James kachezeshwa position sio yake ukitaka kumfaidi anatakiwa acheze right back au right wing b
James kachezeshwa position sio yake ukitaka kumfaidi anatakiwa acheze right back au right wing back
Kacheza nafasi yake, tofauti na siku zingine alipewa jukumu la kucheza inverted RB na huo ndio mfumo wa Mresca kwamba FB wote wanacheza kama viungoJames kachezeshwa position sio yake ukitaka kumfaidi anatakiwa acheze right back au right wing back
Huo mfumo umemnyima uhuru James kupiga ile mipira yake kwenye box niambie mara ngapi umemuona James kapanda upande wa pembeni nakapiga majaro au kumwaga maji mengi kwenye box la mpinzani?Kacheza nafasi yake, tofauti na siku zingine alipewa jukumu la kucheza inverted RB na huo ndio mfumo wa Mresca kwamba FB wote wanacheza kama viungo
Ndio mkuu amesema anataka wachezaji wawe wanamudu kucheza nafasi tofauti tofautiKwa hyo unataka kusema hata maersca bado anaujinga wa kuchezesha wachezaji nje ya position
Mfumo wa sasa hautaki kucheza hivyo. Crossing inapigwa mara chache sana, timu zinazoposses mpira haitegemei crosses kufunga mabao. Anagalia city wanavyocheza au angalia stats za wingers au FB wa city kama wana cross nyingi kama hizi timu ambazo haziposses mipira. Maresca anataka wachezaji wapasiane mpira hadi nafasi ya kufunga ipatikane. Huo ndio mfumo tunaotakiwa kuuzoeaHuo mfumo umemnyima uhuru James kupiga ile mipira yake kwenye box niambie mara ngapi umemuona James kapanda upande wa pembeni nakapiga majaro au kumwaga maji mengi kwenye box la mpinzani?
🤣🤣🤣🤣Chelsea fc has the most toxic fan base in football. Always looking for a scapegoat for every situation.
Kwa style hiyo haitamfanya James awe boraMfumo wa sasa hautaki kucheza hivyo. Crossing inapigwa mara chache sana, timu zinazoposses mpira haitegemei crosses kufunga mabao. Anagalia city wanavyocheza au angalia stats za wingers au FB wa city kama wana cross nyingi kama hizi timu ambazo haziposses mipira. Maresca anataka wachezaji wapasiane mpira hadi nafasi ya kufunga ipatikane. Huo ndio mfumo tunaotakiwa kuuzoea
Sio tu James hata Gusto, hawa wawili ni RB wazuri sana kwenye ligi kwa sasa kwenye kupiga crosi za juu na chini na tutakwenda kuzikosa hizo sana kwa sababu mfumo wa kocha unawataka waje ndani zaidi kuliko kucheza pembeni japo hawakatazwi kufanya hivyo ila zitapungua sanaKwa style hiyo haitamfanya James awe bora
Huyu mzuri kuliko sanchez ambaye brighton aliwekwa benchi tu kwa sababu kila ikipigwa unaikuta nyavuniChelsea wanatarajiwa kukubaliana Villareal ada ya takriban £20.9m kwa Filip Jorgensen, huku taarifa za mwisho zikiachwa kuafikiwa.
@TomAllnutt_
@garyjacob
Tatizo walifikia pazuri sasa wameachana na huyo wamerudi kwa Lunin wa Real Madrid, deal swap na KepaHuyu mzuri kuliko sanchez ambaye brighton aliwekwa benchi tu kwa sababu kila ikipigwa unaikuta nyavuni
Hawaelewi nini wanatakaTatizo walifikia pazuri sasa wameachana na huyo wamerudi kwa Lunin wa Real Madrid, deal swap na Kepa
Inawezekana hizo taarifa za jana ni za uongoHawaelewi nini wanataka
Mbona upande wa striker na beki tumekaa kimyqInawezekana hizo taarifa za jana ni za uongo
Leo Fabrizio anadai:
Chelsea wanakaribia kukamilisha dili la Filip Jørgensen, huku makubaliano na Villarreal yakiwa katika hatua za mwisho.
Chelsea wameboresha pendekezo lao baada ya ofa ya awali yenye thamani ya €20m na wanajadili tu muundo wa mkataba wa malipo na Villarreal.
Jørgensen tayari amekubali mkataba pendekezwa kutoka Chelsea.
View attachment 3052765
Tunasubiri kuofload Lukaku na wachezaji wengineMbona upande wa striker na beki tumekaa kimyq
Shida ya kutimua makocha ovyo ovyo inaanza kuonekana hapaChelsea wako tayari kuwaruhusu hadi wachezaji 12 zaidi kuondoka msimu huu:
(Chanzo: Sun Sport)
- Conor Gallagher
- Trevoh Chalobah
- Đorđe Petrović
- Ben Chilwell
- Kepa Arrizabalaga
- Romelu Lukaku
- Lesley Ugochukwu
- Armando Broja
- Cesare Casadei
- David Datro Fofana
- Harvey Vale
- Leo Castledine
Nini maoni yako
Live sports TV appstore au play storeNaombeni app ya kucheki mechi ya leo