Kama ulimfuatilia huko ulitakiwa pia kujau alikuwa na miak 18/19 na kumhukumu mchezaji wa umri huo ni ukatili mkubwa kwa mtu anayejinasibu kuwa anaujua mpiraMkuu Madueke namjua toka anacheza league ya uholanzi, ni mchezaji wa kawaida mno kucheza Chelsea labda let's hope miaka mitatu ijayo awe amejifunza mpira lakn kwa Sasa hapa he's too low for Chelsea.
Huwa nashikwa na butwaa napoambiwa Madueke ni zaid felix, wakat madueke akili ya mpira ipo kwenye rasta, anachojua ni kukimbia na mpira tu kama mwehu.Noni watano twanga na sterling wawili weka na mchuuzi wa mykalo ndipo Joao mmoja mkuu.
Noni ni wa kucheza team kama crystal palace au Everton lakn sio Chelsea, nikimuangalia noni anacheza najisemea pengine ningekua Ulaya saiv yawezekana ningekua mchezaji wa premier kwa sababu akili ya mpira yangu ya kucheza mpira ilikua ni mara 5 ya akili ya noni.
Huwa nashikwa na butwaa napoambiwa Madueke ni zaid felix, wakat madueke akili ya mpira ipo kwenye rasta, anachojua ni kukimbia na mpira tu kama
Huwa nashikwa na butwaa napoambiwa Madueke ni zaid felix, wakat madueke akili ya mpira ipo kwenye rasta, anachojua ni kukimbia na mpira tu kama
Mimi siom mfuasi mkubwa wa Madueke ila pia siwezi kujifanya kipofu wa kutoona juhudi anayofanya kucheza vizuri, hata kama tutamuuza lakini Madueke sio disgrace kabisa kwenye hii timu ya Chelsea kama ilivyokuwa kwa Sterling. Uchezaji wake unaweza usiwavutie wengi lakini mentality yake na performance yake ina impack. Ni moja ya sub ambaye akiingia anaweka juhudi hadi inaonekana. Sio ajabu jhata juzi kwa city angeingia sub tungesawazishaZile mechi za mwisho msimu jana tulizoshinda Mudueke alikuwa na mchango mzuri.
Timu zenye kupaki basi Mudueke anaweza kuyafungua hayo mabasi,
anaweza kutoa cross ambayo inavunja mstari wa mabeki,
au akiona fursa anaingia kwenye box na kuwin penalty au kufunga kabisa.
Katika mechi chache za mwisho alizocheza msimu jana aliweza kufunga. Ikumbukwe hakuanza msimu kama alivyomaliza maana mwanzoni ilimlazimu hata Pochetino kumpiga benchi na baada ya kuboresha game yake alianza kupata nafasi.
Katika pre season katumika sana na kafunga magoli 3 na kuonesha improved game.
Sasa sina uhakika kama haya ni vigumu kuyaona. Na ukiona mpira unaenda kasi kiasi kwamba huelewi kinachoendelea, badi baada ya mechi nenda you tube search Mudueke ili ujionee kwamba amefanya nini ktk mechi nzima
Mkuu, noni katika mechi 12 za mwisho epl msimu uliopita kafunga magoli matatu na assist moja, tuweke kumbukumbu sawa. Huo ndio mchango mkubwa kwako???Zile mechi za mwisho msimu jana tulizoshinda Mudueke alikuwa na mchango mzuri.
Timu zenye kupaki basi Mudueke anaweza kuyafungua hayo mabasi,
anaweza kutoa cross ambayo inavunja mstari wa mabeki,
au akiona fursa anaingia kwenye box na kuwin penalty au kufunga kabisa.
Katika mechi chache za mwisho alizocheza msimu jana aliweza kufunga. Ikumbukwe hakuanza msimu kama alivyomaliza maana mwanzoni ilimlazimu hata Pochetino kumpiga benchi na baada ya kuboresha game yake alianza kupata nafasi.
Katika pre season katumika sana na kafunga magoli 3 na kuonesha improved game.
Sasa sina uhakika kama haya ni vigumu kuyaona. Na ukiona mpira unaenda kasi kiasi kwamba huelewi kinachoendelea, badi baada ya mechi nenda you tube search Mudueke ili ujionee kwamba amefanya nini ktk mechi nzima
Madueke sio zaidi ya Felix, sio rahisi kuwalinganisha kwa sababu uchezaji wao tofauti. Felix ana akili ya mpira zaidi ya Madueke ial kwa upande wake madueke ana mentality na pace ya kuleta machafuko kwenye goli la mpinzani na hiyo nayo ni hazina kwenye wachezaji, Felix yeye kwa maoni yangu inayomp ujiko ni uwezo wa kufanya dribling na kuwachezesha wenzake huku Madueke ni mnyimi akiwa na mpira. Madueke anataka awe na mpira muda mrefu zaidi kitu ambacho pia sio falsafa ya MarescaHuwa nashikwa na butwaa napoambiwa Madueke ni zaid felix, wakat madueke akili ya mpira ipo kwenye rasta, anachojua ni kukimbia na mpira tu kama mwehu.
Hizi ni propaganda tu, yani kama wamiliki or sporting director wangekuwa hawamtaki sidhan kama hata angeenda kwend pre season.Owners ndio hawamtaki kwa hiyo sioni kocha akimrudisha
Taarifa zilizoenea ni kwamba Owner walimlazimisha Kocha asimuweke kwenye kikosi ili imshinikize kutafuta timu nyingine maana walijaribu kumuuza akawa anangángánia akidai ataisadia timu chini ya Maresca.
Issue ya Sterling ni kama ya Garagher, mabosi walitaka kumuuza yeye akang''ang''ania ndipo kocha akaambiwa aseme hafai kwenye mfumo ili tu alazimishwe kuuzwa.
Hii mbinu utaona itatumika kwa wachezaji wengi wanaongángánia kubaki Chelsea huku hawatakiwi
Pre season walimuachia wakidhani atabadilika lakini hakutumia hiyo fursa kuhalalisha mshahara wake wa 300k+/wiki na alicheza kama kinda wa miaka 15 anayelipwa 1.5K/wikiHizi ni propaganda tu, yani kama wamiliki or sporting director wangekuwa hawamtaki sidhan kama hata angeenda kwend pre season.
Anyway ukwel wanaujua wenyewe
Umemaliza kila kitu.Madueke sio zaidi ya Felix, sio rahisi kuwalinganisha kwa sababu uchezaji wao tofauti. Felix ana akili ya mpira zaidi ya Madueke ial kwa upande wake madueke ana mentality na pace ya kuleta machafuko kwenye goli la mpinzani na hiyo nayo ni hazina kwenye wachezaji, Felix yeye kwa maoni yangu inayomp ujiko ni uwezo wa kufanya dribling na kuwachezesha wenzake huku Madueke ni mnyimi akiwa na mpira. Madueke anataka awe na mpira muda mrefu zaidi kitu ambacho pia sio falsafa ya Maresca
Kuna timu hivi sasa inapaki Basi kwa Chelsea ???Zile mechi za mwisho msimu jana tulizoshinda Mudueke alikuwa na mchango mzuri.
Timu zenye kupaki basi Mudueke anaweza kuyafungua hayo mabasi,
anaweza kutoa cross ambayo inavunja mstari wa mabeki,
au akiona fursa anaingia kwenye box na kuwin penalty au kufunga kabisa.
Katika mechi chache za mwisho alizocheza msimu jana aliweza kufunga. Ikumbukwe hakuanza msimu kama alivyomaliza maana mwanzoni ilimlazimu hata Pochetino kumpiga benchi na baada ya kuboresha game yake alianza kupata nafasi.
Katika pre season katumika sana na kafunga magoli 3 na kuonesha improved game.
Sasa sina uhakika kama haya ni vigumu kuyaona. Na ukiona mpira unaenda kasi kiasi kwamba huelewi kinachoendelea, badi baada ya mechi nenda you tube search Mudueke ili ujionee kwamba amefanya nini ktk mechi nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Colwill, Fofana na yule aliyetokea Fulham? Wako wapiConfirmed: Chelsea's UEFA A-list for the Conference League play-off tie vs Servette:
Goalkeepers:
1) Sanchez,
2) Jorgensen,
3) Bettinelli
Defenders:
4) Disasi,
5) Cucurella,
6) Badiashile,
7) James,
8) Gusto,
9) Veiga
Midfielders:
10) Fernandez,
11) Madueke,
12) Chukwuemeka,
13) Nkunku,
14) Palmer,
15) Dewsbury-Hall,
16) Caicedo,
17) Lavia
Forwards:
18) Mudryk,
19) Jackson,
20) Neto,
21) Guiu
Colwil nahisi atakuwa B Team ambayo mara nyingi huwa ni wachezaj toka AcademyColwill, Fofana na yule aliyetokea Fulham? Wako wapi
Kwamba hakuna au ndio unaleta ushabiki????Kuna timu hivi sasa inapaki Basi kwa Chelsea ???
Hawa wote wameachwaColwill, Fofana na yule aliyetokea Fulham? Wako wapi