Ancelotti alifungwa hovyo hovyo akiwa manager wa Everton lakini haikumpunguzia heshima yake ya kuwe elite coach na ndio maana Real Madrid wakamchukuaAnasahau De Zerbi kafungwa kila mechi alikutana na Pochetino. Vijana wa Chelsea ni shida. Ukiwa serious na wanachosema utaishia kupoteza nguvu zako bure
Thomas kasema hataki ofa ya ChelseaNavyoona shortlist ya waliobakia halaf Thomas Frank Yupo nachoka kabisa.
Mabosi wanakwepa old fashion training methods na tacticsKaveh Solhekol reports that the leading candidates are Thomas Frank, Enzo Maresca, Kieran McKenna along with a 'high-profile mystery name'
Kwenye hawa candidates sidhani kama watawafaa. Kabla HansFlick haja saini kule barca mnaweza ku hijack ila mkishindwa kabisa Mourinho is Jobless ni bora kuliko hao makocha wa brentford, Leicester na Ipswitch ni makocha wa timu ndogo na walishafelikina Potter why hamjifunzi wakuu?
Hans Flick ni kocha bora kwenye market ya sasa hivi na naamini ni better option kuliko hao akina Thomas Frank na akina Mackena , ffsThomas kasema hataki ofa ya Chelsea
Anaverbal agreement na BarcelonaHans Flick ni kocha bora kwenye market ya sasa hivi na naamini ni better option kuliko hao akina Thomas Frank na akina Mackena , ffs
Lasivyo tuna chukua magarasa kuja kurudi nyuma badala ya kupiga hatua mbele
Bora tuwe na Keran McKena kuliko Thomas Frank au Enzo Maresca ila still ni risk
Kuna kitu bado hamjakielewa kwa hawa wamiliki. Wanataka damu mpya kwenye approach ya soka. Hao akina Hans Flick anaweza kuja akawa Poche v2.0Hans Flick ni kocha bora kwenye market ya sasa hivi na naamini ni better option kuliko hao akina Thomas Frank na akina Mackena , ffs
Lasivyo tuna chukua magarasa kuja kurudi nyuma badala ya kupiga hatua mbele
Ni risky sana MkuuMabosi wanakwepa old fashion training methods na tactics
Safari hii tutagumble kwa kocha kijana ili tuwe na project kama ya Leverkusen
Ishu sio kufungwa ishu unafungwa vipi Tuchel tuliona kabisa alimfunga pep kwa mbinu ya kutumia wing back pamoja na kutumia counter attack pindi tu tulipokuwa tunapata mpira. Huyo kocha wako game zote anafungwa kwa style moja na habadiliki opponent wanapress pindi tu build up yao inapofika katikati ya uwanja unaniambiaje ana mbinu?Kufungwa sio sababu ya kumfanya kocha aonekane kilaza kuna factor nyingi mkuu.
Huwezi compare Profile ya Brighton na ya Kwetu.
Kwa hiyo Tuchel aliyemfunga Pep game 3 mfululizo unaweza sema anamzidi Pep???
Terdzic aliyemfunga Luis Enrique anamzidi Enrique???
Kufungwa na kocha kuna factor nyingi sana.
Kukaa na kucompare Brighton na Chelsea ni kujitoa ufaham.
Ziangalie hizo game vizuri Poch ameshindaje???kama sio quality ya wachezaji ndio mda mwingine inayoamuaIshu sio kufungwa ishu unafungwa vipi Tuchel tuliona kabisa alimfunga pep kwa mbinu ya kutumia wing back pamoja na kutumia counter attack pindi tu tulipokuwa tunapata mpira. Huyo kocha wako game zote anafungwa kwa style moja na habadiliki opponent wanapress pindi tu build up yao inapofika katikati ya uwanja unaniambiaje ana mbinu?
Unapaswa kuelewa kuwa De Zerbi is unproven coach.Kufungwa sio sababu ya kumfanya kocha aonekane kilaza kuna factor nyingi mkuu.
Huwezi compare Profile ya Brighton na ya Kwetu.
Kwa hiyo Tuchel aliyemfunga Pep game 3 mfululizo unaweza sema anamzidi Pep???
Terdzic aliyemfunga Luis Enrique anamzidi Enrique???
Kufungwa na kocha kuna factor nyingi sana.
Kukaa na kucompare Brighton na Chelsea ni kujitoa ufaham.