Ila Ufaransa wamezungumzia kimpira zaidi wao wamefanya personal attack hiyo ndio utofauti uliopo mbona hili lipo clear wewe ndio unakaza fuvuUfaransa hakuna walichozungumza, wimbo wa Argentina ni majibu ya wimbo wa timu ya Ufaransa walioimba walipobeba kombe la dunia 2028 kwamba "Dogo Kante amemzuia Lionel Messi" hiyo ni chnat kama majigambo na wao kwa kujigamba wakajibu Hao akina kAnte ni kutoka Angola, mama wa n Nigeria. View attachment 3046116
Enzo kaongea ujinga kulikuwa na umuhimu gani wakupost kwenye insta yake yeye ndio ameikuza hili jamboSi unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.
Upuuzi mtupu.
Na Fofana naye kapokea akakuza, hawakuangalia maslahi ya Chelsea na Kocha mpya anaanza vibaya dressing room mood ikiwa ya hovyo kabisaEnzo kaongea ujinga kulikuwa na umuhimu gani wakupost kwenye insta yake yeye ndio ameikuza hili jambo
Ndio kitu ambacho hata mimi nilichokua napinga tokea mwanzo, naona wamelishupalia sana. na sio jambo kubwa hiivyo. Utafikiri enzo ndio alikua anaimba peke yake. Halafu walichokua wanaimba ni ukweli mtupu. Hawatak kuambiwa ukweli.Si unajua media ya Uingereza na kukuza mambo, Yaani Enzo ndiye mtunzi wa wimbo na aliekuwa anaimba na kuitikia pia ndiye aliyerekodi video na kuirusha pia.
Upuuzi mtupu.
Na ukizingatia Enzo alishaomba msamaha. Mpuuzi sana huyo Fofana na visikio vyake vile kama kipepeo.Na Fofana naye kapokea akakuza, hawakuangalia maslahi ya Chelsea na Kocha mpya anaanza vibaya dressing room mood ikiwa ya hovyo kabisa
Enzo = Bahanuzi aliyechangamka acha kumpaisha ilihali ni famba tu.Ndio kitu ambacho hata mimi nilichokua napinga tokea mwanzo, naona wamelishupalia sana. na sio jambo kubwa hiivyo. Utafikiri enzo ndio alikua anaimba peke yake. Halafu walichokua wanaimba ni ukweli mtupu. Hawatak kuambiwa ukweli.
Kuna watu wanaiogopa sana hii project ya chelsea so wanaitumia hiyo kitu kama kuvuruga dressng room, na michezaji mingine mipumbavu inaingia kwnye mtego, Enzo kashaomba radhi,Fofana yeye atulie zake wodini aache ushamba.
Unazani pale kwa mabingwa wa dunia na mabingwa wa copa amerca mara mbili mfululizo anacheza kwa bahati mbaya ?Enzo na argentina watachukua world cup tenaEnzo = Bahanuzi aliyechangamka acha kumpaisha ilihali ni famba tu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
World cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.Unazani pale kwa mabingwa wa dunia na mabingwa wa copa amerca mara mbili mfululizo anacheza kwa bahati mbaya ?Enzo na argentina watachukua world cup tena
Unaongea kana kwamba mpira ulichezwa chumbani je hukuona mpira au kuna mtu alionewaWorld cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Messi alibebwa hadi alikuwa anakera, kuna makosa alipaswa kupewa kadi za wazi kabisa ila Refa alimwita kwa kumwonya tu kisha baada ya mechi kuisha Refa alipigwa na kitu kizito.Unaongea kana kwamba mpira ulichezwa chumbani je hukuona mpira au kuna mtu alionewa
Nimekuja kugundua huyo jamaa kuna nyaya zimeliwa na panya. Yaani hata hizo penalt waliamuru Argentina wapge peke yao.Unaongea kana kwamba mpira ulichezwa chumbani je hukuona mpira au kuna mtu alionewa
Baada ya kusoma reply yake ulitakiwa uishie pale mkuu, kwa heshima yako.Unaongea kana kwamba mpira ulichezwa chumbani je hukuona mpira au kuna mtu alionewa
Fake newsWorld cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kolo muani angefunga goli dakika ya 120+1 ungeleta hizi story?heshimu mpira na uhalisia wakeWorld cup 2022 ilikuwa ya Argentina kwa maelekezo ya Rais Mkuu wa FIFA na alikiri kuwa "ningejiskia vibaya sana laiti Mchezaji bora wa dunia Lionel Messi astaafu soka bila ya kubeba kombe la dunia" ndiyomaana tangu kuasisiwa kwa hilo kombe haijawahitokea Taifa lolote lifike fainali kwa penati zaidi ya 6 isipokuwa Argentina pekee.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.