Arsenal ina kocha wa hovyo? Arteta kocha pekee msimu ujao anayekimbizana na kipara ndio unasema wa hovyo?Uzuri sisi hatuna kuremba, nashangaa Arsenal wana kocha wa hovyo bado wanamchekea tu. Mwaka wa sita huu anazurura tu hakuna alichokifanya. Utofauti wake na hao akina Potter sijui ni upi?
Ya msimu ujao umeshayaona mjomba??! Una maono hatari. Hakuna kocha mule. yaani misimu yote aliyokaa Arsenal yeye kazi yake ni kukimbizana tu na kipara?!Arsenal ina kocha wa hovyo? Arteta kocha pekee msimu ujao anayekimbizana na kipara ndio unasema wa hovyo?
Sawa.
Katika sajili zilizofanyika msimu huu sidhani kama kuna mchezaji amekua hyped. Ukifananisha na ule msimu tunasajili kina Mudryk, MaduekeYasije yakaflop tu haya madogo ,maana unakuta hype tembo , uwanjani matokeo zero
Ngoja msimu uanze tuoneKatika sajili zilizofanyika msimu huu sidhani kama kuna mchezaji amekua hyped. Ukifananisha na ule msimu tunasajili kina Mudryk, Madueke
Naipenda sana mentality ya Madueke, akiimprove kwenye ukabaji ni winga mzuri mwenye uwezo wa kuwaweka foleni mabeki na ana akili ya kufunga tu. ndani ya miaka 2 atakuwa hot-cakeMadueke bado yupo😹😹
Hype kubwa ipo tena kuliko miaka ya nyuma kwa kijana Estevao Willian. Media inamuandika sana yule kijana hata akipiga chenga moja tu imeandiokwa kwenye mediaKatika sajili zilizofanyika msimu huu sidhani kama kuna mchezaji amekua hyped. Ukifananisha na ule msimu tunasajili kina Mudryk, Madueke
Nadhani kwenye defence ni kumpa mzigo mkubwa. Anahitaji kuboresha attacking yake, ball control, at least nimeona kwenye kupiga pass anajitahidi. Ila akiboresha hivyo anaweza kumchallenge hata PalmerNaipenda sana mentality ya Madueke, akiimprove kwenye ukabaji ni winga mzuri mwenye uwezo wa kuwaweka foleni mabeki na ana akili ya kufunga tu. ndani ya miaka 2 atakuwa hot-cake
Bahati mbaya tu kwake wanakuja akina Estevao na Paez kuja kujumuika na Cole Palmer ambao nafasi zao mojawapo ni RW
Ni kweli yeye bado kuja darajani. Mi nasemea hype kwa wachezaji ambao tuko nao msimu huu kama KDH, Adarabioyo, Marc G na kadhalika.Hype kubwa ipo tena kuliko miaka ya nyuma kwa kijana Estevao Willian. Media inamuandika sana yule kijana hata akipiga chenga moja tu imeandiokwa kwenye media
kuna mtu wa kupewa challenge ila sio cold palmer we sema2 kwasabab tutakuwa kwenye mashindano mengi mcm uu watagawana majukumuNadhani kwenye defence ni kumpa mzigo mkubwa. Anahitaji kuboresha attacking yake, ball control, at least nimeona kwenye kupiga pass anajitahidi. Ila akiboresha hivyo anaweza kumchallenge hata Palmer
Gia ya scouting na wamiliki ndio imebadilika msimu huu, hawataki makuuNi kweli yeye bado kuja darajani. Mi nasemea hype kwa wachezaji ambao tuko nao msimu huu kama KDH, Adarabioyo, Marc G na kadhalika.
Katika soka la kisasa, kila mchezaji hata kama ni striker ajue kudefend wakati timu inazidiwa. So madueke mwishoni aliweza kudefend ila mwanzo akipoteza mpira anaduawaaa tu uwanjani, hafanyi pressing, hafanyi marking wala kumfuata opponent kumkabili. Kumbuka timu yeyote inayoshinda EPL ni ile inayoweza kudefend.Nadhani kwenye defence ni kumpa mzigo mkubwa. Anahitaji kuboresha attacking yake, ball control, at least nimeona kwenye kupiga pass anajitahidi. Ila akiboresha hivyo anaweza kumchallenge hata Palmer
Yule dogo sio hype ni anajua issue ni consistency tu kuna jamaa mmoja wa manure huwa ni full kuponda kila kitu cha chelsea ila kwa huyu dogo jamaa kakiri ni future super starHype kubwa ipo tena kuliko miaka ya nyuma kwa kijana Estevao Willian. Media inamuandika sana yule kijana hata akipiga chenga moja tu imeandiokwa kwenye media
Unajua maana ya hypes? iwe anajua soka au hajui, hypes ni kumtangaza mtu kwa kasi kubwa. Estevao anajua ila mara nyingi Hypes zikizidi anaweza kuharibu, labda kwa sababu yeye ni mbrazili, angekuwa muingereza quishineiYule dogo sio hype ni anajua issue ni consistency tu kuna jamaa mmoja wa manure huwa ni full kuponda kila kitu cha chelsea ila kwa huyu dogo jamaa kakiri ni future super star
Nasikia wanataka kufanya swap na Gallagher na pesa juuLete Ollie Watkins
Hamna mchezaji humo.Naipenda sana mentality ya Madueke, akiimprove kwenye ukabaji ni winga mzuri mwenye uwezo wa kuwaweka foleni mabeki na ana akili ya kufunga tu. ndani ya miaka 2 atakuwa hot-cake
Bahati mbaya tu kwake wanakuja akina Estevao na Paez kuja kujumuika na Cole Palmer ambao nafasi zao mojawapo ni RW