The guy really stinks .Hizi game za kushinda ushindi wa papatu papatu ndio zinawafanya waone waendelee kumpa muda ila kama wangekuwa wanaangalia performance huyu hakufaa hata game inayo kuwepo ilikuwa tu kesho asubuhi mnatupia virago
Sijawah kuona kocha mbishi kama huyu
Unatukimbia kwenye shidaManyanza nimekuja kwenye Uzi😀😀
🤣🤣🤣Nipo sana hamnionagi tuUnatukimbia kwenye shida
Kiukweli kabisa ninaouona Colwill, Disasi na Gallagher hawa ndio wachezaji nawaona wanacheza kwa spirit ya hali ya juu muda wote wakiwa uwanjani. Pengine hiyo ndio sababu wanaanza zaidi.
Naunga mkono hoja yako kwamba sio lazima ufunge goli nyingi ushinde mechi.
Binafsi ni muumini sana uchezaji wa kupaki bus au ulinzi shirikishi. Na pia huwa naamini THE BLUES kiuchezaji utamaduni wake ni wa kupaki bus.
Poche apange 3-4-3/3-5-2
----- Mudyk -- Nkunku - Sterling ---
Matsen --- Caicedo - Enzo - Gusto
------Badi --- Silva - Disasi -----
Hawa ndio aina ya wachezaji tumewakosa kwa sasa, hawataki masihara, wakali na wenye amsha amsha. View attachment 2855403
na tukiwa na balance nzuri inaambukiza forward line wanaamini tukifunga magoli yanathamani , kwa sasa foward wanajua fika tukifunga goli moja halitoshi hata kwa low table team watachomoa TU, kwa team kama city, liver , arsenal hata tulifunga 2 hiyo mechi ni 2-2 kiufupi hatujui kuzuia, City, liver, Arsenal kwenye kufunga hawajatuzidi sana ila kwenye kufungwa tumewazidi mbali kabisa ndio sababu tuko namba 10 kwenye msimamo.Mkuu Lukub ameeliza vizuri kwamba sio lazima ufunge goli nyingi ndio ushinde mechi. Sio lazima kosakosa nyingi za magoli za Jackson na sterling.
Nakubaliana na wewe Kocha anaweza kusuka team ikawa solid kutoruhusu kufungwa magoli ya ovyo, still goli 1 tutakalofunga likaamua matokeo.
Kweli kabisa. Yan hawa hawakua kwenye daraja la juu sana kwenye viwango ila walikua committed sana na timu. Hawacheki na kima kabisaHawa ndio aina ya wachezaji tumewakosa kwa sasa, hawataki masihara, wakali na wenye amsha amsha. View attachment 2855403
maisha yetu yatakuwa magumu sana mpaka huyu jamaa aondoke.Mwalim anaweza boost moral ya wachezaj au kuiua
Tuchel aliboost almost moral ya team nzima kwa spirit yake ya kutaka kuwin
Hawa wakina Rudiger, Christiansen chini ya lampard walionekana hawafai
Pochetino hata kule psg aliwafanya Messi,Neymar,Mbappe hao wote kuonekana ni wa hovyo akimchezesha Verrati mda mwingine kama 10
Mnao hisi shida ni wachezaji baada ya mda mtamkataa poch
Kama unafatilia game zetu utagundua Poch anabahatisha
Kila siku unalalamika injury spurs wenye kikosi finyu wanainjury ila matokeo bado wanapata
maisha yetu yatakuwa magumu sana mpaka huyu jamaa aondoke.
Kweli kabisa. Yan hawa hawakua kwenye daraja la juu sana kwenye viwango ila walikua committed sana na timu. Hawacheki na kima kabisa
Huu ushindi hata haufai pongezi, tumebahatisha, tumepapasa, timu bado sanaHONGERENI SANA THE BLUES KWA USHINDI.
Sikubahatika kuangalia mechi ila kwa highlights za magoli nilizoona, kwa kasi walizonazo GUSTO & MUDYK ni mtaji tosha kwa kocha kimbinu.
Nafasi ya 10 inasema THE BLUES popote ulipo tupo.
Colwill kucheza kama LB na Disasi kucheza kama RB maana yake ni kunyima mashambulizi kwa sababu hawa wachezaji hawawezi kupanda na kuongeza mashambulizi kama natural fullbacks na hapo ndipo Chelsea inatesekea. Wewe unavyomweka Maatsena benchi na Madueke na kuwachezesha wachezaji wasiofaa kwenye hizo nafasi uanona ni sawa mkuuUkiona ivyo ujue hakuna mchezaji wa maana anayeweza kumchallenge yule anayefanya madudu
Shida ya Broja na Jackson inajulikana na sisi hatuzungumziii hukoLakini ni mara ngapi anawachezesha hawa wachezaji kwenye position zao na nini kilitokea? Ju,i kati kawachezesha Broja na Jackson kwa pamoja nini kinatokea? Wakati mwingine anafanya kubet tu aone wanaweza leta maajabu gani lakini inakua ngumu. Hakuna timu ilitotengeneza nafasi nyingi za kufunga kama Chelsea unataka Poch aingie yeye akafunge? Kina Jackson wanaruka ruka tu.
Spirit ya upambanaji hamna kabisa. Tukishafungwa mechi moja inayofuata ndio wanajua lazima wapambane
Ni sawa ila Colwill mechi nyingi anacheza vibaya kwa sababu ya kuwa fullbackKiukweli kabisa ninaouona Colwill, Disasi na Gallagher hawa ndio wachezaji nawaona wanacheza kwa spirit ya hali ya juu muda wote wakiwa uwanjani. Pengine hiyo ndio sababu wanaanza zaidi.
Ana kitu tena kikubwa ila Pochettino sijui kama anaona, yuko attack minded, na anacheza kwa juhudi. Mimi naamini akicheza Madueke na Muderyk upande mwingine Nkunku atatengenezewa nafasi nyingiMadueke ana kitu.
Wakati wa Lampard Rudiger alikuwa auzwe, ni TT ndie alikuja kuonyesha kuwa Rudiger ni beki boraHawa ndio aina ya wachezaji tumewakosa kwa sasa, hawataki masihara, wakali na wenye amsha amsha. View attachment 2855403
Wamerrekani ni wajinga sanaBank ya Marekani inaendelea kumwaga pesa kwa watoto.
Anayefahamu toddy anatupeleka wapi na hawa watoto atuambie
Upi mustakabali wa vijana kutoka academy yetu?
View attachment 2855726