Mabeki tunawahitaji wa kulia na kushoto, Chilwell na James ni wagonjwa kila wakati wako kitandaniChelsea inahitaji wachezaji 4 wakubwa katika dirisha dogo ama inataka wala kufufua matumaini ya kushiriki walau Uefa ndogo.
1. Beki wa Kati 1
2. Beki wa kulia mmoja 1
2. Holding midfilder mmoja
3. Striker mkali mmoja.
Bila hivyo ndugu zangu, tukitoboa saaana basi number 16 msimu utakapoisha.
Gusto na Disasi watoe kwenye hiyo list ,weka Mtumishi hewa FofanaWamilki na kila mtu pale Chelsea wanakubali kuwa hali ilivyo kwa sasa haikubaliki na watafanya kila jitihada kuona kuwa dirisha dogo la January usajili wa kuziba pengo linalooneka dhahiri sasa litafanywa.
Kwa sababu hii Mkurugnezi wa michezo Paul Winstanley naLaurence Stewart, wamiliki Boehly na Eghbali watakutana na Kocha Pochettino ili kuyajadili kuhusu dirisha la January. Bado wamiliki na bodi wanamuamini Pochettino na wako tayari kumpa msaada wowote anaoutaka.
Kwa maana hiyo sasa, kuna uwezekano hawa wachezaji wakauzwa dirisha la january ili kupata pesa za kumsajili striker, kiungo na beki wa viwango vya dunia.
- Chalobah
- Maatsen
- Gallagher
- Lewis hall
- Madueke
- Broja
- Lukaku
- Kepa
- Ziyech
- Gusto
- Disasi
Kuwauza ni rahisi, hawana mishahara mikubwa, pia mchezaji mambo yakimharibikia yuko radhi ahsushe mshahara ili aondoke. Hiyo haitakuwa na shidaSijamaanisha hivyo. Nasema tu wamepewa mikataba mirefu ili kukwepa FFP rules, ila wasipofanya vema itakuwa shida kuwauza maana hawatataka kuondoka kwenda kwenye mishahara midogo zaidi ya waliyonayo chelsea
Tuombe wafanikiwe ili isifike huko. Na ikifika tuombe mwisho mwema. Kitu kizuri kwenye EPL ni chelsea kufungwa sana ila isishuke daraja na pia wachezaji wa chelsea wao kama wachezaji sisi hatuna beef nao. Wale mshahara wao vizuri na wakihama timu wapate maisha mazuri huko kwingine.Kuwauza ni rahisi, hawana mishahara mikubwa, pia mchezaji mambo yakimharibikia yuko radhi ahsushe mshahara ili aondoke. Hiyo haitakuwa na shida
Ndg yangu nakubaliana na wewe, kuwa kuna wachezaji pale wachache ni wa daraja la chini kabisaMkuu juan david baada ya kupitia comments nyingi hapa haswa za kwako na lembu, juu mjadala unaondelea kuhusu poor performance ya timu.
Kuna ambao mnasema kocha ni tatizo na kuna ambao tunasema wachezaji ni tatizo, na wote tuna hoja zenye mashiko, kulingana na mitazamo.
[emoji117] Hapa inawezekana kuna mitazamo 2 ya kufanyia maamuzi.
1. Poche ni kocha mzuri inawezekana wachezaji waliopo hawafit kwenye style/mbinu/mifumo yake. Zaidi labda Poche sio kocha wa kubadilika kiuchezaji kulingana na wachezaji waliopo, labda ni muumini wa style moja tuu ya uchezaji na inayohitaji aina flani flani ya wachezaji.
SOLUTION:- Asajiliwe wachezaji wachache ambao yeye ataona wakiingia kwenye kikosi chake watabadilisha hali ya mambo na timu itacheza kama anavyotaka hence matokeo chanya.
2. Kama uongozi timu unadhani wachezaji waliosajiliwa ni wazuri sana na wanajitosheleza kila idara na still wameshindwa kumatch na Poche na kuwaondoa kusajili watakaomatch na Poche itakuwa gharama zaidi au kubomoa timu.
SOLUTION:- Uongozi umuondoe Poche wamlete Kocha mwingine ambaye mifumo/Mbinu zake zitaleta performance kubwa kwa wachezaji waliopo hence matokeo chanya.
[emoji117] Kwahiyo hapo uongozi utapima SOLUTION ya haraka ni ipi ili kuinusuru timu kuendelea kupata matokeo mabovu na ya muda mrefu.
Vipi Unai Emery, mkiambiwa leo mumsajili tena mtamuhitaji?Tuombe wafanikiwe ili isifike huko. Na ikifika tuombe mwisho mwema. Kitu kizuri kwenye EPL ni chelsea kufungwa sana ila isishuke daraja na pia wachezaji wa chelsea wao kama wachezaji sisi hatuna beef nao. Wale mshahara wao vizuri na wakihama timu wapate maisha mazuri huko kwingine.
Hata bure hatutaki....yule ni kocha wa mid table team...kuhimili presha haweziVipi Unai Emery, mkiambiwa leo mumsajili tena mtamuhitaji?
Ni kama Pochetino ingawa hamtaki kusikia...hyo sio kocha wa hadhi ya Chelsea....timu ni kubwa sana kwake hiyoHata bure hatutaki....yule ni kocha wa mid table team...kuhimili presha hawezi
Nimefurahishwa na kazi yake. Ameikokota Villa toka shimoni alikokuwa ameitumbukiza Gerrard. Tumuache aendelee kukomaa na kuboresha mbinu zake zaidi kwanza bila presha ya kufundisha timu kubwa.Hata bure hatutaki....yule ni kocha wa mid table team...kuhimili presha hawezi
kuna wachezaji pale wachache ni wa daraja la chini
Chelsea kinachoigharimu ni Muundo wa Kiutendaji. TODD alishakuja na mawazo ya kuwa anafanya Biashara huku timu inaendelea Pata mafanikio uwanjani. Kila mchezaji aliyekuwa anatakiwa na timu nyingine Uongozi unapanda dau na kuweka thamani zaidi ya hata Mchezaji husika mf. Enzo, Caicedo, Mudryk, Lavia. kwa uchacheKocha naye sio wa viwango kama tunavyodhania
Hizo ni tetesi kuwa katika mazungumzo yanaoendelea sasa kuhusu dirisha la January, Pochettino anawataka hao wauzwe ili wanunuliwe wengine watakaofit kwenye falsafa yake ya mpiraGusto na Disasi watoe kwenye hiyo list ,weka Mtumishi hewa Fofana
Kuna mazungvumzo yanayoendelea kwa sasa kuhusu wachezaji ambao Pochettino anadhani hawafiki viwango, nimewaorodhesha hapo juu nikichanganya na wale wa mkopo
Ukweli ni kwamba Pochettino anaona wachezxaji hawa hawafit kwenye viwango vinavyotakiwa
Na wengineo ila hao ndio walio surface
- Chalobah
- Gusto
- Maatsen
- Cucurella
- Disasi
- Broja
Naona pia Gallagher anaweza kuuzwa japo Pochettino bado anamkumbatia. Uongozi uko tayari kumuuza pesa nzuri ikiletwa. Spurs ni moja ya timu iliyokuwa inamuania
Chelsea kinachoigharimu ni Muundo wa Kiutendaji. TODD alishakuja na mawazo ya kuwa anafanya Biashara huku timu inaendelea Pata mafanikio uwanjani. Kila mchezaji aliyekuwa anatakiwa na timu nyingine Uongozi unapanda dau na kuweka thamani zaidi ya hata Mchezaji husika mf. Enzo, Caicedo, Mudryk, Lavia. kwa uchache
Timu ina Mkurugenzi wa Michezo zaidi ya Mmoja lazima mawazo yakinzane. Mmoja alikuwa anamtaka Nagelsman na Gallardo hawa wengine wamekuja na Poch.
Hakuna kingine POCH ni mwalimu wa madaraja ya SPURS, ATLETICO, BVB
Makosa makubwa sana kumwacha Gallardo, angekuja na jina la kawaida ila uwezo mkubwa sana Kimbinu.
Machaguo mengine madogo ya "Wildcard" ni Andoni Iraola ama Marcelo Bielsa, kifupi POCH aliyemkosa amekwepa Risasi ni Mwalimu mzuri lakini wa madaraja ya kati.
Kuna wachangiaji wanamtaja Arne Slot, kwa sasa anaweza kuwa chaguo zuri lakini kama mnataka atayeendana na kikosi cha watoto kura yangu kwa RUBEN AMORIM.
Mkuu juan david baada ya kupitia comments nyingi hapa haswa za kwako na lembu, juu mjadala unaondelea kuhusu poor performance ya timu.
Kuna ambao mnasema kocha ni tatizo na kuna ambao tunasema wachezaji ni tatizo, na wote tuna hoja zenye mashiko, kulingana na mitazamo.
[emoji117] Hapa inawezekana kuna mitazamo 2 ya kufanyia maamuzi.
1. Poche ni kocha mzuri inawezekana wachezaji waliopo hawafit kwenye style/mbinu/mifumo yake. Zaidi labda Poche sio kocha wa kubadilika kiuchezaji kulingana na wachezaji waliopo, labda ni muumini wa style moja tuu ya uchezaji na inayohitaji aina flani flani ya wachezaji.
SOLUTION:- Asajiliwe wachezaji wachache ambao yeye ataona wakiingia kwenye kikosi chake watabadilisha hali ya mambo na timu itacheza kama anavyotaka hence matokeo chanya.
2. Kama uongozi timu unadhani wachezaji waliosajiliwa ni wazuri sana na wanajitosheleza kila idara na still wameshindwa kumatch na Poche na kuwaondoa kusajili watakaomatch na Poche itakuwa gharama zaidi au kubomoa timu.
SOLUTION:- Uongozi umuondoe Poche wamlete Kocha mwingine ambaye mifumo/Mbinu zake zitaleta performance kubwa kwa wachezaji waliopo hence matokeo chanya.
[emoji117] Kwahiyo hapo uongozi utapima SOLUTION ya haraka ni ipi ili kuinusuru timu kuendelea kupata matokeo mabovu na ya muda mrefu.
Hata Gallagah sio kiwango ch chelsea pia.John Obi Mikel:
"Cucurella sio mchezaji wa kiwango cha Chelsea.
Tunahitaji kuona zaidi kutoka kwa Caicedo na Enzo - wachezaji wawili wazuri wanaohitaji muda.
Broja hayuko katika kiwango cha Chelsea.
Nina mashaka na Jackson.
Tunahitaji mshambuliaji wa kiwango cha juu . Victor. Osimhen angetupa mabao akija Chelsea."
Ndio captain wenu huyo. Tangu Msimu huu uanze kacheza mechi ngapi? View attachment 2840619
Nasikia ni miezi mitatu tenaNdio captain wenu huyo. Tangu Msimu huu uanze kacheza mechi ngapi? View attachment 2840619