juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Pre season siku zote huwa haireflect uhalisia, msim uliopita Poch alifanya vizuri pre season ila kwenye league hali ikawa tofauti.Poche mashavu alikwisha pata dawa ya team ndogo , fluidity yakutosha,tulianza kugawa wastani kwa idadi,angeendelea tungebonda wakina astonvilla, Spurs,westham,everton , Newcastle,nje ndani sasa tumeamua kuanza upya ,tukijipata ni robo ya tatu ya msimu,tabu ipo pale pale
Kipara hadi sasa kapoteza mechi zotePre season siku zote huwa haireflect uhalisia, msim uliopita Poch alifanya vizuri pre season ila kwenye league hali ikawa tofauti.
Pre season unajenga fitness ya wachezaji na falsafa zako unataka wacheze vipi na kubain wapi mapungufu yalipo.
Yani ukiangalia game ya jana makosa yapo hasa hasa off the ball na upande wa ulinzi.
Ila ukiangalia kwa chance tulizocreate tumetengeneza nyingi tu za kufunga.
hii ni pre season na nimechi ya 2 wakat hao celtic wako katika mechi ya 5.
Unaweza shinda game zote za pre season ukajihisi uko sawa halaf kwenye league yakatokea yale yale ya poch.
Cha msing ni kujua wapi kuna tatizo na kuanza kufanyia kazi na tunatakiwa tucheze vipi.
Jana kuna mda hasahasa pale mchezaji anapokiwa kafinyiwa man 2 man marking ni kama mchezaji anashindwa kuwa na maamuzi either apige short pass o long pass na ndio kilichotuponza goal 2 badiashile na sanchez ni kama hawakiwa na idea wapige long ball au afanye short pass na wote wakachagua short pass na madhara yake yakaonekana
With time tutaimprove
Kuna baadhi ya wachezaj ndio wanarejea fofana na lavia msim uliopita wote hawalucheza tutegemee kutokuwa sharpness kwa sasa ila kadri.
Tuache kulalamika hadi pre season.
Pimbi wewe, umepoitea njiaKwahiyo wewe unajifananisha na man kweli akili huna wewe ndio uchezaki wako huo umefika mwisho hata kwenye ligi utaendelea hivyo hivyo msimu uliopita ulishika nafasi ya ngapi mpaka ujifananishe na man city
Jana hawakucheza vibaya, kuna baadhi ya wachezaji wametuzamishaShida mkuu sio kufungwa issue mnacheza nini uwanjani iko ndicho watu wanataka kukiona city of course kapigwa but hajacheza utumbo kama huu wa kwetu
Pimbi wewe ambea umedata endelea kujifariji na Hilo timu bovuPimbi wewe, umepoitea njia
Hakukuwa press ya kutosha wachezaji wanajogging na tulikuwa slow sana kufanya maamuzi na kuufanya mpira uwende haraka kwa mpinzani hili wewe ujalionaJana hawakucheza vibaya, kuna baadhi ya wachezaji wametuzamisha
Hamna timu hapoHakukuwa press ya kutosha wachezaji wanajogging na tulikuwa slow sana kufanya maamuzi na kuufanya mpira uwende haraka kwa mpinzani hili wewe ujaliona
Kwa asilimia 80 mabeki tukipoteza mpira hawarudi kuweka shape ya ulinzi, walibaki kwenye high-line na hasa kwenye magoli mawili ya mwanzo na goli la nne. Goli la tatu Badiashile katutoa kafara na Madueke goli la nne kapoteza possesion na mabeki hawakurudi kwenye shape ya kukaba tukalizwa kirahisi hivyo. Jana tulikosa kosa magoli mengi ikiwepo shots on target nyingi bila kupata magoli. Uslow ulikuwepo sana na hasa ile dk ya 10-30 ya kipin di cha kwanza tulipooteza mipiora mingi kwa kutokuwa makiniHakukuwa press ya kutosha wachezaji wanajogging na tulikuwa slow sana kufanya maamuzi na kuufanya mpira uwende haraka kwa mpinzani hili wewe ujaliona
Sasa hilo tatizo ni la mabeki pekee? au mbinu za mwalimu zinawalazimisha kufanya hivyo? Poor approach ya kocha ni 70% ya tatizo. Mechi ya Chelsea na Spurs Ange alijaribu huu uchizi kilichomkuta ndio kitakachotukuta huweziKwa asilimia 80 mabeki tukipoteza mpira hawarudi kuweka shape ya ulinzi, walibaki kwenye high-line na hasa kwenye magoli mawili ya mwanzo na goli la nne. Goli la tatu Badiashile katutoa kafara na Madueke goli la nne kapoteza possesion na mabeki hawakurudi kwenye shape ya kukaba tukalizwa kirahisi hivyo. Jana tulikosa kosa magoli mengi ikiwepo shots on target nyingi bila kupata magoli. Uslow ulikuwepo sana na hasa ile dk ya 10-30 ya kipin di cha kwanza tulipooteza mipiora mingi kwa kutokuwa makini
Kocha jana kwenye conference na waandishi wa habari alilalamikia hilo na sioni kama yeye ndie chanzo. Ila nionacho ni kwamba maelekezo wanayopewa wachezaji bado ni nyingi kama wakati wa Pochettinmo ndio maana wanashindwa kutekelezaSasa hilo tatizo ni la mabeki pekee? au mbinu za mwalimu zinawalazimisha kufanya hivyo? Poor approach ya kocha ni 70% ya tatizo. Mechi ya Chelsea na Spurs Ange alijaribu huu uchizi kilichomkuta ndio kitakachotukuta huwezi
Uongozi wa team ujui unataka nini ndio tatizo kubwa tulionao na litatutesa sanaHivi mashabiki wenzangu tunajua preseaqson lengo lake ni nini, hii siyo ligi, hakuna kombe tunalowania hapa
Wachezaji muhimu huwa wanapumzishwa kipindi hiki, wale wa majeruhi, wapya na wa academy, development squad na wale wa benchi wa muda mrefu ndio wanajaribiwa kipindi hiki. Kama kocha ni mgeni atapenda kujaribu kila takataka
Sasa mnalalamika nini hapa
Inasikitisha sana
Yani ndio kwanza 2 mechi mnaanza kumuhukumu mwalim anayeanza kuimplement philosophy yake ya uchezaj.Sasa hilo tatizo ni la mabeki pekee? au mbinu za mwalimu zinawalazimisha kufanya hivyo? Poor approach ya kocha ni 70% ya tatizo. Mechi ya Chelsea na Spurs Ange alijaribu huu uchizi kilichomkuta ndio kitakachotukuta huwezi
Mashabiki wengi hawaelewi lengo la Pre Season ni niniHivi mashabiki wenzangu je tunajua preseason lengo lake ni nini?, hii siyo ligi, hakuna makombe ambayo tunawania hapa.
Wachezaji muhimu huwa wanapumzishwa kipindi hiki, ni wale wa majeruhi wa muda mrefu, wapya, wachezaji wa academy, development squad na wale wa benchi wa muda mrefu ndio wanajaribiwa kipindi hiki. Kama kocha ni mgeni angependa kujaribu kila takataka
Sasa mnalalamika nini hapa
Inasikitisha sana
YES, Preseason lengo lake ni ili na wao wajue shida iko wapiUongozi wa team ujui unataka nini ndio tatizo kubwa tulionao na litatutesa sana