Chelsea will receive £37.5m for Ian Maatsen.BREAKING NEWS:
Aston Villa wamefikia makubaliano na Chelsea kumsajili beki wa kushoto Ian Maatsen. Ada ya kijana wa miaka 22 wa Uholanzi zaidi ya RC ambayo Borussia Dortmund walitakiwa kuilipa. RC ilikuwa ni £35m. Masharti ya kibinafsi yamewekwa kwenye mkataba wa miaka 6
@TheAthleticFC
Aston Villa reach agreement with Chelsea to sign left-back Ian Maatsen. Fee for 22yo Dutch youth int’l just north of now-expired Borussia Dortmund-specific £35m release clause. Personal terms in place on 6yr contract
@TheAthleticFC
View attachment 3020973
Kwa hiyo hao wanauzwa kwa sababu ya ufupi sioKUna baadhi ya maandiko yangu nilitoa maoni kuwa mojawapo ya setback ya Chelsea hasa kwenye set pieces ni ufupi wa wachezaji wetu nikawa nashambuliwa sana humu
Ukweli huu umedhihirishwa sasa, uongozi wanachoangalia kwa sasa mojawapo ni urefu wa mchezaji
Pamoja na sifa zingine urefu unaangaliwa sana hasa kwa saa ambapo tumeweka idara ya set pieces na msimu ujao Chelsea imeweka mpango mkakati mahsusi wa kuongeza magoli mengi yatokanayo na set pieces
Wachezaji waliosajiliwa na watakaosajiliwa ni
Wanaouzwa
- Tosin Aradabioyo 1.96M - deal done
- Michael Olise 1.84M - advanced stages
- Jhon Jader Durán 1.85M - Ongoing
- Samu Omorodion 1.93M - Ongoig
- Serhou Guirassy 1.87M - Admired
- Riccardo Calafiori 1.88M - Monitoring
- Ian Maatsen 1.78M - To Aston Villa
- Marc Cucurella 1.72 - To be sold
- Conor Gallagher 1.82M - To be sold
- Malang Sarr 1.83M - To be sold
Ni timu gani yenye wachezaji warefu haifungwi mipira ya vichwa? ,Timu ikikosa muunganyiko itafungwa tu kila aina ya magoli na hata hao warefu waje kama haitaunganishwa mipira ya vichwa tutafungwa tu na sisi hatutapata magoli ya vichwa. Tulikuwa na Silva kwa kimo chake mbona ndiye alikuwa anaongoza kupiga mipira ya vichwa Chelsea, ili tufanye vizuri timu inahitaji kuunganishwa na si vinginevyo,Kwa hiyo hao wanauzwa kwa sababu ya ufupi sio
Mbona hata kabla ya hii timu kina Rudigar walikuwa na vimo sawa na hawa tu wa sasa timu ilikuwa inafanya vizuri na kina Rudigar,Silva,Chilwell,Kante,Mount,Mmarekani yule yupo Ac Milan,Jogino,na wengine vimo vya kawaida lakini timu ilifanya vizuri,Hawa hawa wachezaji tulionao timu ikijipata utasahau sijui mambo ya urefu mara ufupi ambazo ni sababu minor sana hizoNi timu gani yenye wachezaji warefu haifungwi mipira ya vichwa? ,Timu ikikosa muunganyiko itafungwa tu kila aina ya magoli na hata hao warefu waje kama haitaunganishwa mipira ya vichwa tutafungwa tu na sisi hatutapata magoli ya vichwa. Tulikuwa na Silva kwa kimo chake mbona ndiye alikuwa anaongoza kupiga mipira ya vichwa Chelsea, ili tufanye vizuri timu inahitaji kuunganishwa na si vinginevyo,
CUCURELLA SIO WAKUUZWA WATAFANYA KOSA KUBWAKUna baadhi ya maandiko yangu nilitoa maoni kuwa mojawapo ya setback ya Chelsea hasa kwenye set pieces ni ufupi wa wachezaji wetu nikawa nashambuliwa sana humu
Ukweli huu umedhihirishwa sasa, uongozi wanachoangalia kwa sasa mojawapo ni urefu wa mchezaji
Pamoja na sifa zingine urefu unaangaliwa sana hasa kwa saa ambapo tumeweka idara ya set pieces na msimu ujao Chelsea imeweka mpango mkakati mahsusi wa kuongeza magoli mengi yatokanayo na set pieces
Wachezaji waliosajiliwa na watakaosajiliwa ni
Wanaouzwa
- Tosin Aradabioyo 1.96M - deal done
- Michael Olise 1.84M - advanced stages
- Jhon Jader Durán 1.85M - Ongoing
- Samu Omorodion 1.93M - Ongoig
- Serhou Guirassy 1.87M - Admired
- Riccardo Calafiori 1.88M - Monitoring
- Ian Maatsen 1.78M - To Aston Villa
- Marc Cucurella 1.72 - To be sold
- Conor Gallagher 1.82M - To be sold
- Malang Sarr 1.83M - To be sold
Baada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LBCUCURELLA SIO WAKUUZWA WATAFANYA KOSA KUBWA
Tunaposema urefu hatumaanishi asiwepo mfupi. Tunamaanisha vitu viwiliMbona hata kabla ya hii timu kina Rudigar walikuwa na vimo sawa na hawa tu wa sasa timu ilikuwa inafanya vizuri na kina Rudigar,Silva,Chilwell,Kante,Mount,Mmarekani yule yupo Ac Milan,Jogino,na wengine vimo vya kawaida lakini timu ilifanya vizuri,Hawa hawa wachezaji tulionao timu ikijipata utasahau sijui mambo ya urefu mara ufupi ambazo ni sababu minor sana hizo
Sijasema urefu ndio factor pekee, huu ni uchambuzi na najitahidi kuadress aspect ya urefu kwa mchezaji. Mchezaji anakamilishwa na aspect zote na kwa wachezaji wengine madhaifu ya ufupi wao unafutwa na aspect zingine walizo nazo na mfano mzuri ni Kante, yeye ni mfupoi sana lakini maeneo mengine yanamfanya awe the best player, Je tunao akina Kante kwenye hii timu yetu, noNi timu gani yenye wachezaji warefu haifungwi mipira ya vichwa? ,Timu ikikosa muunganyiko itafungwa tu kila aina ya magoli na hata hao warefu waje kama haitaunganishwa mipira ya vichwa tutafungwa tu na sisi hatutapata magoli ya vichwa. Tulikuwa na Silva kwa kimo chake mbona ndiye alikuwa anaongoza kupiga mipira ya vichwa Chelsea, ili tufanye vizuri timu inahitaji kuunganishwa na si vinginevyo,
Kwani ulitegemea utakutana na performance kubwa kutoka kwa Palmer? Cucurella ni mchezaji na anauwezo wakucheza Chini ya kocha mpya cos ni versatile player anaweza kucheza as left back, left wing back as well as midfielderBaada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default
Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Composure ya Cucurella is not world class, at any time anafanya eror inayoigharimu timu. Mtizamo wa Owner ikipatikana pesa nzuri ukichukulia form yake anauzwa.Kwani ulitegemea utakutana na performance kubwa kutoka kwa Palmer? Cucurella ni mchezaji na anauwezo wakucheza Chini ya kocha mpya cos ni versatile player anaweza kucheza as left back, left wing back as well as midfielder
CUCURELLA HANA COMPOSURE? HAUPO SERIOUS MKUUComposure ya Cucurella is not world class, at any time anafanya eror inayoigharimu timu. Mtizamo wa Owner ikipatikana pesa nzuri ukichukulia form yake anauzwa.
Hawa wanaweza kukumbwa na fagio la dirisha hili, hii ndio habari iliyoko mjini
- Cucurella
- Gallagher - Kwa gallagher hakuna haraka ya kumuuza
- Chalobah
- Maatsen - Tayari kashapigwa mnada, bado mchezaji tu kukubaliana na Aston Villa
- Lukaku
- Malang Sarr
- Rahim Sterling
- Kepa
- Broja
Tuna vilema kama chillwell na Fofana halafu tunashindwa kuuza hao wafanyakazi hewa tunaishia kuuza reliable players kama cucurela .Baada ya kuwanunua wachezaji wa kuziba viraka kama Olise, na Striker, pia kuna uwezekano wa kumnunua LW na LB
kutafanyika fagia fagia na mmojawapo aliye kwenye orodha ni Cucurella
Mimi naona akiuzwa ni sawa hata kama anacheza vizuri kwa sasa
Wataalamu wengi wanaojua soka wanakuambia performance nzuri ya Cucurella sio class ni juhudi yake aliyoweka ambayo haiwezi kudumu. Muda wowote atarudi kwenye default
Pia tukumbuke kuwa sasa hivi Enzo Maresca anasikilizwa sana kuhusu wachezaji wanaweza kuingia kwenye style yake na sidhani kama Cucurella ataweza kufit kwenye mfumo huo mpya
Nami namshangaa huyu jamaaCUCURELLA HANA COMPOSURE? HAUPO SERIOUS MKU
Unajua maan ya neneo composure? au unabisha tuCUCURELLA HANA COMPOSURE? HAUPO SERIOUS MKUU
Huyu kocha kakariri sana kikosi hamna kocha paleKocha wa England ana haja ya kumpa dakika Cole Palmer. Hawa kina Saka tayari ni failure hii mechi
Ngoja tuone lakini niamini mimi hata hao wanaokuja timu isipoungana bado yatakuwa yaleyale tuSijasema urefu ndio factor pekee, huu ni uchambuzi na najitahidi kuadress aspect ya urefu kwa mchezaji. Mchezaji anakamilishwa na aspect zote na kwa wachezaji wengine madhaifu ya ufupi wao unafutwa na aspect zingine walizo nazo na mfano mzuri ni Kante, yeye ni mfupoi sana lakini maeneo mengine yanamfanya awe the best player, Je tunao akina Kante kwenye hii timu yetu, no
Wakati wa usajili urefu ni aspect mojawapo ila sio ya lazima sana, get that point na ndio maan tunapozungumzia urefu tunachukua average heights kwa sababu lazima wengine wawe wafupi kwa attribute zao zingine.
Namfuatilia Cucurella hapa, kiukweli anacheza vizuri sana, defensively yuko vizuri na uwezo wake wa kuingia kwenye midfield pale timu inapozidiwa inaipa uhai SpainCUCURELLA HANA COMPOSURE? HAUPO SERIOUS MKUU