Takwimu zilingane kwani hao wachezaji ni marobot, unaonyesha jinsi usivyojua hata chemmbe ya sokalembu ulini-Quote Mimi,
Hoja yangu kubwa kwako ni kukataa ufananisho wa Caicedo na Kante kiuwezo.
Kuwa "Box to Box MD" lazima namba zako ziwe na Uwiano Mzuri kwenye Box lako na Box la Mpinzani. Kila mtu anayefanya "Pressing" kila Pande ya Uwanja huwezi muita "Box to Box"
Timu nyingi zinazuia kulingana na "ZONES" za Uwanja wengine wanaanzia Juu wengine kati ya Uwanja na wengine wanazuia kwenye eneo lao.
Kuitwa B2B lazima namba zako Kiulinzi ziwe Nzuri na Vile vile kiushambuliaji ziwe Juu. Hilia Jina linatumika Vibaya. Niletee namba za KANTE na Caicedo Kwenye ushambuliaji.
Mfano wa B2B ni YAYA, LAMPARD, GERRARD, POGBA, BELLINGHAM, BARRELA, SAVIC, ILKAY, et al. Wenye uwiano mzuri wa Kushambulia na kuzuia. Unamwitaje CAICEDO "BOX TO BOX" na anakuwa na msaada mkubwa zaidi mbele ya Box lake kuliko la Mpinzani!!
NASUBIRI NAMBA ZAKE KWENYE KUSHAMBULIA!
USIZUNGUKE UKIWA NA HOJA NI-TAG ,
Sikwepagi Mada LEMBU, Nilikukatialia Kumfananisha KANTE na CAICEDO kwa kusema ni "Copy & Paste" Kila Kitu.Takwimu zilingane kwani hao wachezaji ni marobot, unaonyesha jinsi usivyojua hata chemmbe ya soka
Tunaposema wachezaji hawa wanafanana ni vitu vichache tunaangalia
Hizi za data kulingana ni uchizi uliopitiliza. Hao sio robot wanaoendeshwa na kompyuta kila kitu kifananne
- Wote ni box to box
- wote wanajua kutackle
- wote wanauwezo mkubwa kufanya ball recoveri
- wote wanajua kuusoma mchezo
- Wote wana uweoz wa kusaidi safu ya ushambuliaji na hapo hapo kusaidia mabeki kukaba
Halafu usikwepe mada, wewe ulikuwa nalazimisha Caicedo ni DM, kitu ambacho nimekukatalia na nimeweka ushahidi hadi maoni ya nguli wengi wa soka. Mchezo na Shefield United ilionyesha pia wazi kuwa Caicedo anacheza vizuri akicheza kioungo advanced role na natumaini ninaposema Advance3d role unaelewa
Advanced role ni majukumu ya kusaidia mashambulizi kama kiungo
Enzo nafasi inayo mfaa ni ipi?Hata Enzo hiyo nafasi haimfahi
unachanganya B2B na Attacking midfield, Lampard pure attacking midfield hata namba zinakuonyesha wazi , alipatikana 85-90 parcent box mpinzani kuliko la kwake , angalia recovery kafanya ngapi,? tackling ? blocks ?lembu ulini-Quote Mimi,
Hoja yangu kubwa kwako ni kukataa ufananisho wa Caicedo na Kante kiuwezo.
Kuwa "Box to Box MD" lazima namba zako ziwe na Uwiano Mzuri kwenye Box lako na Box la Mpinzani. Kila mtu anayefanya "Pressing" kila Pande ya Uwanja huwezi muita "Box to Box"
Timu nyingi zinazuia kulingana na "ZONES" za Uwanja wengine wanaanzia Juu wengine kati ya Uwanja na wengine wanazuia kwenye eneo lao.
Kuitwa B2B lazima namba zako Kiulinzi ziwe Nzuri na Vile vile kiushambuliaji ziwe Juu. Hilia Jina linatumika Vibaya. Niletee namba za KANTE na Caicedo Kwenye ushambuliaji.
Mfano wa B2B ni YAYA, LAMPARD, GERRARD, POGBA, BELLINGHAM, BARRELA, SAVIC, ILKAY, et al. Wenye uwiano mzuri wa Kushambulia na kuzuia. Unamwitaje CAICEDO "BOX TO BOX" na anakuwa na msaada mkubwa zaidi mbele ya Box lake kuliko la Mpinzani!!
NASUBIRI NAMBA ZAKE KWENYE KUSHAMBULIA!
USIZUNGUKE UKIWA NA HOJA NI-TAG ,
No 8Enzo nafasi inayo mfaa ni ipi?
Enzo ni aina ya Toni Kroos au gorgihno at his best ,kiufupi ni centra midfield na deep playmaking midfield ,anapaswa kuchukua mali nyuma mbele yake awe na DM na mbele yao awe na B2B ,ndivyo alivyokuwa anacheza benfica na anavyocheza Argentina.No 8
Nafikiri inapaswa kuwa Enzo -Gallagha/Lavia -caisedo Sio Caisedo -Enzo-GallaghaNo 8
Kwamba ,Tunayemsubiri kwa hamu ,anatushangaa kwa tunavomtegemea .
Ataki kuangushiwa mzigo wa lawamaKwamba ,Tunayemsubiri kwa hamu ,anatushangaa kwa tunavomtegemea .
Tumeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penati,baada ya matokeo ya 1-1 ,ila naendelea kujifunza matumizi mabaya ya Enzo .Poch anaendelea kutukosea ,enzo namba 10 ni useless dogo anajua kupiga pass na controller wa mechi
Pochetino kuna mambo anakuwa anafanya kama mwendawazimuNishasema hichi kitu Ila kuna watu hawataki kuelewa
Kingine ni matumizk mabaya ya RB huwez kuaa na Gusto halaf umuweke bench then Disas ndio acheze RB ni ujinga wa hali ya juu.
Tuko hapa Poch sio mtu sahihi
Jana ilijionyesha kuwachezesha wachezaji nje ya positionHuwa naona Poch ni kama anabeef au chuki ya kuwaonesha watu Enzo hafai huwezi kuwa unamchezesha mchezaj katika position ambayo
Sio ya kwake nahauwezi pata ubora alionao kwa kumchezesha No 10
Yani Tuna Kocha ambae ni Clueless same mistake kila games.
Tangu lini Enzo akawa 10 yani ni kama kutaka kumfelisha mchezaj kwa maksudj