Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,454
Kwani unajishuku kuna mtu amekupoint fingers, kama huna ustaharabu wa ushabiki nenda kalime vitunguu utulie nyumbani kwako na watoto wako. Tired of your nonsense kila siku mnawakazania watoto wasiokuwa na hatia mnamuacha lijibaba lkijinga ambalo halitakaa lielewe kituKuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Wachezaji wanadhibitiwa na kocha wacheni kujitoa ufahamu, tuache basi kumuajiri kocha, hao watoto wajichezee tu wenyeweAtleast hapa unasema ukweli. Kuna uzembe mkubwa unafanyika na wachezaji. Hatukatai kocha ana mapungufu lakini hata aje Alonso au Amorin kwa aina ya baadhi ya wachezaji itakua ni kazi bure tu.
Badiashile, Madueke, Jackson, Mudryk, Sterling, Disasi n.k na hizi mama ndio regular starter kila weekend. Komaeni na timu lenu bwana mi nishachoka aseeh.
Njoo nikulee uone navyowalea na wenzako huku.Wewe hata nyumbani kwako inaonekana mtoto wako akikosea hubebi responsibility kama mzazi
Itakua vyema sanaWachezaji wanadhibitiwa na kocha wacheni kujitoa ufahamu, tuache basi kumuajiri kocha, hao watoto wajichezee tu wenyewe
Mimi sio mtoto kama wewe tena unikomeNjoo nikulee uone navyowalea na wenzako huku.
Nikukome🤣🤣🤣Mimi sio mtoto kama wewe tena unikome
Kipigo kidogo tu mmeanza kutukananaKuweni na akili na muwe mnaelewa tunayotasema mjinga mwenyewe. Huwa nasema siku zote matatizo ya Chelsea hayatokani na kocha peke yake kama mnavyoshupalia. Sijui mmejifunzia wapi mpira nyie. Anyway endeleeni na litimu lenu mkiamini kocha peke yake ndio tatizo Pumbav
Sisi tumewapa hamsa....next game wanacheza na Villa....wajiangalie🤠🤠Kipigo kidogo tu mmeanza kutukanana
Kai Black (Jackson) alishindwa kufunga free header kwa sababu alikuwa pia anajaribu kuficha sura na mkono. Mpira ukamgonga mkono ikawa handball.Pochettino: "We could not approach the game like we started in the first half and we didn't compete the way we needed to compete and then when they scored the third it was easy for Arsenal to control the game.
I think you need to be clinical. Like against Manchester City three days ago, we were not clinical and then today the same thing happened. Difficult performance because it is not nice to see your team play like this when you are mean to have full energy."
Hivi Poch anajielewa kweli huko kuwa clinkcal kwa chance zipi hizo ambazo tumetengeneza au mimi nilikuwa naangalia mpira tofauti?
Kinachoumiza sio kufungwa bali ni performanceMimi sijaumia kufungwa na Arsenal, ila nimeumia jinsi Pochettino alivyoivuruga timu kwa makusudi akijua wale mazezeta wenzake akina Tod hawatamgombeza. Chelsea iliwadhibiti Arsenal dk 15 kabla ya break ila wamerudi tena wamepewa zile instruction za kichina timu ikasambaratika kabisa
Kwanini usiseme Arteta alimsoma Pochetino?Gamu ya Arsenal an Chelsea kuanzia dk ya 30 Chelsea waliwadhibiti Arsenal na almanusura bao lile kurudishwa. Arsenal walbaki wanajilinda tu lakini cha ajabu baada ya mapumziko kocha alienda akawapa maagizo mapya, kila kitu ikavurugika, balance ya timu ikapotea, mabao yakaanza kumiminika na hali hii ya Pochettino kutoa maelekezo mabovu baada ya mapumziko imekuwa ni desturi inayojirudia kila wiki na hata ajirekebishi
Mkuu ukitoa hizo chance kuna chance nyingine tena unahisi zilitengenezwa.Kai Black (Jackson) alishindwa kufunga free header kwa sababu alikuwa pia anajaribu kuficha sura na mkono. Mpira ukamgonga mkono ikawa handball.
Madueke alimpa bonge la pass akabaki na kipa ila bahati mbaya akapiga nje.
Alitoka nduki na kumpita Saliba kuanzia nusu uwanja hadi ndani ya box letu lakini hakuingia ndani zaidi ili ajaribu kufunga au akiguswa iwe penati, badala yake akaenda kwa pembeni na kujaribu kucross, mpira ukamgonga Gabriel na kidogo tu ingekuwa own goal, ukogonga post na kutoka.
Jana nilisema Arsenal hatutahangaika na kumkaba Jackson, na kweli Benny Blanco akaamua kuacha kupoteza muda wake kumkaba jamaa na kusepa zake mbele kujipatia magoli.
Ni rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.Kwanini usiseme Arteta alimsoma Pochetino?
Yani hizo dk 15 ndo unaona unastahili kuwafunga arsenal.
Haujui Arsenal ndo the best team off the ball, kamuulizeni Gardiola
Sijakuzungumzia wewe Na hakuna sehemu nimekutukana hapo sawa.Yan we dogo kwa aina hii commrnts unaonesha ni kiazi na huwa upo humu kimashindano na unatafuta namna ya kuprove a point.
Toa comment yako kuhusiana na Poch na sio kuwananga wanaomzungumzia Poch kwa namna nyingine. Ndio maana nasema upo kushindana na huna unachojua
Mkohoti atabishaNi rahisi sana kumtabiri Poch hana mbinu the way anavyoiset up team yake ndio hivyo nq arteta alichifanya kumsoma kidogo na 2nd half moto ukawaka.
Huku yule muargentina tactically kichwami ni zero