Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,525
- 14,874
Anatema cheche sana[emoji599][emoji838] Maresca: “I am not working with 42 players. I am working with 21 players”.
“The other 15-20 players are training apart. I don't see them. It's not a mess like it looks from outside. Absolutely not”.
“They can even have 20 years contract, it’s not my point. I don’t care”.
Badiashile atapewa muda ila yuko kwenye list ya kuuzwa msimu huu akitokea mpendwa anayempendaMudryk Badiashile na wengineo wqjitathmin msim huu, wakizingua tutegemee kupewa mkono wa kwa heri
Maresca naona hana utani
Vipi kuhusu deal la Osimhen?
Kama mchezaji tumepata, mtakuja kuelewa tu siku moja. Felix ni bonge moja la mchezaji achana na huyo marasta.Mkohoti roho yako kwatu hadi jino la 32 litaonekana kwa jinsi unavyomkubali Felix kuliko Madueke 😊
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hao ndio wachezaji wa kutupeleka nchi ya ahadi, sio hao wavuta bange marasta.Mkohoti anacheka mpaka kilimi kinaonekana
@SkyKaveh:
"Joao Felix, bado nadhani ni mchezaji mzuri sana. Sawa, uhamisho wake kwenda Athletico Madrid haukufaulu lakini Atletico walilipa kiasi cha £113m kwa ajili yake.
Bado ni mchezaji wa kipekee ambaye ana mazuri mengi ya kuthibitisha, na kutokana na kile ninachosikia, sijathibitisha hili, lakini nadhani amepunguza mshahara ili kuhamia Stamford Bridge, na unaendana na wamiliki na sera mpya ya mishahara pia.
Kwa hivyo nadhani inaeleweka kwa mtazamo huo pia. Lakini tena, ahukumiwe kwa kile atakachofanya msimu huu. Hajaishi kulingana na uwezo wake katika misimu michache iliyopita, lakini bado ni mchezaji wa kipekee, na nadhani yuko Chelsea katika mazingira sahihi, ataonyesha kile anachoweza kufanya."
@SkySportsNews
View attachment 3075994
Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.Kama mchezaji tumepata, mtakuja kuelewa tu siku moja. Felix ni bonge moja la mchezaji achana na huyo marasta.
Timu zenyewe alizotoka zimeshajifia, lawama anapewa yeye dah! Alikuja Chelsea wakat chelsea inajitafuta! Lawama anapewa yeye kwamba hajafanya chochote.Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.
Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.
Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Felix ni mchezaji mzuriAmefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.
Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.
Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Unatakiwa pia ujue kuwa Atleti wamekubali auzwe ili waweze kuwannunua wachezaji ambao anawafaa na Gallagher ndie aliyetakiwa. So kumpata Gallagher ndiyo iliyowashawishi Atleti kumuuza Felix kwa hiyo ada, Gallagher ana miaka 24 na Felix 24, mimi naona sababu kubwa ndio hiyo Atleti wanaona hawajapata hasara kwa sababu Gallagher kuna hazina kubwa pale itafidia hiyo ya FelixAmefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.
Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.
Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Mkohoti atakuwa Msukuma yani akimpenda Mpenzi basi hugharamia kila kitu (mahaba niue) 😃Amefanya nini katika timu alizoenda? Hata timu ya taifa anakula bench. Barca wamemkataa, Chelsea aliomdoka bila assist hata moja wakati alikuwa anacheza namba 10 na wing.
Athletical walimnunua kwa 100+M euro ila wamekubali 43 milioni ili asiendelee kushuka zaidi.
Felix yuko talented ila matokeo yake hayaonekani
Ungebalansi maelezo haya kwa Madueke hakika ungetisha sana kiuchambuzi wa soka, ila huyo Rastafarian sijui alikufanyaje daaah 🤔 😁🙌Timu zenyewe alizotoka zimeshajifia, lawama anapewa yeye dah! Alikuja Chelsea wakat chelsea inajitafuta! Lawama anapewa yeye kwamba hajafanya chochote.
Kwa hiyo kwa fikra zako mchezaji akianzia benchi ni mchezaji mbaya?
Haya tuambie huyo Rastafariani amefanya nini cha maana mpk sasa?