Enzo Fernandez juu ya jeraha lake: "Nilihitaji kupata hii surgery kwani nimekuwa nikivumilia maumivu kwa takriban miezi 6.Enzo Fernandez atakosa msimu uliosalia wa Ligi ya Premia baada ya kufanyiwa upasuaji ili kushughulikia jeraha la paja kwa wakati kwa ajili ya Copa America.
Picha chini ya Enzo baada ya upasuaji
View attachment 2973864
Nasubiri sasa ya kwako ustaadh lembuSikutaka hapa maana hadithi ikiendelea sana watoto waliomo humu hawatakiwi kuisoma we shangazi
Mimi taarifa zangu huwa haziwekwi kwenye publicNasubiri sasa ya kwako ustaadh lembu
Yangu nishayamwaga.
Niwekee pm ustaadhMimi taarifa zangu huwa haziwekwi kwenye public
Umevunja sheria ya faragha
Acha tupigwe tu huyu mpuuzi aondokeMechi on ila uzi ume-stuck π wachangiaji wamechoka
Tusipofungwa bc tutajifunga π
ππAVL bado 3