kocha, ni muda tu utaamua na nimekaa pale 🙎
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.