Tatizo la Poche linazidi kuwekwa waziPochettino points out that Villa played Saturday and we played on Sunday.
Msitegemee hiyo kesho[emoji23][emoji23][emoji23] huyu angekuta team inacheza UCL au Ueropa situngekuwa tunashika mkia
Kayasema wapi haya?Pochettino points out that Villa played Saturday and we played on Sunday.
Ingependeza mkatuwekea maneno aliyosema leoTatizo la Poche linazidi kuwekwa wazi
Hayuko compuitent kwenye eneo lolote
Press conference ya leo ni ya hovyo kuliko yote
- Poor comunication skills
- Pooor coaching sklills
- Poor in tactical perspectives
- Poor in balancing the team
- Poor in player development
- Poor in public addressing
- Anaweza kuwa hovyo kuliko hata Potter
Kumbuka tunacheza na Villa nyumbani kwake na katoa press conference ya kukatisha tamaa
Press conference ya leo, kachapia kweli na source za karibu zinadai kuwa kasifia sana hiyo Press conference. Huyu kocha ni mwehu. Anatanguliza sasa visingizio ili kesho tukidundwa yeye kapoa zake tuKayasema wapi haya?
Subcribe waandishi maarufu na mashabiki wa Chelsea kule X (Twitter) utapata taarifa za moto moto kama hutaweza kufuatilia kila kitu. mfano press conference za kochaIngependeza mkatuwekea maneno aliyosema leo
Mkuu naamini wewe ni smart kuliko hivi unavyofanya, acha kuendeshwa na hisia binafsiPress conference ya leo, kachapia kweli na source za karibu zinadai kuwa kasifia sana hiyo Press conference. Huyu kocha ni mwehu. Anatanguliza sasa visingizio ili kesho tukidundwa yeye kapoa zake tu
Kayasema wapi haya?
Unaweza ukashangaa, Chelsea ikamaliza na kakombe huku Asrenalli akiambulia kula kwa macho tu