juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Uongozi unajua unachotaka ni vile sisi mashabiki hatutaki kubadilika tunaishi katika zama za miaka ya nyuma za kutaka big names, while soka sasa hiv aliangalii hilo.Uongozi wa team ujui unataka nini ndio tatizo kubwa tulionao na litatutesa sana
Nimeipenda hiyo ya "ni better upoteze ili ujue wapi unatakiwa kurekebisha"ila ni better upoteze ili ujue wapi unatakiwa kurekebisha
usihukumu kitu hapa kwa sababu waliocheza sio Chelsea halisi. Kocha anapata takwimu na wapi pa kurekebisha. Ilitakiwa iwe hivyo ili timu iandaliwe bila kujidanganyaNimeangalia highlights za mechi ya jana , qmamae hamna timu hapa .
Narudia hatuna timu
Wakati wanamsajili poche walimpa mkataba mrefu na jukumu la kutengeneza team mwishoni team ikaanza kujipata wakamfukuza hiyo ni sign ya kutokujitambua. Tumemuuza Thiago silva hatusikii kabisa team inampango wa kuziba nafasi yake badala yake kuna dogo kasajiliwa but atabakia Bocajunior kwa mkopo wakati tuna uhitaji huo mkubwa, unataka kumuuza Chalobah ambaye ameperform vizuri sana msimu uliopita but unawabakisha Bachiashile na Dissasi hii ina maana gani?Uongozi unajua unachotaka ni vile sisi mashabiki hatutaki kubadilika tunaishi katika zama za miaka ya nyuma za kutaka big names, while soka sasa hiv aliangalii hilo.
Ingekuwa hawajui wanataka nini wasingefanya investment yoyote au hata poch asingetimuliwa.
Sisi mashabiki ni watu rahisi sana katika kuhukumu tunasahau malengo ya pre season ni yapi.
Form ya pre season huwa sio hata ya kuiangalia bali ni sehem ya kuangalia wapi unahitaji kurekebisha au ufanye maboresho.
Nani anakumbuka
Pre season ya lampard 2nd season
Pre season ya Poch
Pre season ya Carlo ancellot akiwa kocha wetu
Lampard na Poch walikiwa na pre season nzuri ila kwenye league yaliyotokea mmmh
Carlo alikuwa na pre season mbov ila kwenye league alienda kuwa bingwa
Wachezaj waliofanya vizuri pre season
Kenedy,Batshuay,Marko Marin,Wallace, etc ila league zilivyoanza hakuna aliyekuwa anatamani kuwaona
Ushindi wa kwenye pre season huwa sio hata kuufurahia ni kama unakufumbaza, ila ni better upoteze ili ujue wapi unatakiwa kurekebisha
Huyu ndio mchezaji ambaye simpendi kwa kweli pale Chelsea
Hoja za msingi hasa kuziba pengo la Silva, ulinzi hauko imara kabisa. Petrovi hana tofauti kubwa na kipa wa Villareal ambaye tunamsajili, Petrovic ni mzuri kuliko Sanchez kwenye kulinda goli. Kama ana udhaifu wa kucheza mpira si ni kazi ya kocha wa makipa kumfundisha.; Mbona punda, mbwa nguruwe wanafundishwa na wanaelewa?Wakati wanamsajili poche walimpa mkataba mrefu na kujukumu la kutengeneza team mwishoni team ikaanza kujipata wakamfukuza hiyo ni sign ya kutokujitambua. Tumemuuza Thisgo silva hatusikii kabisa team inampango wa kuziba nafasi yake badala yake kuna dogo kasajiliwa but atabakia Bocajunior kwa mkopo wakati tuna uhitaji huo mkubwa, unataka kumuuza Chalobah ambaye ameperform vizuri sana msimu uliopita but unawabakisha Bachiashile na Dissasi hii ina maana gani?
Tumemsajili tu msimu uliopita Petrovic leo unasikia wanataka kumuuza wakati huyu kijana katubeba sana msimu uliopita eti kwa kigezo sio mzuri kwenye footwork wakati huo huo unampa nafasi Sanchez kama kipa no 1 ambaye anamakosa mengi kwenye footwork ndio tunaambiwa kamzidi Petrovic hii inatoa taswira gani kwa uongozi inajua kweli inachofanya?
π π πPunguzeni presha game za preseason sio za kutafuta ushindi
Cha kwanza Thiago Silva hajauzwa, bali mkataba wake uliisha na akataka kwenda kumalizia kwao BrazilWakati wanamsajili poche walimpa mkataba mrefu na jukumu la kutengeneza team mwishoni team ikaanza kujipata wakamfukuza hiyo ni sign ya kutokujitambua. Tumemuuza Thiago silva hatusikii kabisa team inampango wa kuziba nafasi yake badala yake kuna dogo kasajiliwa but atabakia Bocajunior kwa mkopo wakati tuna uhitaji huo mkubwa, unataka kumuuza Chalobah ambaye ameperform vizuri sana msimu uliopita but unawabakisha Bachiashile na Dissasi hii ina maana gani?
Tumemsajili tu msimu uliopita Petrovic leo unasikia wanataka kumuuza wakati huyu kijana katubeba sana msimu uliopita eti kwa kigezo sio mzuri kwenye footwork wakati huo huo unampa nafasi Sanchez kama kipa no 1 ambaye anamakosa mengi kwenye footwork ndio tunaambiwa kamzidi Petrovic hii inatoa taswira gani kwa uongozi inajua kweli inachofanya?
Ndg umejibu kwa kuchambua vizuriCha kwanza Thiago Silva hajauzwa, bali mkataba wake uliisha na akataka kwenda kumalizia kwao Brazil
Useme labda tunahitaji beki kiongozi ila sio kuwa tunauhitani wa mabeki
Tuna mabeki 5-6 wakati (Colwill,Badiashile,Disasi,Fofana,Tosin,Achempong)
Huwez sajili beki mwingine bila aliyepo kuondoka
Poch hakusaini mktaba wa muda mrefu alisign kama miaka 2 o 3 kama sijakosea.
kwa chalobah uko sahihi ni mzuri kuliko Disasi ila Disasi mda wote amekuwa akipatikana, na nafasi ya Chalobah amechukua dogo wa Academy Josh Achaempong
Na nafasi ya Chalobah wako wachezaj 4(Tosin Fofana Disasi na Achaempong)
Petrovic ni muhanga wa kocha,If kocha singebadilishwa Petrovic angeendelea kuwepo, Mfano mzuri wakat Pep anakuja City alimkuta Joe Hart yuko kwenye form nzuri ila kwa kuwa hakuwa anaendana na style ya Pep akawa phased out na akamlete Claudio Bravo. Petrovic ni muhanga wa style ya uchezaji Maresca anataka kipa anaeweza kuwa sweeper, anaejua wakati huu nipige long ball au short pass yani anataka kuwa i.e Raya,Onana,Alison,Vicario,Ederson, etc
Issue ya Poch ilikuwa inajulikaba mda mrefu tu kuwa hatokaa aliletwa kutengeneza msingi , ila kwa aina ya wachezaj tulionnao ilikuwa ni tofauti na uchezaji wa poch,
Chelsea now wanataengeneza identity kuanzia academy mpk team mkubwa na hata Strasborg wote kuwe na aina moja ya uchezaji na si hii iliyokuwepo ya kila kocha kuwa na style yake bali team kuwe na style moja inayotambulika hata mchezaji akitoka academy hapati wakat mgumu kwa sasa toka chini anajua team inachezaje
Exactly baadhi ya mashabiki huwa hawaelewi hiloPunguzeni presha game za preseason sio za kutafuta ushindi