Estavo na PAez ni usajili mzuri hawa wawili wakija kucheza na Palmer na Nkunku, na Mudryk akifuguka mbele atakuwa kabakia striker tu kwa miaka 10+ ijayoUsajili wa hovyo
Webado tu unamtetea huyo kilaza mashavu.When you are poor you need to be realistic to yourself. Let's recognize where we come from. Otherwise it's simple to be swayed by the illusion
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025, rasmi kwa jina la Mundial de Clubes FIFA 25, ni toleo la 21 lililopangwa la Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, ni shindano la kimataifa la kandanda la vilabu linaloandaliwa na FIFA.Amezaliwa tarehe 24 April 2007, January bado atakuwa na miaka 17. Hataruhusiwa kuingia Uingereza kucheza labda kama kutalii tu chini ya uangalizi wa wazazi au walezi
Tarehe 1 January atakuwa na umri wa miaka 17, miezi 8 na siku 8
Tarehe 24 April 2025 ndio anafikisha miaka 18
Mi naona petrovic anatosha aisee ,tuachane na habari za makipa aisee ,tudeal na kujenga team ya ushindiChelsea hatujalala bado!
Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
akiumiaMi naona petrovic anatosha aisee ,tuachane na habari za makipa aisee ,tudeal na kujenga team ya ushindi
Unknow candidate ni RDZChelsea have narrowed down their search down to four candidates:
● Kieran McKenna
● Thomas Frank
● Enzo Maresca
● Unknown fourth candidate
Source-Matt Law
Sanchez anauzwa ?akiumia
Sanchez anatakiwa kuuzwa, kichwa chake huyo sio kizuri
Yule Gabriel Slonina ,kipa wa USA vipi ,mbona yuko poa ?akiumia
Sanchez anatakiwa kuuzwa, kichwa chake huyo sio kizuri
Hizi ni tetes tu mkuu na sidhan kama tunaweza toa 20M kwa Trafford,Chelsea hatujalala bado!
Chelsea wako tayari kutoa dau la pauni milioni 20 kumnunua mlinda mlango wa Burnley na mlinda mlango no. 1 mtarajiwa wa England James Trafford.
Simon Philips
Usajili bora kabisa wa msimu huuAna miaka 22 tu, akifikisha 30 itakuweje, je 35?
View attachment 3000112