Broja na Jackson sikio la kufa unamuacha Mudryk/Sterling na Nkunku halafu unamuweka Jackson na Broja uwanjani. Sterling ameonyesha kuwasumbua sana hawa Luton halafu eti leo amemuweka nje. Wale mnaomtetea Poche tokeni huko mje kujibu maswaliKashajitoa akili huko
-----------Broja ------------------
Jackson ----- Plamer ------Madueke
---Caicedo ------------Gallagher---
Colwill -----Silva-----Disasi ----Gusto
-------------Petrovic-------------
Luton 3-1 Chelsea
Ndio utaratibu wetu wa sasaBaada ya kupata goal tu, tumewaruhusu Luton waanze kututawala
Bora hata Jackson naonq kwenye winger anajitahidi kuliko brojaBroja na Jackson sikio la kufa unamuacha Mudryk/Sterling na Nkunku halafu unamuweka Jackson na Broja uwanjani. Sterling ameonyesha kuwasumbua sana hawa Luton halafu eti leo amemuweka nje. Wale mnaomtetea Poche tokeni huko mje kujibu maswali
kweli leo mmejiokotea mpaka madueke ana score.Madueke Gooooal!
0-2
😂😂😂😂😂kweli leo mmejiokotea mpaka madueke ana score.
Mnapendaga tuwe tunafungwa kila wikiMmeokota dodo, lakini bado
Toa Jackson na Broja weka Mudrky na Nkunku kuna goli mbili za ziadaSo far so good. Hata Poche asipofanya sub hakuna haja ya kubadilisha gia, Luton uwezo wao umefika mwisho.
changamoto ya jackson ni finishing na decision akiboresha hivyo atakuwa vizuriPalmer tena, goli zuri sana na assist nzuri sana kutoka kwa Jackson
Naona Jackson akicheza kama winger ana faida kuliko akicheza kama striker
0-3
Joe ShieldHuyo mtu au kiongozi aliyemscout PALMER aachiwe kazi ya kusajili wachezaji wengine, bonge la usajili dirisha la 2023.