Huwa nasema hivi kwa Pochetino hata akitumia hiyo formation bado tutaendelea kuruhusuEnzo hakuhitajika kabisa muda huo tulikuwa tumeanza kulemewa, Ilihitajika kubadili form kwa kuweka mabeki watano na viungo wakabaji 3-5-2 ingefaa sana
Itategemea nani anaunda hiyo formHuwa nasema hivi kwa Pochetino hata akitumia hiyo formation bado tutaendelea kuruhusu
Tangu 1st half ilikuwa ishaonekana Jins luton wanavyocheza.Itategemea nani anaunda hiyo form
Alipoingia Gilchrist alisaidia sana maana Disasi alikuwa very exposed
Tatizo tu Gilchrist aliingia dakiak ya 91, alitakiwa aingizwe kwenye dakika ya 70-75 ili kutengeneza backline ya 5
Inashangza kumbe wanakaza namuna hii??Matokeo ya Luton wakiwa nyumbani
View attachment 2857539
Yaani sasa hivi simchukii Kipara hata kidogo, katupa bonge la mchezaji bure
and you tooHappy New Year the blues
2024 january window ,Ikimpendeza tajiri miluzi anaweza kwenda pale Real sociedad atuletee Zubimendi ,kiungo cha chini apige Enzo(deep line playmaker ) juu yake weka wakabaji wawili Zubimendi na Caisedo ,kisha juu unakuwa na namba 10 kutoka Stearling/Mudriky ,kulia play maker Palmer na namba nine Nkunku sub Jackson& Broja .Kwa chelsea hii unacheza uefa ila tu kocha asiwe Poch.
Kwangu mimi sioni haja ya Chelsea kuingia kwenye usajili kwenye dirisha la januari, kocha itabidi atulize kichwa au aweze kuwatafuta washauri wengine waone namna ya kuboresha kikosi....mimi sioni timu yenye wachezaji wazuri kama Chelsea isipokuwa Kocha wetu ndiye goigoi utafikiri anaumwa.2024 january window ,Ikimpendeza tajiri miluzi anaweza kwenda pale Real sociedad atuletee Zubimendi ,kiungo cha chini apige Enzo(deep line playmaker ) juu yake weka wakabaji wawili Zubimendi na Caisedo ,kisha juu unakuwa na namba 10 kutoka Stearling/Mudriky ,kulia play maker Palmer na namba nine Nkunku sub Jackson& Broja .Kwa chelsea hii unacheza uefa ila tu kocha asiwe Poch.
Caicedo sio DM mzuri zaidi anavyocheza box to box. Pochettino amejaribu kumchezesha DM na Enzo mbele ikakataa, Caicedo kaanza kuoneka mzuri aliporuhusiwa kucheza box to box. Anahitaji uhuru wa kukaba ba kushambulia. Labda Lavia anaweza kucheza nafasi ya DM2024 january window ,Ikimpendeza tajiri miluzi anaweza kwenda pale Real sociedad atuletee Zubimendi ,kiungo cha chini apige Enzo(deep line playmaker ) juu yake weka wakabaji wawili Zubimendi na Caisedo ,kisha juu unakuwa na namba 10 kutoka Stearling/Mudriky ,kulia play maker Palmer na namba nine Nkunku sub Jackson& Broja .Kwa chelsea hii unacheza uefa ila tu kocha asiwe Poch.
Usajili utafanyika kwa sababu za thahiri. Mfano striker ni wa lazima, CB mzoefu na kiongozi mridhi wa Silva lazimaKwangu mimi sioni haja ya Chelsea kuingia kwenye usajili kwenye dirisha la januari, kocha itabidi atulize kichwa au aweze kuwatafuta washauri wengine waone namna ya kuboresha kikosi....mimi sioni timu yenye wachezaji wazuri kama Chelsea isipokuwa Kocha wetu ndiye goigoi utafikiri anaumwa.