juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Nilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandika
Raha ya kuwa na wachezaji 50+ ni unaweza kuingia huku jukwaani na kupanga vikosi si chini ya vitatu bila kurudia wachezaji. Wote tunawaonea gere chelkenge kwa squad depth mluonayo. Mambo yakiwanyookea moja kwa moja mtatusumbua. Kwa sasa pambanieni nafasi za bottom 10 huko mtuachie title contenders tupambanie kombe kwanza.Najua LW, Na. 10 na RW kuna jam kubwa saa ya wachezaji wazuri
Nkunku, Sterling, Palmer, Jackson mwenyewe, Madueke (Sub), Mudryk (sub), Chukwuemeka na Gallagher kwenye na. 10
Poche anaweza kumrudisha nyuma Gallagher akashindanie nafasi na Caicedo kwa sababu huyo badop hajatulia
Parmanent starter kwenye front 3 ukiondoa st anaweza akawaweka
Jackson ---- Nkunku ----- Plamer
Waliobaki wakawa wanakuja kama sub au rotation au abadili formation iwe 4-3-3 ili viungo wawe watatu na hiyo ST ibadilike iwe False na. 9 (HJii Nkunku anwez aicheza au yeyote katika hao wa mbele. Au aanze kumjaribu Daivid Washington na academy wengine
Au atumie 3-4-3 yeye tanu aje ni 4-2-3-1 ambayo kwa sehem,u kub wa hatujaifurahia na sidhani kama iko rafiki na wachezaji wetu
Ndugu hayo maneno sio jana wala juzi ni kamuda kamepita ndio maana siwezi kurecall hiyo post yako. Nakumbuka ulisema wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi bila efforts za kocha.[mention]Southern Highland [/mention] [mention]lembu [/mention] naomba mkarefer hiyo post mpaka nikamquote hivyo
Wewe hayo maneno umeyasema kabla ya hii post. Ndio maana nasema nyie watu kuna namna mnakurupuka huwa hamuelewi mtu anachomaanishaNani aliyekuwa anaongea hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Original post hii hapa
Unaongea kitu halaf saiv unakana kama hujawah ongea
View attachment 2908272
Malizaneni kwanza na Luton halafu tuonane tar 25Timu ina stress
Hata ikishinda haina furaha
Akiyanani
Aliyewaroga alishakufa
Kumbe imekuwa tena upuuzi, labda wewe ila mimi nasema Poche hatoshei. Tutasuasua na msimu ujao tutasuasua na tutakuwa kama Tottenham ya Poche, inasifiwa inacheza vizuri ila vikombe hakuna hadi mashabikli wasio na mvi wajazwe mvi kichwani na kwenye videvu vyao. Kama kusema Poche sio kocha mzuri ndio upuuzi basi nitarudia hivyo hadi afukuzweNilikuuliza swali ukanijibu kipuuzi na mimi nikaamua kujibu kipuuzi. Notion ya wachezaji kucheza bila coaching effort aluwahi kuisema huyo jamaa yako ndio namimi nikaanzia hapo kumbishia sasa hivi ananibishia. Naelewa kila ninachoandika
Mkuu hayo maneno ni ya siku zote, kila tukisema Poche anatoa maelekezo mabovu kwa wachezaji ninyi mnatetea wachezaji ndio wanacheza kivyao. Ukitaka tutafukua hayo makaburi ya maneno mliyopkuwa mnasema watetezi wa PocheNdugu hayo maneno sio jana wala juzi ni kamuda kamepita ndio maana siwezi kurecall hiyo post yako. Nakumbuka ulisema wachezaji wanacheza kwa juhudi zao binafsi bila efforts za kocha.
Leo hii wewe unakana kwa sababu tu siku zimeshapita ushasahau!!
Hao wachezaji 50+ wako wapi na wewe umeshaweka pima ubongoRaha ya kuwa na wachezaji 50+ ni unaweza kuingia huku jukwaani na kupanga vikosi si chini ya vitatu bila kurudia wachezaji. Wote tunawaonea gere chelkenge kwa squad depth mluonayo. Mambo yakiwanyookea moja kwa moja mtatusumbua. Kwa sasa pambanieni nafasi za bottom 10 huko mtuachie title contenders tupambanie kombe kwanza.
Mimi najua Wolve watatupitaTODDY BOEHLY ERA - EPL
2022/2023 - Chelsea - 12th
2023/2024 - Chelsea - 10th........
Palmer akicheza 10 na RW RW anaitendea haki zaidi ya 10. Namba 10 sio wide na inamfunga mchezaji kama Palmer kuzunguka kule mbele atakavyo. RW ni ya Palmer, LW ya Jackson namba 10 azoeshwe Nkunku ni afadhali kuliko GallagherMchezaji mbunifu no. 10 yupo PALMER.
Unasema kweli, nimemwona Nkunku alipocheza LW alicheza vizuri sana, akicheza kwenye traffic kubwa anapotea. Na. 10 inmuhitaji mchezaji aggresive sana vinginevyo unapotezwa, Ndio maana nasema Palmer tutamfaidi sana akicheza RW. Poche anaweza pia kumuweka Jackson na 10 japo naye atamezwa na sana sana na timu zenye kuweka low block. Au Chukwuemeka alicheza vizurti kwenye hiyo 10 kabla hajaenda majeruhiNkunku wa moto kule Leipzig alikuwa akicheza kwenye mfumo wa washambuliaji wawili, wazee wa kufungua turbo/counter attack.
Halafu sidhani kama Nkunku sio mzuri sana kucheza kwenye tight spaces na pia nadhani hapendi ule mpira wa kirembaremba.
Sikumwangalia sana kule Bundasliga lakini naona kama anapata shida kucheza chini ya mifumo ya Poche
Chukwu ni mzuri kwenye kushambulia lakini pia ana kauzito flani kwenye kuachia mpira kwa haraka kwenye space ndogo ndogo.Unasema kweli, nimemwona Nkunku alipocheza LW alicheza vizuri sana, akicheza kwenye traffic kubwa anapotea. Na. 10 inmuhitaji mchezaji aggresive sana vinginevyo unapotezwa, Ndio maana nasema Palmer tutamfaidi sana akicheza RW. Poche anaweza pia kumuweka Jackson na 10 japo naye atamezwa na sana sana na timu zenye kuweka low block. Au Chukwuemeka alicheza vizurti kwenye hiyo 10 kabla hajaenda majeruhi
Hakuna player hapoJackson sasa anaongoza katika kutengeneza nafasi na kuunganisha wachezaji mbele. Kwangu mimi Jackson kwa sasa hawezi kuguswa katika LW. Anaweza kucheza wide, ana udhibiti mzuri wa mpira, anaweza kumiliki mpira na kupiga pasi nzuri. Anaweza kupora na kupress m. Anaweza kuserereka na mpira hadi atengeneze nafasi. Tumpate wapi mchezaji kama huyu ambaye kwanza ana miaka 22 tuView attachment 2909657