Kwahiyo tukusaidie nini[emoji382]Baada ya kichapo cha 2-0 tulichopata jana chelsea kutoka kwa Everton ni rasmi sasa toka mwaka 2023 uanze hadi leo chelsea tumecheza jumla mechi 39 Epl lakini aibu ni kuwa katika mechi hizo 39 tumepata point 39 tu sawa na wastani wa point 1 kila mechi Average hii maana yake ni sawa na kusema toka mwaka 2023 uanze chelsea hatujashinda mechi yoyote Epl.
[emoji381]Baada ya chelsea kutapeliwa na Brighton kwa kuuziwa Moises Caicedo kwa €116 million sawa na Tsh 312,797,746,800.00/= Bilion mia tatu kumi na mbili, milion mia saba tisini na saba, laki saba na elfu arobaini na sita na mia nane bila senti, ni rasmi sasa Caicedo Kacheza jumla ya mechi 14 Epl lakini aibu ni kuwa katika mechi hizo chelsea tumeshinda mechi 3 tu na katika mashindano yote kacheza mechi 17 kinachosikitisha ni kuwa katika mechi zote mashindano yote tangu aje chelsea hajawahi kuhusika katika mchango wa goli lolote hana goli wala hajawahi kutoa assist hata moja alichofanikiwa ni kupata kadi za njano 3 hadi sasa.
[emoji382]Si mnakumbuka Everton walikatwa point 10 Epl na mkacheka sana? sasa nasikitika kuwakumbusha zile point walizokatwa hazijasaidia kitu wamebakiza point 6 tu wafikie point tulizo nazo chelsea na aibu ni kuwa chelsea hatujakatwa point hata moja.
When push comes to shove naendelea kuomba radhi kwa uchambuzi huu ulio chini ya kiwango nitaendelea kujitahidi ili siku moja na mimi niwe mchambuzi mzuri kama nyie
Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
Me naona kocha si mbaya kama watu wanavyoongea hapa soka tunacheza vizuri shida wachezaji wanafanya mistake zinazotugharimu, ukiacha hilo tunakikosi finyu sana pale kati hakikosekana Caicedo au Fernandez hatuna mbadala hata Caicedo sio no 6 halisi tunafosi tu kumchezesha hiyo nafasi ukienda kwenye winga kwa kweli sterling alitakiwa awe back up sio regular starter in short hii team imeharibiwa na uongozi kwa kiasi kikubwa yaani tunatatizo kabisa la striker wao wanaenda kwa Jackson tunambebesha bure Mzigo Pottetino.Team inasajili makinda wengi kuliko wachezaji wakwenda kuanza kwenye kikosi ipo serious kweli? Naungana na Cash Money Forever shida sio kocha
Kocha gani anafaa kuifundisha Chelsea kipindi hichi?
hafu mazagazaga mmeyapa mikataba mirefu hatari [emoji1787][emoji1787]
Hahaaaa hamis 7 leo umefufuka au sio ?[emoji382]Baada ya kichapo cha 2-0 tulichopata jana chelsea kutoka kwa Everton ni rasmi sasa toka mwaka 2023 uanze hadi leo chelsea tumecheza jumla mechi 39 Epl lakini aibu ni kuwa katika mechi hizo 39 tumepata point 39 tu sawa na wastani wa point 1 kila mechi Average hii maana yake ni sawa na kusema toka mwaka 2023 uanze chelsea hatujashinda mechi yoyote Epl.
[emoji381]Baada ya chelsea kutapeliwa na Brighton kwa kuuziwa Moises Caicedo kwa €116 million sawa na Tsh 312,797,746,800.00/= Bilion mia tatu kumi na mbili, milion mia saba tisini na saba, laki saba na elfu arobaini na sita na mia nane bila senti, ni rasmi sasa Caicedo Kacheza jumla ya mechi 14 Epl lakini aibu ni kuwa katika mechi hizo chelsea tumeshinda mechi 3 tu na katika mashindano yote kacheza mechi 17 kinachosikitisha ni kuwa katika mechi zote mashindano yote tangu aje chelsea hajawahi kuhusika katika mchango wa goli lolote hana goli wala hajawahi kutoa assist hata moja alichofanikiwa ni kupata kadi za njano 3 hadi sasa.
[emoji382]Si mnakumbuka Everton walikatwa point 10 Epl na mkacheka sana? sasa nasikitika kuwakumbusha zile point walizokatwa hazijasaidia kitu wamebakiza point 6 tu wafikie point tulizo nazo chelsea na aibu ni kuwa chelsea hatujakatwa point hata moja.
When push comes to shove naendelea kuomba radhi kwa uchambuzi huu ulio chini ya kiwango nitaendelea kujitahidi ili siku moja na mimi niwe mchambuzi mzuri kama nyie
Nasema uongo ndugu zangu? Basi mniombee.
Hata Arsenal mlikuwa hivi hivi au umesahau mlikuwa na watoto kama akina saka, martineli walikuwa wanarukaruka tu hadi wakapata uzoefu?Usisahau lile suala kuu la kukwepa FFP rules kwa kuwapa wachezaji mikataba mirefu sana kwa mara moja, kama Muddy si mmempa miaka 8? Dili za kihuni kama hizo zikienda vibaya baada ya miaka 2, mtajikuta na wachezaji walioshuka thamani na hamuwezi kuwatoa kirahisi.
Mfano mwingine wa jinsi kocha anavyoadhiri performance ya timuKama unahisi shida ni wachezaj hata waje wakinanani hatutoboi.
Hakuna hata sehem moja ndani ya uanja tunaonekana tuko bora
Tutarudi kule kule Hata wachezaj wawe wazuri kiasi gani ila kama Kocha ni mbovu Na wenyewe wataonekana wabovu
Aston Villa ya Gerad ndio hiyo hiyo aliyonayo Unai ukimuongezea Diaby,Pau Torres,Tilemans ila wachezaj waliosali wote ni wale wale ila hali waliyokuwa nayo wakat wa Gerard ni mbov ila tangu amekuja Unai ni furaha
Tusizembee umuhimu wa kocha mzuri
Kwahiyo kila baada ya miezi 6 tufukuze kocha?
Hata Thomas Tuchel alikuwa kocha bora lakini mlimfukuza kama mbwa koko.
Sitamani tena Kocha mwingine aje kwa sasa kwa sababu THE BLUES ni project iliyofeli tangu wamilki wapya waanze kufanya sajili za ovyo ovyo.
Tuendelee kupata maumivu haya haya ya kufungwa mpaka pale uongozi watakapopata akili ya kufanya sajili zinazoeleweka zenye mantiki ya kuboresha kikosi na sio kujaza mazagazaga kikosini na kulipa mishahara bure.
Sitojali hata tukishuka daraja, nachojali wamiliki wapate funzo namna ya kuendesha club kitaaluma katika maamuzi yao.
Toddy juzi amesema kwamba kwa sasa amejiweka mbali na club katika kufanya usajili lakini ameshatuumiza tayari, ameturudisha nyuma, tunatakiwa tuanze upya tena kusuka kikosi.
Kuna watu hapa wanasema ungempa Pep kikosi hiki kingemaliza top 4, binafsi nasema ungempa Pep hiyo £1Billion ya asajili wachezaji wapya na sio haya mazagazaga yetu, basi angechukua EPL back to back za kutosha.
Kama Pep aliwauza Jesus & Sterling ndio umpe tena Sterling na Jackson ni kichekesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2839180
mi naona ni ubora wa wachezaji unachangia, sababu kama nafasi zinatengenezwa nyingi sana karibia kila game ila hakuna mpira unaingia kwa net. Sasa sijui kuna kocha duniani atafundisha hata namna ya kupiga mpira ili umpite kipa.1. Poche ni kocha mzuri inawezekana wachezaji waliopo hawafit kwenye style/mbinu/mifumo yake. Zaidi labda Poche sio kocha wa kubadilika kiuchezaji kulingana na wachezaji waliopo, labda ni muumini wa style moja tuu ya uchezaji na inayohitaji aina flani flani ya wachezaji.
Sijamaanisha hivyo. Nasema tu wamepewa mikataba mirefu ili kukwepa FFP rules, ila wasipofanya vema itakuwa shida kuwauza maana hawatataka kuondoka kwenda kwenye mishahara midogo zaidi ya waliyonayo chelseaHata Arsenal mlikuwa hivi hivi au umesahau mlikuwa na watoto kama akina saka, martineli walikuwa wanarukaruka tu hadi wakapata uzoefu?
Kuna mazungvumzo yanayoendelea kwa sasa kuhusu wachezaji ambao Pochettino anadhani hawafiki viwango, nimewaorodhesha hapo juu nikichanganya na wale wa mkopoMkuu juan david baada ya kupitia comments nyingi hapa haswa za kwako na lembu, juu mjadala unaondelea kuhusu poor performance ya timu.
Kuna ambao mnasema kocha ni tatizo na kuna ambao tunasema wachezaji ni tatizo, na wote tuna hoja zenye mashiko, kulingana na mitazamo.
[emoji117] Hapa inawezekana kuna mitazamo 2 ya kufanyia maamuzi.
1. Poche ni kocha mzuri inawezekana wachezaji waliopo hawafit kwenye style/mbinu/mifumo yake. Zaidi labda Poche sio kocha wa kubadilika kiuchezaji kulingana na wachezaji waliopo, labda ni muumini wa style moja tuu ya uchezaji na inayohitaji aina flani flani ya wachezaji.
SOLUTION:- Asajiliwe wachezaji wachache ambao yeye ataona wakiingia kwenye kikosi chake watabadilisha hali ya mambo na timu itacheza kama anavyotaka hence matokeo chanya.
2. Kama uongozi timu unadhani wachezaji waliosajiliwa ni wazuri sana na wanajitosheleza kila idara na still wameshindwa kumatch na Poche na kuwaondoa kusajili watakaomatch na Poche itakuwa gharama zaidi au kubomoa timu.
SOLUTION:- Uongozi umuondoe Poche wamlete Kocha mwingine ambaye mifumo/Mbinu zake zitaleta performance kubwa kwa wachezaji waliopo hence matokeo chanya.
[emoji117] Kwahiyo hapo uongozi utapima SOLUTION ya haraka ni ipi ili kuinusuru timu kuendelea kupata matokeo mabovu na ya muda mrefu.