Ninatumai sana kwamba Pochettino atachagua safu hii dhidi ya Shefield United. Wacha tuweke vidole vyetu na tumaini kwamba itatokea!
View attachment 2956323
Sasa kijana kwani tyri ameshaondoka Arsenal Kiasi cha kusema hajatupa kombe lolote au hajatupa mafanikio UEFA...ww unazungumzia zilipendwa mm nazungumzia Hali ya Sasa Kiasi ligi inaendelea na bdo tupo UEFA...mbona unakuwa empty set kama wenzako kina Lembu na Mkohoti...halafu nilikuwa najuaga ww ni Livakuku kumbe ni Chelkenge🤠🤠🤠....basi ntakuwa naangalia cha kukujibu maana siwezi kusumbuana na mtu anavutana mashati na kina Fulham...ni upotevu wa muda na energy kwakwliYani nimekuambia Kai ameshinda goli la ushindi wa Kombe wewe unaleta habari za magoli ya ushindi wa Mechi?
Huna akili kabisa hata kwa Luton wachezaji wanafunga magoli ya ushindi wa mechi 🚮🚮
S
Sasa kijana kwani tyri ameshaondoka Arsenal Kiasi cha kusema hajatupa kombe lolote au hajatupa mafanikio UEFA...ww unazungumzia zilipendwa mm nazungumzia Hali ya Sasa Kiasi ligi inaendelea na bdo tupo UEFA...mbona unakuwa empty set kama wenzako kina Lembu na Mkohoti...halafu nilikuwa najuaga ww ni Livakuku kumbe ni Chelkenge🤠🤠🤠....basi ntakuwa naangalia cha kukujibu maana siwezi kusumbuana na mtu anavutana mashati na kina Fulham...ni upotevu wa muda na energy kwakwli
Chelkenge nishaanza kuwajua kwa comment zenu...zimekaa kichawichawi hivi na kukata tamaa...ila sishangai maana Hali yenu ni mbaya sana kiuhalisia....sasahivi mmebaki kupiga ramli tu🤠Mimi ni Arsenal
Kai hawezi kukupeni hata kombe la kuoga kwa mganga
United marehemu tu yule, lazima tumpite na tulivyo mlawiti juziSheffield ndiye njia yenu ya kumkaribia United na kuwania Europa. Mkikaza mnawatoa manyumbu pale.
Toka uzaliwe umeona lini team yako ikinyanyua kombe ?Nyie kenge mpo?
Ahadi yetu ipo palepale tukinyanyua kwapa mwisho wa msimu tutawaongezea pesa kidogo maana hapa tuliwapigaView attachment 2955841
Jackson mkosa magoli analingana magoli KAI dunia haina hurumaWe Chelkenge...tunakumbushana tu Kai ni mchezaji Bora kuliko mchezaji yyte mlonaye hapo🤠🤠...hyo timu yenu inaharibu vipaji vya watu...kuku kabisa nyny
Akawaweka wapi🤠🤠...Jackson mkosa magoli analingana magoli KAI dunia haina huruma
Kwa Kai pale mmepgwa.We Chelkenge...tunakumbushana tu Kai ni mchezaji Bora kuliko mchezaji yyte mlonaye hapo🤠🤠...hyo timu yenu inaharibu vipaji vya watu...kuku kabisa nyny
Kwa Kai pale mmepgwa.
Gusto amekua na mchango mkubwa sana kwenye kutengeneza magoli, Leo naona kuna Disasi Gusto hata sub hayupoShefield United VS Chelsea FC
Chelsea formation: 4-2-3-1
Chelsea line up:
View attachment 2956737
Subs:
- Bettinelli
- Sharman-Lowe
- Badiashile
- Gilchrist
- Chukwuemeka
- Casadei
- Sterling
- Mudryk
- Washington
Kapumzishwa wakati Enzo anapigishwa mzigo kama kondooGusto amekua na mchango mkubwa sana kwenye kutengeneza magoli, Leo naona kuna Disasi Gusto hata sub hayupo
Kumbe umebadili sio tena hakuna mchezaji kama KAI ,tumekupatia mchezaji mbovu kwetu analingana magoli na KAIAkawaweka wapi🤠🤠...
Ushabiki kitu kibaya sanaAkawaweka wapi🤠🤠...
Yan we jamaa huwa unanifurahisha sana. Lakini ngoja tu tuache kuyajadili haya maana kwa hakika hatutamalizaRecruitment recruitment recruitment brighton wakeuza wachezaji wazuri na walioletwa bado + injury
Bayern inamatatizo mengi na wala sio swala la Kocha
Mfano ni kama ww sasa🤠🤠...tatizo lenu mnataka kuaminisha watu kitu kilichofeli kwenu na kwa wenzako kiwe kinachukuliwa hvyohvyo...kitu ambacho sio sawa...wqchezaji wengi kwnu walionekana hawafai ila huko kwa wenzenu wamefanya vzuri na hilo hamtaki kabisa kulisikiaUshabiki kitu kibaya sana
Inamfanya mtu kuwa kip0ofu zaidi ya kipofu na kiziwi zaidi ya kiziwi
Kukosekana kwa Gusto leo imewapa afadhali wapinzani. Disasi hawezi kutengeneza mashabulizi yaani ni CB anayecheza kuliaShefield United VS Chelsea FC
Chelsea formation: 4-2-3-1
Chelsea line up:
View attachment 2956737
Subs:
- Bettinelli
- Sharman-Lowe
- Badiashile
- Gilchrist
- Chukwuemeka
- Casadei
- Sterling
- Mudryk
- Washington
Well said and Good MentalityMarc Cucurella:
"Sisi kidogo ni timu isiyo thabiti, lakini tunahitaji kuwa na utulivu na kushinda kila wiki.
"Tuna mchezo muhimu (leo) kwa sababu ikiwa hatutashinda basi pointi tatu (dhidi ya United) ni bure."