Fulam mechi ya kwanza tulimfunga 2-0 nyjumbani kwaoFulham tuna Jambo letu leo cheltako mkipata hata goli la offside mniite mbwa
Chief tunao wachezaji wengi wakawaida sanaaa, tupo hapa atakuja kocha mwingine itakuwa the same story.
Na sasa anadanganya katika mkutano ya waandishi wa habari eti kwamba Brighton walipoteza msimu uliopita kwa Middlesbrough, wakati ukweli walishinda 5-1, lakini alisema hivyo kana kwamba ilikuwa sababu ya kupoteza kwetu.
- Hakuna mifumo ya kushambulia
- Hakuna mfumo wa kujilinda
- Inatumia vibaya wachezaji wengi
- usimamizi mbaya wa mechi
- Hakuna mbinu
- Upangaji mbovu wa timu
- Sub za kutisha
- Hutoa visingizio 101
- Hakuna uwajibikaji
- Hakuna dalili za maendeleo
View attachment 2870165
Toddy anayo vision yake anayotembelea ambayo ni kujenga team kupitia vijana wadogo.
Mafanikio ya huu mpango ni ya muda mrefu.
Chini ya huu mpango Toddy ataendelea kuajiri makocha ambao watatembea na vision yake kulelea na kuwajenga vijana.
Matamanio ya mashabiki ni kuona THE BLUES inarudi kwenye njia za Ubingwa, kama enzi za Roman Abramovich
1. Aletwe kocha world class
2. Wasajiliwe exprienced players
Mashabiki wanaamini pesa za ovyo anazomwaga Toddy zinaweza kujenga team ya makombe endapo atafanya maamuzi sahihi.
Kwahiyo kwa sasa Vision ya Toddy inatofautiana na matamanio ya mashabiki.
Kwa sasa Makocha world class wanaiangalia project ya Chelsea hawafurahishwi jinsi inavyoondeshwa Toddy na wengi watakataa kandarasi ya kuja kuifundisha Chelsea.
Toddy ataendelea kuitisha interview za makocha uchwara.
Fulam mechi ya kwanza tulimfunga 2-0 nyjumbani kwao
Hawajawahi kutufunga hapa nyumbani tangu 1979 (45 years)
Pochettino ailkuwa na miaka 7 wakati huo Fulam wanatufunga hapo Stanford Bridge
Karibu chama kubwa Liverpool [emoji91][emoji91]Leta hiyo hotuba hapa kwa kiingereza, hajasema hivyo
Angalia kauli za wanaume wanaojua kufundisha soka
Jurgen Klopp before facing Chelsea in Sept 2016:
"We need to improve because they are so experienced. They can play a game where nothing works but always stay cool. No-one cares. We are much younger and we need good moments in a game to take the next good moment. That's how it is in life. Experience, when you use it right, makes you stronger and I'd say that's Chelsea's only real advantage is they are more experienced."
Pamoja na uchanga wa Liverpool waliifunga Chelsea kwenye hiyo mechi
View attachment 2866522
https://twitter.com/Blue_Footy/status/1744746903198183854/photo/1
Tena?😂Poch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Poch OUT
Laana ya Tuchel itawaendeshaHii timu tunahitaji mtu mwenye akili kufanya coaching
Period
Enough of this
Pochetino ni idiot
Na sasa anadanganya katika mkutano ya waandishi wa habari eti kwamba Brighton walipoteza msimu uliopita kwa Middlesbrough, wakati ukweli walishinda 5-1, lakini alisema hivyo kana kwamba ilikuwa sababu ya kupoteza kwetu.
- Hakuna mifumo ya kushambulia
- Hakuna mfumo wa kujilinda
- Inatumia vibaya wachezaji wengi
- usimamizi mbaya wa mechi
- Hakuna mbinu
- Upangaji mbovu wa timu
- Sub za kutisha
- Hutoa visingizio 101
- Hakuna uwajibikaji
- Hakuna dalili za maendeleo
View attachment 2870165
Huyo jamaa nahisi anaangaliaga live score, akiona ball possesion tunaongoza 99% kwa 1% anahisi huwa tunaupga mwingi. kumbe pass ni baina ya beki beki na kipa.Mkuu unafatilia mechi zetu kweli huwa unaangalia???
Watu wanataka progress
Naiman hata Potter angepewa Pre Season tusingekuwa na hali hii
Kocha ambae ameeanza Pre Season na hii team halaf tukuulize pattern yetu ya uchezaj ikoje sidhan kama unaweza toa hilo jibu
Poch anamiez 6 mpka sasa ila hakuna progress yoyote
Aisee dah! Kipimo ni kwa kua tunaongoza missed chances.THE BLUES ndio timu inayoongoza kwa kumiss chance za wazi za kufunga magoli.
Nini maana yake?
Kinachofanyika uwanjani ni kizuri zaidi ya hizo Pattern ila wafungaji wana uwezo mdogo wa kufunga magoli.
Team ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo.
Ila kwa sasa mizigo ipo 50% (Kocha) kwa 50% (Wachezaji)
Huyu sio wa fisrt team, nazunguzmia wale wa first team. Pochettino atasikilizwa kama akitaka striker mzoefu atapewa ila naona kakataa kwa sababu namshefaal in love na Broja na Jakcson, akitaka LB mzoefu atapewa ila naoan kakataa kwa sababu anona Colwill akicheza hapo ni bonge la LB. Bwege kabisaMkuu hizo sajili za makinda tunazoendelea kuzifanyika ni mapendekezo ya Poche au Directors? View attachment 2870454
Unapoelezea hizo misses ambazo kwangu ni kiashiria cha ujinga wa Kocha pia elezea hizi aspects hapa chiniTHE BLUES ndio timu inayoongoza kwa kumiss chance za wazi za kufunga magoli.
Nini maana yake?
Kinachofanyika uwanjani ni kizuri zaidi ya hizo Pattern ila wafungaji wana uwezo mdogo wa kufunga magoli.
Team ingekuwa inacheza ovyo ovyo wala haitengenezi nafasi nyingi za kufunga hapo 100% ningesema Poche ni mzigo.
Ila kwa sasa mizigo ipo 50% (Kocha) kwa 50% (Wachezaji)
Timu hiyo isiyobeba kombe, inacheza vizuri halafu mwisho wa siku timu nyingine inabeba kombe. Chelsea tungekuwa na ubora wenu tungewanyamazisha wote
Ulipotelea wapi mpendwa, au likizo ya uzazi nini?We jamaa
Kila kocha unasema out😂