juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Total ly mkuu, hamfuatilii Gallagher, hata kama sio elite player kwenye hiyo nafasi lakini huu upondaji haukubaliki kabisa
Gallagher anapenda short passes na acuracy yake kwenye kila mechi fairly ni karibu na 90-95%
Mfutailie na mhukumu, msije mkamhuklumu wakati hata hamfuatilii
Mifano iko nyingi na stats zake zipo. acheni huo unyanyapaa sio mzuri
Sijajua ni kwanini inaweza ikawa issue ya mkatabaSawa Gallagher kaimprove still uongozi wanataka kumuuza why?
1. Wanataka pesa kubalance vitabu?
2. Uwezo wake mdogo?
Wewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya passMkuu tukubali tu Galagher akiwa na mpira hana maajabu na hiyo ndio weakness yake
Tujaribu kuangalia hilo uone anapokuwa na mali mguuni
Galagher akiwa hana mpira hapo ndio ubora wake ulipo na ndio anachopendewa hivho + shooting
Kwa mfumo wa Pochettino anamuona Gallagher ni mzuri kwa sababu kwenye short passes Gallagher kwa sasa ndie anayeongoza pale Chelsea kwa acuracy ya 90-95%Mkuu tukubali tu Galagher akiwa na mpira hana maajabu na hiyo ndio weakness yake
Tujaribu kuangalia hilo uone anapokuwa na mali mguuni
Galagher akiwa hana mpira hapo ndio ubora wake ulipo na ndio anachopendewa hivho + shooting
Hawa home grown wanauzwa kwa ajili ya kukwepa FFP na Gallagher ndie mwenye bei nzuriSawa Gallagher kaimprove still uongozi wanataka kumuuza why?
1. Wanataka pesa kubalance vitabu?
2. Uwezo wake mdogo?
Kumbuka yupo Caicedo, Enzo, Lavia na bado Gallagher anacheza zaidi yaoKwa sababu THE BLUES imekuwa middle team like westham, Crystal palace ndio maana mnamona Gallagher ameiprove.
Hii THE BLUES ya sasa hata ukiwarudisha wakina Loftus Cheek, Odoi, Zakaria wataonekana wakali balaa.
Upo sahihi, pia kati ya hawa ma defender wawili - mmoja ama wote wanauzwa ama kutolewa mkopo ukizingatia umri wa dingi wetu Thiago Silva unakwenda 39 sasa, anahitajika mrithi thabiti - hawa wawili kocha hawakubali maana combination imegoma.Hawa home grown wanauzwa kwa ajili ya kukwepa FFP na Gallagher ndie mwenye bei nzuri
- Maatsen alitakiwa auzwe tangu msimu uliopita akakataa jap[o kocha naye hamkubali
- Chalobah naye hivyo hivyo - kocha hamkubali
- Conor Gallagher ndipo penye kivumbi kwa sababu uongozi unataka kumuuza na kocha hataki na mchezaji naye hataki. Conor Gallagher kashsema anataka kubaki kupigania nafasi yake na kocha anamuunga mkono. Kwa upande wa uongozi wanamuona Galagher ndiye pekee anayeweza kuleta noti ngingi za kubalance vitabu
- Mwingine atakayeuzwa ni Broja na nadhani maamuzi yameshapitishwa akikosa soko atatolewa mkopo kwanza
Gallagher wa baada ya Crystal Palace alikuwa wa hovyo sana ila huyu Gallagher wa Pochettino ni tofauti kabisaWewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya pass
Hivi yule dogo Alfie Gilchrist anacheza position gani zaidi ni no 2? Central back ya 4 au 5?Gallagher wa baada ya Crystal Palace alikuwa wa hovyo sana ila huyu Gallagher wa Pochettino ni tofauti kabisa
Weakness yake kubwa tu ni kwenye kufunga japo kwenye kuasist yuko vizuri. Yeye kwa Chelsea ni wa pili ana asists 4 baada ya Palmer mwenye 6
CB na RB nadhani na ni mzuri sijui kwa nini bado tunagamble sokoni kununua ma CB wa miaka 20 wakati yeye yupoHivi yule dogo Alfie Gilchrist anacheza position gani zaidi ni no 2? Central back ya 4 au 5?
Niite Wesley Fofana ,nimekuja kutalii hospitalini Stamford Bridge na kuvuna maokoto bureNaitwa Romeo Lavia nimeajiriwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.View attachment 2862556
Hakuna mchezaji Chelsea mwenye juhudi na bidii zaidi ya Gallagher, nitasikitika akiuzwa.