juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Unahis kucheza against championship club na ushinde unaweza jitapa mbele za watu?? A championship club kutufunga hiyo ni story kuliko sisi kupata ushindi ni kama routine vile.Ndugu kuna wakati uwe na brake. Timu za Championship zinacheza Futsol au Judo?
Kumuongelea mtu unayemchukia kila wakati ni kujiongezea magonjwa ya moyo mwenyewe. Ona vitu unavyo andika
Kocha popoma lililoshauriana na bodi kumrudisha Casadei. Halafu hacheziTujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc
Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg
Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy
Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,
Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil
Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu
Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark
City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao
Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
Kwa maoni yangu wale walioko kwenye mkopo na wanafanya vizuri sina shida nao, nao ni sehemu ya mradiTujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc
Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg
Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy
Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,
Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil
Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu
Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark
City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao
Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
Mashabiki na wachezaji wanaingiaje kwenye swala la academy kupata dakika?[emoji117] Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Lesley Ugochukwu ndio sioni akitoboa kabisa hapo naona anatalend ndogo huwezi ukawa no 6 alafu hauna uwezo wa kukaba Mzuri akiwa na mpira but sio Mzuri kwenye ukubajiKama kuna watu wanasema dirisha lililopita lilikuwa baya basi wao ndio wabaya
Kosa la matajiri wapya ni kuwa na sera ya kutosajili wachezaji zaidi ya 25yrs ila kwa hawa makinda, tutakuja kuelewa huu usajili ndani ya miaka miwili au mitatu ijayo
Uhamisho mzuri sana chini ya umiliki mpya wa Chelsea.
Wachezaji wote ambao tayari wako wanafanya vizuri au bila shaka watafanya vizuri juu ya matarajio ya ada zao ya uhamisho.
- Cole Palmer — £42m
- Nicolas Jackson — £32m
- Noni Madueke — £29m
- Malo Gusto — £27m
- Lesley Ugochukwu — £23.1m
- Carney Chukwuemeka — £20m
- Kendry Páez — £17m
- Djordje Petrovic — £14m
- Ângelo Gabriel— £13m
- Andrey Santos — £13m
- Cesare Casadei —£12.6m
- David Datro Fofana —£10.6m
- Hutchinson — £0m
- Levi Colwill — £0m
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwa hio Chelsea wakicheza mashabiki wake wanafanyaje?[emoji117] Chelsea fc ya Blueco ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi - Ovyo
2. Kocha - Kilaza
3. Wachezaji - Mazagazaga
4. Mashabiki - Sumu
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Man city alipigwa 2 kwa 1 kama sikosei na moja kati ya goal liliwekwa na ZiyechUnaikumbuka hii
View attachment 2938670
umemiss pointMashabiki huwa wanatema sumu kali pale kocha anapo poteza mechi, hivyo kocha anaogopa kurisk kuwapanga academy, bora awapange ma seniors apate matokeo.
Na THE BLUES sio club ya kuwapa academy players air time. Ni club ya matokeo sio kukuza vipaji.
Only Lampard ndio alijaribu hilo baada ya kupigwa burn ya usajili.
unaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.Unahis kucheza against championship club na ushinde unaweza jitapa mbele za watu?? A championship club kutufunga hiyo ni story kuliko sisi kupata ushindi ni kama routine vile.
Semi final tuko na City hapo ndio real test
FYI, Sina chuki na Poch akifanya vizuri nitampongeza akifanya vibaya nitamkanda
Kama yeye anavyojiaminisha kwa mashabiki ila anasahau kwamba mashabiki ukiwapa wanachokitaka utakuwa nao upande wako
Angalia Bond ya Tuchel na Mashabaki, Jose na mashabiki, Conte na mashabiki angalia bond walizonazo na mashabiki unahisi zililitwa kwa maneno sijui nimeenda wembley .
hao wachezaji wa kununuliwa tu wanapangwa daily na leo tuko nafasi ya 10, FA semi final ya kimazabe. Wakipangwa madogo si ndio hali itakua mbaya zaidi. Yan hata ikitokea wanapewa dakika chache bado hatutakua salama kwa sababu bado hatuna 1st inayoeleweka.Tujadiliane kidogo wakuu wanasema hii ni project
Hivi inakuwaje atuwapi nafasi vijana wetu kutoka academy? Waanze kukomaa taratitib taratib
Tunavijana wazuri wakina Tyrique George, Deivid Washngton,Kiano Dyer,Achaempong,Ollie Harison etc
Huku kwenye mkopo tuna Omar Hutchnson anafanya vizuri sana pale Ipswich, Angel pale strasbourg
Kipi kinatufanya tusiwape nafasi hawa watoto hata mara moja moja esp wale wa academy
Tuna academy bora ulaya kipi kinatufanya tushindwe kuwaingiza kwenye seniour team taratibu,
Kuna madogo tukiwapa nafasi hapo naamini tutaokoa hela zaidi kwenye usajil
Man utd msim uliopita walimpa nafasi Garnacho n msim huu matokeo yanaanza onekana, Maino msim huu
Liver wamewapa Bradley,Quansah,Clark
City taratibu wanamuingiza Oscar Bob kwenye kikosi chao
Sisi tunashida gani? Wakat tuna academy nzuri
Kajitapa sana huyo kilaza wenu, kwenda Wembley mara mbili sasa kwenye press huko hatulali, anajisifia ndio mafanikio makubwa kwake. Anaifananisha Chelsea na Soton. Katamba tena sana mkuu labda wewe hufuatiliagi Press Conference zakeunaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.
BTW pia sijawahi kuona unamsifia kama hapo ulivyosema.
Paragraph ya pili kutoka mwisho na ya mwisho sijaelewa mantiki yake. Mi nadhani anafanya kazi yake ni sisi mashabiki ndio tuna wajibu wa kuelewa kilichopo na sio kocha afanye wanachotaka mashabiki. What a NONSENSE
Mimi namsubiri tu Kendry Paez akija sijui Poche atamtendaje??Unashangaa academic players hawapewei nafasi ya kucheza, mbona hushangai wamiliki kununua wachezaji wengi wadogo ili hali wanapatikana academic yetu?
Upi mustakabali academic players wetu?
unaweza niambia ni sehemu gani kajitapa? Nadhani una mis interpret maneno na kuhisi kuna ujivuni hiyo inatokana na chuki.
BTW pia sijawahi kuona unamsifia kama hapo ulivyosema.
Paragraph ya pili kutoka mwisho na ya mwisho sijaelewa mantiki yake. Mi nadhani anafanya kazi yake ni sisi mashabiki ndio tuna wajibu wa kuelewa kilichopo na sio kocha afanye wanachotaka mashabiki. What a NONSENSE
Akimkuta Poch ameisha dogo wawatuMimi namsubiri tu Kendry Paez akija sijui Poche atamtendaje??