Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida Enzo akirudi Gallagher hatumiki tena chini
 
Mpaka sasa sijui yupi nimpende kweli kati ya The Citizens na Chelsea
Baby wewe ni Yanga mwenzangu mpaka hapa wewe ni The Blues pia, basi tu unataka kukaza moyo uniumize, karibu chamani haya ya sasa mapito tu ya msimu mmoja mwakani utaona shughuli yetu.
 
Baby wewe ni Yanga mwenzangu mpaka hapa wewe ni The Blues pia, basi tu unataka kukaza moyo uniumize, karibu chamani haya ya sasa mapito tu ya msimu mmoja mwakani utaona shughuli yetu.
Tatizo man city nayo inanikuna moyo, jana tumempiga mtu 5 yaani ni kama yanga tu😎
 
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
Mkuu nahisi wewe una umri wa kutosha kujibu hoja kwa hoja.
Mada yangu ni uwezo wa wachezaji sio kocha
Tulichotaka Poche afanye tangu aanze ndicho alichofanya game na Vila na hii ya Spurs
Tweak ya Cucurella kucheza midfield akiwa LB imeiboost sana viungo kwenye ukabaji.
Pivot ya Caicedo na Gallagher imelazimishwa na injury japo alitakiwa siku nyingi kumtumia Gallagher deep
Mf na defence imebalance kwa sababu ya hiyo tweak. Ilikuwa ni kazi rahisi tu ila kocha wako Poche ni sturbon na mwoga. Mfahidhina yule imemgharimu sana
Tangu mwanzo tuliwaambia hawa wachezaji wazuri ninyi mkakazia ni average players. Wanacheza tofauþi nà maaelekezo ya kocga.
Too bad kwa sababu angefanya hivi tungekuwa sasa tupo top 4 na sio vila timu za kuunga unga
 
Sorry mkuu nilikusudia kujibu hii reply nikakosea
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
 
Sorry mkuu nilikusudia kujibu haya maoni
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
Kwa kutumia haya maoni yangu
 
BREAKING NEWS: Mawasiliano ya kwanza kati ya Chelsea na Napoli kwa Victor Osimhen. Wazo la Chelsea - €80-90m + Lukaku na mchezaji mchanga. (@DiMarzio)
 
Kulingana na vyanzo, uhusiano wa Pochettino na wamiliki wa Chelsea ni mbaya sana.
Sasa wamiliki wameshaweka kwenye oroďha baadhi ya makocha watakaomridhi Pochettino mikoba
Ruben Amorim ni mmoja wa kocha aliyewekwa tayari endapo Pochetino atakatiziwa mkataba wake.
Tukumbuke tu pia kuwa Amrim alikuwa jijini London wiki hii kwa mazungumzo ya siri.
 
BREAKING NEWS: Mawasiliano ya kwanza kati ya Chelsea na Napoli kwa Victor Osimhen. Wazo la Chelsea - €80-90m + Lukaku na mchezaji mchanga. (@DiMarzio)
Huyu DImarzio akisemaga kitu juu ya uhamisho wa wachezaji hasa wa Itally inakuja kuwa kweli. Trusted source for Iyally Transfers
 
Borussia Dortmund wapo kwenye mazungumzo na Chelsea wakitumaini kukwepa RC ya Maatsen ya pauni milioni 35.

#CFC [@JacobsBen]
 
Lineup 4-2-3-1

------------Jackson-------------'
Mudryk -----Palmer -----Madueke
----Galagher -------Caicedo--
Cucurella Badiashile Silva Chalobah
-------------Petrovic-----------

Bench:
  1. Bettinelli,
  2. Gusto,
  3. Disasi,
  4. Colwill,
  5. Gilchrist,
  6. Casadei,
  7. Sterling,
  8. Nkunku,
  9. Deivid
 
Poch anachopanga sasa ndio kilitakiwa aandelee nacho kuanzia league ilivyoanza aendelee na pale pale alipoishia Pre Season
Kulikuwa hakuna haja ya kuchange tactics kwenye league bila hata kujaribu ulichokitumia kwenye pre season

tunavyocheza sasa ndio tulikuwa tunacheza kwenye pre season kwa nini alibadilisha.

Why aliendelea kukazania kitu ambacho kilionesha kufail toka mwanzo why aliacha kitu alichowafundisha kwenye pre season ?
 
Niliwaambia sasa Chelsea wanaelekea kuwa title contender
Cucurella ameibadilisha midfield
Muunganiko wa Gallagher na Caicedo pia no mzuri. Poche kama ana akili asivuruge hii lineup na style ya uchezàji
Chelsea 3-0 Westham
 
Pre season hichi ndicho alichokuwa anawafundisha, Sijui why league inaanza akabadilika
 
Hii Chelkenge ilikuwa wapi siku ile tunaipiga 5? Ilituboa sana mpaka tukaamua kuacha kuwafunga ili tusiwapige 10.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…