Halafu hilo goli wamelishangilia zaidi ya goli 6 za kwetu. kuifunga timu kama Chelsea nyumbani kwaake kwao ni sifa kubwa ambayo itawakaa vizazi na vizaziHapana tumewapa la kufutia machozi, kizuri kula na nduguyoooo.
Chelsea wana pesa nyingi sana ...wawauze Zyche Hakim, Kepa na Lukaku then walete forward wa kueleweka darajani haiwezekana tuwe tunaongoza kwa kutengeneza nafasi ya kufunga then akina Jackson na Broja wanachezea hizo nafasi.Lundo la wachezaji wote tulionao tusajili tena? Wachezaji wanaendelea kuimarika. Tunae PALMER
Hakuna mchezaji hapoJackson ni mjanja sana akicheza no. 10
Anajua kuhold mpira na kujenga build up
Chelsea kaonyesha huo uwezo na leo Senegal dhidi ya Cameron kaonyesha hivyo kwenye goli la tatu la Senegal lililofungwa na Sadio Mane katika dakika za majeruhi
View attachment 2876830
lililofungwa na Sadio MAne dakika za majeruhi
Akicheza no. 10 au wide winger Jackson anawazidi wengi pale kwa sababu kuu chacheHakuna mchezaji hapo
Akicheza no. 10 au wide winger Jackson anawazidi wengi pale kwa sababu kuu chache
Ana uwezo wa kupokonya mipira
Ana uwezo wa kuhold mpira
Ana uwezo wa kuwatoka mabeki na kutoa assists au strategic passes
Jackson hapendi pasi za kinyumenyume
Bado ni mdogo na ataendelea kukomaa
Tatizo lake kubwa hana confidence na goli basi hapo tu
Naitwa Wesley Fofana nimesajiliwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2880075
Naitwa Cole Palmer nimesajiliwa Chelsea kwa pesa kidogo navuja jasho drum, naomba niongezewe mshahara wa Romeo Lavia na Wesley Fofana. View attachment 2882115
Kwa ule mpira wa papatu papatu, tukishinda kweli mpira unadunda.Leo tuko vs Aston Villa katika round ya 4 ya FA CUP.
Ni game muhimu kuonesha kama tumepiga hatua au tuko pale pale.
Ps.
Poch Out [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Naitwa Wesley Fofana nimesajiliwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam View attachment 2880075
Watu wamejaliwa bahati sana, Baba Rahma bado ni mchezaji wa Chelsea tu?
Watu wamejaliwa bahati sana, Baba Rahma bado ni mchezaji wa Chelsea tu?
Mganga wa David Fofana ndiye balaa yaani mchezaji analipwa zaidi ya paund 200,000 kwa wiki na bado hakucheza na akatolewa kwa mkopo