juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Sometime nahis hata wamiliki sidhan kama watakiwa wanashida ila watu wanaongoza ndio wenye shida hasa hasa hawa Wakurugenzi wa michezo.Hii timu imetoka kwa mmiliki shabiki wa mpira kwenda kwa wafanya biashara ya mpira
Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+Mwaka 1 nyuma nilishauliza hapa nini hatma ya kusajili kindergarten wengi ili hali tunayo academy yetu pia inazalisha vijana?. Mkanijibu kwamba huwezi kuacha kusajili kindergarten huko nje wenye uwezo mkubwa kuliko tunaozalisha.
Nikauliza inakuwaje wanasajiliwa kindergarten wengi lakini hawapati muda wa kutosha wa kucheza? Mkajibu wanatolewa mikopo club mbalimbali wanaendelea kukua. Lakini sasa hivi tunashuhudia wakiuzwa ovyo ovyo.
Kiufupi Wakurugenzi hawawezi kufanya mamuzi ambayo ni kinyume na matakwa au maelekezo ya wamiliki/Waajiri wao
Hii sajili ya makindergarten wengi ndio unaakisi maono ya wamiliki kwamba kwao biashara sasa na zaidi baadae.
Kocha unapewa kikosi chenye wachezaji 43 wengi ni kindergarten na bado uongozi wanaendelea kukuletea mbarara zaidi, hapo ni changamoto kubwa sana kuorganise team kwa hataka na kupata matokeo chanya.
Mbarara tulizosajili ni nyingi zinatosha sasa ni kufocus kwenye kuzikuza kiuwezo na uzoefu.
Kuna tatizo kubwa sana kuongozi.Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
MONEY LAUNDERING FOOTBALL CLUBMwaka 1 nyuma nilishauliza hapa nini hatma ya kusajili kindergarten wengi ili hali tunayo academy yetu pia inazalisha vijana?. Mkanijibu kwamba huwezi kuacha kusajili kindergarten huko nje wenye uwezo mkubwa kuliko tunaozalisha.
Nikauliza inakuwaje wanasajiliwa kindergarten wengi lakini hawapati muda wa kutosha wa kucheza? Mkajibu wanatolewa mikopo club mbalimbali wanaendelea kukua. Lakini sasa hivi tunashuhudia wakiuzwa ovyo ovyo.
Kiufupi Wakurugenzi hawawezi kufanya mamuzi ambayo ni kinyume na matakwa au maelekezo ya wamiliki/Waajiri wao
Hii sajili ya makindergarten wengi ndio unaakisi maono ya wamiliki kwamba kwao biashara sasa na zaidi baadae.
Kocha unapewa kikosi chenye wachezaji 43 ambao wengi ni kindergarten na bado uongozi wanaendelea kukuletea mbarara zaidi, hapo ni changamoto kubwa sana kwenye kuorganise team kwa haraka na kupata matokeo chanya.
Mbarara tulizosajili ni nyingi zinatosha sasa ni kufocus kwenye kuzikuza kiuwezo zaidi na uzoefu.
Issue ya Nico William, sio ada ya usajili, issue yake kubwa ni wages , maana mpaka sasa nico willian anapokea 200K kwa wiki pale Bilbao.Nico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
Tuna timua ya hovyo sana kuwahi kutokeaLabda wameona hii biashara ya kununua makinda na kuwatoa kwa mkopo then kuwauza inawalipa .
Doesn't make sense Una Lundo la wachezaji na huwapi chance , mfano ni yule Daivid Washington , Santos nk
Wale madogo wana talent ,mi naona kuwapeleka kwa mkopo huko na kuwashughulisha benchi kila siku ni kama kuharibu prospects zao .
Wale madogo wangekuwa Liverpool , Arsenyetoz nk wangekuwa fire .
Una galasa kama Broja ambaye kaprove kuwa ni failure , why wasimuuze Broja na nafasi hiyo Daivid Washington apate chance ya kucheza hata mechi za FA au carabao ili apate confidence , kudevelop na kuprove ubora wake ?
Ndio maana huwa nasema uongozi wa club ni tatizo.Kama Lengo ni kuwa na Club zaidi ya moja basi hizi sajili zingefaa zisubiri mpaka hapo Multi Club model ikamilike.
City Footbal Group ambao niwamiliki wa Man City wanamiliki zaidi ya Club 5, Girona,Troyes,Palermo,New York City,Melbourne, Montevideo, Lommel so unakuta sajili zao kwa wachezaj wenye potential zinafanyika kupitia hizo Club na si City direct, Then hizo club unaweza kuta wanamtoa kwa mkopp kwa club zao au nyingine ili adevelop kama Savio
Savio ni mchezaji wa Troyes ila akapelekwa kwa mkop Girona baada ya kufanya vizuri City wamemsajil kutoka Troyes
Sasa sisi sajili zote tunazifanya tunazifanya kama Chelsea huku tukiwa na club moja tu (Strasbough) hii inakuwa ngumu sana
Sajili zote za hawa madogo wanaojitafuta zingefanyika kwa club zingine pindi pale watakapofanya vizuri tunakuwa na uwezo wa kuwachukua taratibu. Sisi mfumo wetu bado haujakamilika ila tunafanya vitu kama mfumo uliokamilika
Wage kubwa ni moja ya sababuIssue ya Nico William, sio ada ya usajili, issue yake kubwa ni wages , maana mpaka sasa nico willian anapokea 200K kwa wiki pale Bilbao.
Sasa Chelsea sqhiv wapo strictly kwenye Wages, hawataki kutoa kiasi hicho au zaidi zaidi ya wachezaj waliopo wanataka mtu atakaeanzia kwenye wages ya kwaida hata ya 100-150K. Halaf performace yako ndio itakufanya uongozewe kama Palmer tu
Hii ya kuwanunua wachezaji wengi ni ya wamilikiSometime nahis hata wamiliki sidhan kama watakiwa wanashida ila watu wanaongoza ndio wenye shida hasa hasa hawa Wakurugenzi wa michezo.
Yani wanasahau kuwa each year kuna vipaj vinavumbuliayani kwa hali hii tutafikisha 50 player😂😂
Release clause yake ni Euro 58m sawa na Pauni kama 48M hiviau Dola 60M na inatakiwa kulipwa yoteNico Williams walisema bei yake ya pound 60M ni kubwa alafu ukijumlisha bei walizonunua makinda wote ni zaidi ya paund 60M+
Mkuu inapokuka swala la pesa ya usajili Chelsea hatuna shida, Tushavuka viunzi kama hivyo kwa sajili ya Enzo ambayo ilikuwa ni mara 2 ya hiyo.Wage kubwa ni moja ya sababu
Sababu ya kwanza ni Ada ya Euro 58M inatakiwa kulipwa kwa mara moja na Atletic Bilbao hawako tayari kupokea nusu
Sababu ya Tatu ni ya mshahara mkubwa ambao Nico anataka. Anataka kulipwa pauni 250,000 kwa wiki pamoaj na ad-ons za kucheza uwanajani, itakaribia kwenye pauni 300K/wiki
Sababu ya pili ni Comisión kubwa wanayodai agent wake
Sababu tatu ya Williams ni kufanya maamuzi ya kuja London, anapendelea zaidi kubaki Spain na kama akihama Atletic Bilbao basi target yake ni Barcelona. Barcelona wakishindwa kumchukua yuko radhi abaki Bilbao ambao wako radhi kumboreshea mkataba wake.
Barcelona hawawezi kumsajili kwa sababu tayari wana deficit ya Euro 130m kwenye vitabu vyao vya pesa na kumpata Nico ni lazima kwanza wamuuze mchezaji mwenye kuleta pesa nyingi.
Barca sio upendo kwa Bilbao, Barca hawawezi kulipa hiyo RC na Commission fee + wage kubwa hadi wamuondoe mchezaji kama Frenkie De Jong tena wamuuze kwa bei kubwa na aongoe mzigo wa mshahara ndipo waweze kumuaccomodate NicoMkuu inapokuka swala la pesa ya usajili Chelsea hatuna shida, Tushavuka viunzi kama hivyo kwa sajili ya Enzo ambayo ilikuwa ni mara 2 ya hiyo.
Sababu kubwa ni Wage kubwa, Nico anapokea 200K na Chelsea kwa sasa wakostrictly kwenye hiyo wage,
Ndio maana tumekuwa tukimonitor situation ya nico tu
Kingine ni hiyo Sababu ya Nico kuendelea kuipenda Bilbao . Ndio maana hata kwa Barce imekuwa ngumu
Mchakato huu umefanywa kwa siri kubwa sana.Rasmi: Kutoka kwa David Ornstein
Chelsea wamefikia makubaliano ya kumsajili Pedro Neto kwa ada ya £51•4M + 2•5M add ons