arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,362
- 4,420
Mashavu alianza na draw tena mkampamba kwlikwli....hamtakaa mvune points 3 kwa timu kubwa kamwe....labda muwaotee Tottenham ila hakika kina Brighton na wenzake kina West ham tu hao watawatoa ngeu nyny....nilimwambia Kimbukiko na narudia tena...mna kikundi cha vijana machachari sana ila hamna timu....na akija Osimhen mzee wa vurugu ndo kabisa mtazidi kupoteaJe huyo mashavu wako alianza ligi hivi? ebu tuone mechi 10 nini kitatokea
Muda ni jambo sahihi, kitu nachoaminMashavu alianza na draw tena mkampamba kwlikwli....hamtakaa mvune points 3 kwa timu kubwa kamwe....labda muwaotee Tottenham ila hakika kina Brighton na wenzake kina West ham tu hao watawatoa ngeu nyny....nilimwambia Kimbukiko na narudia tena...mna kikundi cha vijana machachari sana ila hamna timu....na akija Osimhen mzee wa vurugu ndo kabisa mtazidi kupotea
Sawa alianza game na draw je baada ya hapo ikaweje katika the next 6 games?Mashavu alianza na draw tena mkampamba kwlikwli....hamtakaa mvune points 3 kwa timu kubwa kamwe....labda muwaotee Tottenham ila hakika kina Brighton na wenzake kina West ham tu hao watawatoa ngeu nyny....nilimwambia Kimbukiko na narudia tena...mna kikundi cha vijana machachari sana ila hamna timu....na akija Osimhen mzee wa vurugu ndo kabisa mtazidi kupotea
Never.Msimu huu kushuka daraja ni lazima
Aliboronga...Sasa na huyu naye muangalieni....sisi tunamuhesabia....Chelsea suala la kocha kupewa muda ni mtihani sana....labda Hawa wamiliki safari hii wawe wamejifunza....sikuona ulazima wa kumtimua Pochettino wakati alimaliza msimu very strongly....msimu huu naamini angeendeleza pale alipoishia....lakini tajiri miluzi akaruka nayeSawa alianza game na draw je baada ya hapo ikaweje katika the next 6 games?
Sidhani kama tumerudi hatua 10 nyuma kwa kufanya hukumu ndani ya game 1, game zijazo na msimamo wa mwisho ndio utatoa taswira au mpkan mwez wa 12 hapo ndio tutajua kama tumerudi nyuma au tumepiga hatua.Tumerudi hatua kumi nyuma alipoacha ndg mashavu ,ndg mashavu angekuwa na lavia hakika pep achukui point hata mmoja
Falsafa ya team, Kama unafatilia Poch sio mtu wa Possession based Football, na wachezaj wengu tulionao hawaendani na Uchezaji wa Poch.Aliboronga...Sasa na huyu naye muangalieni....sisi tunamuhesabia....Chelsea suala la kocha kupewa muda ni mtihani sana....labda Hawa wamiliki safari hii wawe wamejifunza....sikuona ulazima wa kumtimua Pochettino wakati alimaliza msimu very strongly....msimu huu naamini angeendeleza pale alipoishia....lakini tajiri miluzi akaruka naye
Mbona strategies wanazotumia ni za kishamba sana, Makocha wote waliowaleta ni mid table league standings kimafanikio, kwanini wasichukue Makocha wenye uzoefu na uwezo mkubwa kiufundishaji zaidi ya makosa yale yale ya kuwaleta akina Harry Potter, F. Lampard n.k?FYI huwez fanya biashara if you can’t win.
Kama lengo ni biashara why unainvest 100M kwa 1 player???? Hii nadharia sio sahihi kwamba wako lengo la biashara. Huwez fanya biashara kama team inafanya vibaya
Kitu nachoamini wameamua kuwa na njia yao kama Kroenke alivyoamua, FSG walivyoamua
Wakat wa Roman yes tumepata mafanikio ila consistency haikuwepo huku mwishoni ndio maana unakuta msim huu bingwa msim ujao tumemaliza 10
Kitu wanachotaka kufanya ni team iwe na mwendelezo wa kutawala soka la uingereza kama city tu. Itachukua mda gani na maamuzi sahihi kufika hapo hapo ndio hatujui
MOU ana uzoefu sana, yuko wapi? Pochettino ni mzoefu kafanya nini? Wazoefu ambao bado wazuri hawako sokoni??Mbona strategies wanazotumia ni za kishamba sana, Makocha wote waliowaleta ni mid table league standings kimafanikio, kwanini wasichukue Makocha wenye uzoefu na uwezo mkubwa kiufundishaji zaidi ya makosa yale yale ya kuwaleta akina Harry Potter, F. Lampard n.k?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Bila ya Mourinho na Pochettinho ndiyo hakuna kabisa uwezekano wa kuwapata hao wazoefu na ufundi kubeba makombe darajani?MOU ana uzoefu sana, yuko wapi? Pochettino ni mzoefu kafanya nini? Wazoefu ambao bado wazuri hawako sokoni??
Pia na pasi alizochoma hadi Chelsea SC ikakoswakoswa ulipaswa ufurahi.Simkubali Sanchez ila jana kuna saves kafanya nikafurahi.
habari za umiliki wa mpira sio utamaduni wa Chelkenge...hapa unanidanganya mkuu....Chelsea wao mpira wao ni more direct...mambo ya pasi nyingi hawana...mkitaka kuhamia kwny huu utamaduni Sasa inabidi hyu kocha apewe nafasi regardless of matokeo atakatoyapata msimu wte huu....mabadiliko yanachukua mda si suala la mda mfupi....Sasa je tajiri na mashabiki watavumilia??Falsafa ya team, Kama unafatilia Poch sio mtu wa Possession based Football, na wachezaj wengu tulionao hawaendani na Uchezaji wa Poch.
Now chelsea wanatengeneza identity yao kuanzia academy mpka first team hadi kwa mult club kuwe na aina moja ya uchezaji.
Ni swala la mda
Mpira unahitaji uelewa.Hii timu leo imecheza vizuri, sijui uliangalia wapi ;akini tumecheza vizuri. Timu hii ni chnaga, madhaifu amchache yaliyojitoikeza tunategemea kwenye mechi zinazofuata zitapungua. Hii timu sio ya kugombe aubingwa kama Man City. PEP kawa nao kwa miaka nane, Meresca yuko na Chelsea kwa mwezi miezi miwili tu na kwa ligi ni mechi ya kwanza tu. Sasa wewe unaichambua Chelsea kama vile unaichambua City. Pole sana naona uchambuzi wako umeghubikwa na machungu ya kipenzi chako MP kutimuliwa. Kwenye mpira unatakiwa kuganya yajayo, ukianza kugeuka nyuma utageuzwa kuwa jiwe la chumvi
Lavia ni injury prone kwa hiyo wanajaribu kummanage vizuri ili asipate majerahaSababu ya kutolewa ni nini kwa huyu huku akiachwa Enzo aliyekuwa kwenye kiwango kibovu sana kama kocha ataendelea kufanya makosa kama haya hatutafika mbele
Hiyo ya Enzo nakuunga mkono, tangu enzi za Pochettino Enzo alishindwa kabisa kucheza no. 10. Nkunku au Palmer wanafit hapo kabisa. Jana Nkunku kwenye LW alishindwa kucheza wide ili kuleta madhara. Mechi ni ya kwanza kabisa, haya madhaifu kocha kayaona na najua atayafanyia kazi jinsi Chelsea inavyozodi kucheza. Kayasema mwenyewe jana kwenye post match press conferenceMpira unahitaji uelewa.
Mdau hapo unamcritisize may be kwa sababu huelewi anachozungumzia.
Nilisema tangu pre season kuwa Lavia, Caisedo na Enzo hawawezi kucheza kwa wakati mmoja. Enzo siyo #10 kwa sababu Mara nyingi akitoa pasi kwa mshambuliaji utamuona anabaki nyuma yake kwa ajili ya kumpa support wakati #10 anapaswa anapotoa pass ashambulie half space ili ikiwezekana apewe tena mpira.
Udhaifu mwingine wa Enzo ni kwamba yuko slow. Kwa hiyo muda muda anaopokea mpira huwa mashambulizi yanapoa.
Pia Enzo hawezi kupress aggressively kama namba 10
Kitu ambacho Enzo anakiweza ni kutoa pass nzuri.
Pamoja na madhaifu ya beli ila #10 anahitajika.
Tatizo la Sanchez sio kusave, ana maamuzi ambayo anajua yeye mwenyewe, anafanya vizuri ila kichaa kikiinuaka anaitosa timuSimkubali Sanchez ila jana kuna saves kafanya nikafurahi.