Jackson kumiss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanzaJamaa mpira anaujua, tatizo lake ubinafsi na stamina hana
Timu imemvumilia sana kwa ujinga wake
Ok sawa, lakini average player hata timu yake ya taifa haaminikiJackson ku.iss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanza
Pili ànao uwezo wa kuhold mpirà na kuwachezesha wenzake
Tatu: ana uwezo mkubwa wa kupokonya mipirà
Nne: sio injury prone
Tano: ana umrii mdogo, wachezaji wengi chi i ya miaka 23 hawako vizuri hasa kwenye kufanya maamuzi. Kwa umri huo Jackson bado anao muda wa kukomaa na kuwa na faidà kubwa kwenye ti.u
Sita: Jackson anamudu kucheza vizuri nafasi nyingi za mbele kuanzia striker, LW, RW, No. 10, CAM etc
Saba: Jackson kashafunga mabao 16 hivi kwenye michuano yote kwa Chelsea
Tumpime msimu ujao na wa 3. Things will be all right
Sio average player sema ni mchezaji kijana asiye na experience ndio maana unaona anakosa chance nyingi ila ni mchezaji Mzuri ni suala la muda tu ataanza kuimbwa.Ok sawa, lakini average player hata timu yake ya taifa haaminiki
Hivi jackson kwa kumuangalia ni kijana mdogo?Sio average player sema ni mchezaji kijana asiye na experience ndio maana unaona anakosa chance nyingi ila ni mchezaji Mzuri ni suala la muda tu ataanza kuimbwa.
Mleteni huyo dogo North London angalau akae benchi kuliko kupoteza kipaji chake kwa walala hoi kama nyie.Unaifunga chelsea isiyo na ice cold palmer ,akiwepo huyu mechi lazima iwe ngumu
Acheni kujadili mambo msiyo yajua ya kiufundi. Mchezaji wa miaka 22 mnamhukumu kamà Sterling wa miaka 30?Hivi jackson kwa kumuangalia ni kijana mdogo?
Huko hispania amecheza kwa kipindi gani?
Hee unatupangia ya kujadili, yaani mchezaji wa miaka 22 hatakiwi kukoselewa?Acheni kujadili mambo msiyo yajua ya kiufundi. Mchezaji wa miaka 22 mnamhukumu kamà Sterling wa miaka 30?
David Ornstein:
Hali ya mkataba wa Pochettino utaangaliwa katika majira ya joto. Chelsea wanadai kufuzu kwa Ligi ya Europa, sio Ligi ya Conference"
akishindwa kufuzu Europa atabebeshwa virago.
View attachment 2981996
Dogo ana miaka 22 ila muonekano wake kama babu pamoja na kunyoa. Bora hata angeziacha nywele kidogoAmenyoa nywele leo kawa vizuri 🤣
Usijisahaulishe kuwa Jackson ana non penalt goals nyingi kuliko PalmerJackson kamuacha Havertz kwa magoli ambaye kule Arsenàl anasifiwa sana kwamba Arteta amembadilisha
Na bado katika ubovu wake huo wanaousema ana goli nyingi kuliko Trossad, Gabriel, Rushford,Nunez, Rasmus na takataka nyingineJackson ku.iss chance nyingi inàonyesha kwanza anajua kujiweka kwenye mkao wa kufunga- sifa nzuri ya kwanza
Pili ànao uwezo wa kuhold mpirà na kuwachezesha wenzake
Tatu: ana uwezo mkubwa wa kupokonya mipirà
Nne: sio injury prone
Tano: ana umrii mdogo, wachezaji wengi chi i ya miaka 23 hawako vizuri hasa kwenye kufanya maamuzi. Kwa umri huo Jackson bado anao muda wa kukomaa na kuwa na faidà kubwa kwenye ti.u
Sita: Jackson anamudu kucheza vizuri nafasi nyingi za mbele kuanzia striker, LW, RW, No. 10, CAM etc
Saba: Jackson kashafunga mabao 16 hivi kwenye michuano yote kwa Chelsea
Tumpime msimu ujao na wa 3. Things will be all right
Sasa kwa matokeo9 ya Mwanitesa United, Chelsea anakabiliana na Newcastle kwenye nafasi ya 6 ma probably hata Spurs kwenye nafasi ya 5Chelsea haiwezi kufuzu ligi ya Europa
Kama Kai kawa vile, huyo Jackson angekuwa kwetu, Haaland mngemsahau.Jackson kamuacha Havertz kwa magoli ambaye kule Arsenàl anasifiwa sana kwamba Arteta amembadilisha
Sio fair kama wewe kweli unajua mpira, Palmer yule ni kiumbe mwingine kama walivyokuwa akina Mbape, Mesi na wengine, Special creatures. Huwezi hata siku moja kumfananisha na JacksonHee unatupangia ya kujadili, yaani mchezaji wa miaka 22 hatakiwi kukoselewa?
Palmer ana miaka mingapi ?
wasipoelewa na hapa,sijui watakuwa na shida ganiKama Kai kawa vile, huyo Jackson angekuwa kwetu, Haaland mngemsahau.
Kama tulivyomsahau MartineliKama Kai kawa vile, huyo Jackson angekuwa kwetu, Haaland mngemsahau.
Sasa kwa matokeo9 ya Mwanitesa United, Chelsea anakabiliana na Newcastle kwenye nafasi ya 6 ma probably hata Spurs kwenye nafasi ya 5
View attachment 2982957
Simaanishi kuwa Jackson ni bora kuliko Palmer ila unataarifa kuwa Jackson ana magoli mengi kuliko Palmer ukiondoa penalty za Palmer?Sio fair kama wewe kweli unajua mpira, Palmer yule ni kiumbe mwingine kama walivyokuwa akina Mbape, Mesi na wengine, Special creatures. Huwezi hata siku moja kumfananisha na Jackson
Jackson ni mchezaji anayetakiwa kuadapt halafu akue
Plamer ni Football Genius with natural footbalk IQ
Ila kumbuka Palmer ni kiungo mshambuliaji sio mshambuliaji kazi yake kuu ni kutengeneza nafasi na amelifanya kwa ubora ana assist 12+ suala la kufunga magoal mengi limekuwa extraSimaanishi kuwa Jackson ni bora kuliko Palmer ila unataarifa kuwa Jackson ana magoli mengi kuliko Palmer ukiondoa penalty za Palmer?
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app